Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
- Thread starter
- #21
Nimekuuliza swali rahisi sana. Ikiwa Magufuli atashindwa uchaguzi hizo ahadi zitatekelezwa? Bila shaka hapana.Hiyo ya kumzuia rais aliyepo madarakani asitoe ahadi ambayo haiwezi kutekelezwa baada ya Oktoba ni kwa mujibu wa Ibara gani ya katiba ya JMT? Au sheria gani? Na hiyo ya kutaka wagombea wa upinzani kutoa ahadi kabla hata kampeni kuanza ni kwa mujibu wa ibara gani? Au mkichwa hakuna?
Kwa hiyo ili walengwa wafaidike na hiyo ahadi si itabidi wampigie kura JPM? Hapo ndipo rushwa inakuja.
Kwa hiyo kama anaahidi kufanya hayo kwa kutumia madaraka yake akiwa raisi baada ya uchaguzi, ni wazi wagombea wengine wana haki ya kufanya hivyo hivyo, kwa kuwa hatujui nani atakuwa raisi.