Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,364
- 5,609
Wabunge waliokuwa CHADEMA na kujiunga CCM wote wamerudishwa isipokuwa Lijualikali alielia bungeni.waliorudishwa ni pamoja na
Cecil Mwambe - Ndanda
Mwita Waitara - Tarime Vijijini
Dkt. Godwin Mollel - Siha
David Silinde - Tunduma
Pauline Gekul - Babati Mjini
Dkt. Makundi - Ukerewe
Wajumbe lazima waheshimu maamuzi ya vikao vya chama..ngoja tuone kati ya wajumbe na magufuli nani ZAIDI
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Wajumbe lazima waheshimu maamuzi ya vikao vya chama..
Wabunge waliokuwa CHADEMA na kujiunga CCM wote wamerudishwa isipokuwa Lijualikali alielia bungeni.waliorudishwa ni pamoja na
Cecil Mwambe - Ndanda
Mwita Waitara - Tarime Vijijini
Dkt. Godwin Mollel - Siha
David Silinde - Tunduma
Pauline Gekul - Babati Mjini
Dkt. Makundi - Ukerewe
WaitaraWabunge waliokuwa CHADEMA na kujiunga CCM wote wamerudishwa isipokuwa Lijualikali alielia bungeni.waliorudishwa ni pamoja na
Cecil Mwambe - Ndanda
Mwita Waitara - Tarime Vijijini
Dkt. Godwin Mollel - Siha
David Silinde - Tunduma
Pauline Gekul - Babati Mjini
Dkt. Makundi - Ukerewe
Kawe ni ngumu aisee.
Halina ajipange sana
hawatakuja kusahauHili ni kosa kubwa sana wamefanya ccm hyo majimbo tunayarudisha yalipokua mwanzo
SanaKumbe wajumbe ni wapumbavu???
Na hii itakuwa akili ya Mwenyekiti tu maana yeye ndo aliye asisi project ya kununua watuMwemyekiti anajifanya ana akili kuliko wajumbe waliowwkeza nguvu zao kukijenga chama??
Kwani bungeni wanaenda kusomea nini?!Naona majimbo mengi ya Kilimanjaro yakarudi CCM mfano:
Vunjo
Moshi vijijini
Rombo na
Siha
Huko kote wameingia maprof wazuri.
Mm nnaishi kawe hapa kawe halima hana chake amin nakwambiaGwajima haijui Kawe!! Halima anajua sana siasa za Kawe hivyo atampiga knockout Gwajima mapema !
So what? kwani hao madiwani walijipigia kura 2015?!Wagombea Udiwani wote 18 Jimbo la Hai ambao zamani walikuwa wanachama na Madiwani kupitia Chadema wamerudishwa.
Prof Mkenda nae lazima Uwaziri auchukue..Naona majimbo mengi ya Kilimanjaro yakarudi CCM mfano:
Vunjo
Moshi vijijini
Rombo na
Siha
Huko kote wameingia maprof wazuri.
Gwajima haijui Kawe!! Halima anajua sana siasa za Kawe hivyo atampiga knockout Gwajima mapema !