Uchaguzi 2020 Wagombea waliohamia CCM wapitishwa na chama kugombea Ubunge

Magu anajuwa hawa hawawezi kushinda wenyewe, lazima kuna push itatumika behind this! wapinzani wasijipweteke! something fishy here!
 
Yaani waliokuwa upinzani wanapewa nafac ss tuliyoshinda kura za maoni na tulikipigania chama tunatoswa hakika inaumiza lkn tutajua kwenye Sanduku la kura
 
CCM wamepoteza rasmi hayo majimbo.

Na Kawe , CCM wameipoteza rasmi! Hakuna namna Kawe ya wasomi na watu wanaojiweza kifedha watamchagua Gwajima mtu Mwenye mauchafu ya kujirekodi hadi akizini na wanawake
Hao wasomi pia hawawezi kumchagua tena mtu anaevuta bangi na kushiriki mapenzi ya jinsia moja (lesbian).
 
hawa wote lazima waangukie pua kwenye sanduku la kura
 
CCM wamepoteza rasmi hayo majimbo.

Na Kawe , CCM wameipoteza rasmi! Hakuna namna Kawe ya wasomi na watu wanaojiweza kifedha watamchagua Gwajima mtu Mwenye mauchafu ya kujirekodi hadi akizini na wanawake
Usiwasemee ccm ni cha a dola
 
Mbona Nasar hayupo?? na umesema wote!!??
 
CCM wamepoteza rasmi hayo majimbo.

Na Kawe , CCM wameipoteza rasmi! Hakuna namna Kawe ya wasomi na watu wanaojiweza kifedha watamchagua Gwajima mtu Mwenye mauchafu ya kujirekodi hadi akizini na wanawake
Jamani mbona walimchagua mdee anayesadikika kutembea na Bulaya?
 
..Halima alikuwa kwenye hatihati.

..lakini CCM mmekosea kumsimamisha Gwajima.
Wangemsimamisha Nani mkuu!

Mpaka muda huu Mdee anatota Kwa majimaji, jasho halikwishi, anaagiza maji kila mara, mambo ya mikopo ayaweke Sawa

Mimi najiuliza, GWAJIMA watamfunga nini ili asiongee vile? Maana Kati ya watu waongeaji ni Gwajima, ukimpa dk moja ya kujieleza utamwachia hata kama anamakosa ya jinai
 
..Halima alikuwa kwenye hatihati.

..lakini CCM mmekosea kumsimamisha Gwajima.
Mkuu ccm hawajakosea, huyo ndio mtu aliyependekezwa na vyombo kwamba ndio mwenye uwezo wa kushinda jimbo hilo, mwenyekiti anawaamini sana wale jamaa wa kaunda suti hiyo vetting/research wameifanya wenyewe.
 
..Gwajima ana mambo fulani ya kitoto, na mapepe.

..Halima Mdee ataonekana kuwa mgombea aliyetulia, na mwenye uzoefu.

..Gwajima ataonekana anajua zaidi dini, na Halima ataonekana anajua zaidi siasa.

cc Matola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…