wagagagigi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2014
- 890
- 985
Magu anajuwa hawa hawawezi kushinda wenyewe, lazima kuna push itatumika behind this! wapinzani wasijipweteke! something fishy here!Wabunge waliokuwa CHADEMA na kujiunga CCM wote wamerudishwa isipokuwa Lijualikali alielia bungeni.waliorudishwa ni pamoja na
Cecil Mwambe - Ndanda
Mwita Waitara - Tarime Vijijini
Dkt. Godwin Mollel - Siha
David Silinde - Tunduma
Pauline Gekul - Babati Mjini
Dkt. Makundi - Ukerewe