Uchaguzi 2020 Wagombea waliohamia CCM wapitishwa na chama kugombea Ubunge

Uchaguzi 2020 Wagombea waliohamia CCM wapitishwa na chama kugombea Ubunge

Na hii itakuwa akili ya Mwenyekiti tu maana yeye ndo aliye asisi project ya kununua watu
Kanunua kweli mpaka wanaccm kimewauma yani.... Kwa jinsi walivokua na asira membe angeruhusiwa tu kura zote na hasira zote wangemmalizaa.... Wanachezea pesa wengine uuku wanaccm wananjaaa😒😒
 
Imewauma Sana vijana wa CDM kuona Hawa jamaa hawajakatwa maana wangekatwa wangetukanwa Sana na kwavile Hawa Nyumbu wamejaliwa kuwa na midomo michafu hakika Wagombea wasingepumua.
 
Marwa Ryoba Serengeti aliunga mkono juhudi naona hajapitishwa, sijui kakosea wapi
 
Wabunge waliokuwa CHADEMA na kujiunga CCM wote wamerudishwa isipokuwa Lijualikali aliyelia Bungeni waliorudishwa ni pamoja na

Cecil Mwambe - Ndanda
Mwita Waitara - Tarime Vijijini
Dkt. Godwin Mollel - Siha
David Silinde - Tunduma
Pauline Gekul - Babati Mjini
Dkt. Mkundi - Ukerewe
Ilikuwa ni mojawapo ya makubaliano wakati wakipewa hongo (rushwa) ili wahamie CCM. Kwani waliminishwa kuwa Chadema itakufa kabla ya uchaguzi wa 2020 kwa tukio la wao kuhama chama na vituko mbaliambali amabyo watafamyiwa Viongozi wa Chadema na kwamba njia yoyote ile (By hook or by crook) watapitiswha kugombea Ubunge...arafu uje utwambie nchi hii kuna TAKUKURU .Mmeona jinis yule kijana mwenye meno yaliooza jinsi alivyopitishwa Shinyanga kwa Masele pamoja na kukosa kwenye tatu bora kama zisemavyo kanuni za uchaguzi za Lumumba kwamba majina matatu ndiyo yatapendekezwa Halmashauri..yeye nadhani alikuwa wa saba
 
Ivi Devid Kafulila ameishia wapi? na akina Nassari, na yule mwenzao 1 bonge bonge ivi wamewekwa wapi na Kina mtatiro emu mwenye uelewa watupe fatwa hapa
 
Back
Top Bottom