johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Unaelewa maana ya Jeshi la Kujenga Taifa?Nchi inaenda kuwa chini ya jeshi na sio raia tena!!!yaani viongozi wa umma wataongea lugha za kijeshi ambazo raia hawajui!!!
Unaelewa maana ya uzalendo bwashee?!Hivi Jiwe anayewabambikia wakosoaji wake kesi za uhujumu uchumi, si ndiyo miongoni mwa waliopitia JKT! Mbona hana hata chembe ya uzalendo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzalendo wa kaida au wa kiCCM Ngosha? Maana wa kiCCM ni kushangilia Hata ushuzi wa bwamkubwa!Unaelewa maana ya uzalendo bwashee?!
Bwashee ukitembea kibeberubeberu lazima ule roba!kuna vjana mliwadanganya watapewa priority baada ya kujitolea JKT matokeo yake mtaani tunapigwa roba za mbao balaa.
Hawawezi kuteuliwa kwa sababu hizo hizo za kiafya!Masikini wa fikra huwa na tabia ya kujitengenezea matatizo ambayo hayapo, na kuacha kutatua matatizo ambayo yapo.
Ndiyo maana nchi ina matatizo kibao, watu wanahamisha mji mkuu, kitu ambacho si tatizo.
Hili la JKT ni humo humo tu.
Kwanza ni discrimination, kuna wengine hawaendi JKT kwa sababu za kiafya, si kwa kukosa uzalendo.
Sasa hao nao unawabagua kwa kigezo cha uzalendo kivipi?
Subutu! CCM na la saba ni kama chupi na kalio, hawawezi kuachwa hao maana ndio hutumika pale uuangaji mkono unaotaka kutokuwa na aibu unapotokea.Kwa lugha nyingine wabunge lasaba hawatakiwi
Mbona rais wenu na mwenyekiti wa CCM ana matatizo ya kiafya na kateuliwa?Hawawezi kuteuliwa kwa sababu hizo hizo za kiafya!
Kwenye Uchaguzi wa Serikal za Mitaa waliokataa kuchangia Mwenge walipigwa chini, hata wasio na vyeti vya JKT wasipewe form za kuwania uongozi na Tume ya Uchaguzi
Lakini walienda JKT bwashee!Mbona rais wenu na mwenyekiti wa CCM ana matatizo ya kiafya na kateuliwa?
Mbona Kikwete alikuwa anaanguka anguka kwa matatizo ya kiafya na kateuliwa?