Ukiondoa uzalendo binafsi ambao mtu huzaliwa nao uzalendo mwingine hupatikana kwa njia ya mafunzo yatolewayo katika Jeshi la Kujenga Taifa kwa kifupi JKT.
Inasemekana kupitia tetesi kwenye korido za Lumumba kwamba zamu hii kulitumikia jeshi la kujenga taifa itakuwa ni kipimo cha uzalendo wako kwa taifa.
Kwamba CCM haitaki wabunge makasuku bali wale wenye uwezo na utayari wa kusonga mstari wa mbele kwa ajili ya kulitetea taifa kwa hali na mali.
Ni hayo tu kwa uchache.
Maendeleo hayana vyama!
..Dr.Hussein Mwinyi, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, hakupitia mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria alipomaliza kidato cha 6.
..Je, unataka kusema kuwa uzalendo wa Mh.Dr.Mwinyi ni wa kutilia mashaka?