Tetesi: Wagombea waliopitia JKT iwe kwa mujibu wa sheria au kwa hiari kupewa kipaumbele kura za maoni CCM

..Dr.Hussein Mwinyi, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, hakupitia mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria alipomaliza kidato cha 6.

..Je, unataka kusema kuwa uzalendo wa Mh.Dr.Mwinyi ni wa kutilia mashaka?
 
Watoto wa nyumbani kwa mfalme uzalendo wao hautiliwi shaka.

Ni kama uzalendo wa Mbowe kwa Chadema huwezi kuutilia shaka yoyote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…