YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Wagombea mkienda kuhojiwa vitu vya Television mwende na summary ya sera zote ukiulizwa sera some kwenye summary yako chapchap taja zote haraka imo kumpa nafasi mwandishi kukuhoji kwenye Hayo maeneo. Lissu alienda mikono mitupu anadhindea kutaja zote.
Pili, Lissu alitoka bila kusema Watanzania nawaombeni kura zenu. Aliondoka tu utafikiri anaandoka kwenye kikao cha harusi ya mkwewe, hakuomba kura.
Pili, Lissu alitoka bila kusema Watanzania nawaombeni kura zenu. Aliondoka tu utafikiri anaandoka kwenye kikao cha harusi ya mkwewe, hakuomba kura.