Uchaguzi 2020 Wagombea wengine mkienda kuhojiwa na Media msifanye kosa kama la Tundu Lissu, hakwenda na sera na hakuomba kura

Moderator tunaomba haya makasiriko yaunganishwe Kwenye uzi mkuu wa Tundu lissu kuhojiwa ITV the superbrand afrika mashariki na Kati!
Wagombea mkienda kuhojiwa vitu vya Television mwende na summary ya sera zote ukiulizwa sera some kwenye summary yako chapchap taja zote haraka imo kumpa nafasi mwandishi kukuhoji kwenye Hayo maeneo.Lusu alienda mikono mitupu anadhindea kutaja zote

Pili Lisu alitoka bila kusema watanzania nawaombeni kura zenu.Aliondioka tu utafikiri anaandoka kwenye kikao cha harusi ya mkwewe hakuomba kura
 
Pili Lisu alitoka bila kusema watanzania nawaombeni kura zenu.
Hayo mahojiano yalifanyika kabla ya kampeni kuanza, na ilikuwa mara baada tu ya kumaliza kutafuta wadhamini. Ungechukua muda kidogo tu kuishughulisha akili yako (kama ipo lakini), usingeanzisha uzi huu
 
Mlihamasishana msiende kuboresha taarifa zenu kwenye daftari la mpiga kura wakati nec imetangaza!

Huyo Lisu wenu atapigiwa kura na mawe?

Hao wapiga kura mili 29 wote robo tatu mzima ni wana ccm maana wajumbe wao walihamasisha kupitia nyumba kwa nyumba,

Mwaka huu Lisu hapati zaidi ya 20% ya kura.
Ni kweli walipinga
Wajumbe wa nyumba kumi wakawa wanahamasisha wana CCM kwenda
Mikutano yao inajaa washabiki ambao hawajajiandikisha

Wengi baada ya kupata kitambulisho cha taifa walikataa kujiandikisha kupata cha kupiga kura wakasema cha nini

Lingine mikoa ya Arusha na Kilimanjaro wanachadema wengi walitupa vitambulisho vya kupiga kura kwa hasira baada ya Lowasa kushindwa Uchaguzi

Kundi lingine liliachana na Chadema baada ya Lowasa kurudi CCM hivyo kuifanya Chaadema kuwa na wapiga kura wachache

Kuvunjika UKAWA pia kumepunguza kura za mgombea uraisi wa Chadema hivyo tegemeo lake kuuu ni la wafia chama tu

Kwa Chadema kuweka wagombea ubunge wote kutoka mkoa wa kilimanjaro tu majimbo yote pia kutapunguza sana kura sababu chama wamekipa sura ya Kilimanjaro zaidi
 
Wagombea mkienda kuhojiwa vitu vya Television mwende na summary ya sera zote ukiulizwa sera some kwenye summary yako chapchap taja zote haraka imo kumpa nafasi mwandishi kukuhoji kwenye Hayo maeneo.Lusu alienda mikono mitupu anadhindea kutaja zote

Pili Lisu alitoka bila kusema watanzania nawaombeni kura zenu.Aliondioka tu utafikiri anaandoka kwenye kikao cha harusi ya mkwewe hakuomba kura
Wewe ulimsikiliza Lissu kweli?
Kama ulimsikiliza basi unamatatizo ya ufahamu, na hii ndio shida ya wana CCM wengi sasa, kama sio wote. Poleni
 
I believe you do not know what you are talking about.
 
Wagombea mkienda kuhojiwa vitu vya Television mwende na summary ya sera zote ukiulizwa sera some kwenye summary yako chapchap taja zote haraka imo kumpa nafasi mwandishi kukuhoji kwenye Hayo maeneo.Lusu alienda mikono mitupu anadhindea kutaja zote

Pili Lisu alitoka bila kusema watanzania nawaombeni kura zenu.Aliondioka tu utafikiri anaandoka kwenye kikao cha harusi ya mkwewe hakuomba kura
ILIKUA NI LIVE?
 
Wewe ulimsikiliza Lissu kweli?
Kama ulimsikiliza basi unamatatizo ya ufahamu, na hii ndio shida ya wana CCM wengi sasa, kama sio wote. Poleni
Mwandishi alionyesha yuko vizuri kwenye issue ya sera kuliko Lisu. VERY INTERESTING!!
 
Wagombea mkienda kuhojiwa vitu vya Television mwende na summary ya sera zote ukiulizwa sera some kwenye summary yako chapchap taja zote haraka imo kumpa nafasi mwandishi kukuhoji kwenye Hayo maeneo.Lusu alienda mikono mitupu anadhindea kutaja zote

Pili Lisu alitoka bila kusema watanzania nawaombeni kura zenu.Aliondioka tu utafikiri anaandoka kwenye kikao cha harusi ya mkwewe hakuomba kura

Ushauri wa kutaka mtu/watu wakariri vitu ambavyo wameandaa wenyewe? Ni ajabu sana, ukiwa umeandaa kitu kwa mikono yako, huhitaji kuchukua hata kipande cha karatasi ili kujikumbusha yale uliyoandaa wewe mwenyewe.

By the way, wasomi wazuri huwa hawategemei kudesa never.
 
Mtoa mada uko sahihi sababu iliyomfanya mh.Lissu asifanye hicho ulichowaza ni haya. 1. Pale ni kipindi cha mahojiano haikua sahihi yeye kuomba kura pale kwan yapo maeneo sahihi kwa hilo na tayari kampeni zimeruhisiwa. 2. Pale ni mahojiano ya ana kwa ana na sina uhakika iwapo angeenda na summary zake angeendana sawa na uhalisia wa kipindi, ile sio debate kwamba anabishana na mtangazaji kupata uhalali wa anayosema. 3. Pale ameongea anachofahahmu juu ya ilani ya chama chake na muenendo wa taifa na serikali ktk uendeshaji wa JMT. 4. Alichifanya mh.Lissu ni kuelewesha umma wa JMT juu ya anachoamini ni sahihi kwa muenendo wa JMT na kutaka JMT ifahamu yeye ni mgombea wa msimamo upi haswa. Binafsi nngependa itokee kongamano hawa wote wagombea wa Urais wakae sehemu moja na kufanyiwa mahojiano kama hayo ili umma wa JMT upate picha halisi ya ufahamu wa hawa wagombea wetu wa Uraisi.
 
Wagombea mkienda kuhojiwa vitu vya Television mwende na summary ya sera zote ukiulizwa sera some kwenye summary yako chapchap taja zote haraka imo kumpa nafasi mwandishi kukuhoji kwenye Hayo maeneo.Lusu alienda mikono mitupu anadhindea kutaja zote

Pili Lisu alitoka bila kusema watanzania nawaombeni kura zenu.Aliondioka tu utafikiri anaandoka kwenye kikao cha harusi ya mkwewe hakuomba kura
Aombe kura halafu TCRA waje waifungie ITV muwachike Kuwa imegeuka TV ya CHADEMA.....broo unadhani hawana weledi kama TBC .kile ni kipindi cha mahojiano sio kipindi kinachorusha kampeni...shame of you hujui maudhui ya vyombo vya habar,tofautisha Kipindi cha kulipiwa na kipindi cha kualikwa .
 
Lisu kama Nyerere, akili kubwa, karibu kila kitu kipo kichwani. Nyerere alikuwa sio mtu wa kusoma hutuba zilizoandikwa, bali mara nyingi aliongea bila kuwa na paper mbele yake na zilikiwa point haswa. Same to Lisu
 
Wagombea mkienda kuhojiwa vitu vya Television mwende na summary ya sera zote ukiulizwa sera some kwenye summary yako chapchap taja zote haraka imo kumpa nafasi mwandishi kukuhoji kwenye Hayo maeneo.Lusu alienda mikono mitupu anadhindea kutaja zote

Pili Lisu alitoka bila kusema watanzania nawaombeni kura zenu.Aliondioka tu utafikiri anaandoka kwenye kikao cha harusi ya mkwewe hakuomba kura
Inaonyesha dhahiri kuwa watu kama ninyi ndio mlikuwa mnatumia sana vibomu kwenye chumba vya mtihani 😀😀😀
 
[emoji41]
Screenshot_20200903-225556.jpeg
 
Back
Top Bottom