Atashinda kwa kura zipi?Kaka lissu hahitaji kujinadi kwenye TV huyo kashinda kwa kishindo maana mpinzani wake ambaye ni Magufuli ni dhaifu sana,
Kwamba Magu soft sana kwa LissuKaka lissu hahitaji kujinadi kwenye TV huyo kashinda kwa kishindo maana mpinzani wake ambaye ni Magufuli ni dhaifu sana,
Acha kukariri!! Kuna njia nyingi za presentation na presentation ni ART, It all depends on ones skills to impress.Wagombea mkienda kuhojiwa vitu vya Television mwende na summary ya sera zote ukiulizwa sera some kwenye summary yako chapchap taja zote haraka imo kumpa nafasi mwandishi kukuhoji kwenye Hayo maeneo.Lusu alienda mikono mitupu anadhindea kutaja zote
Pili Lisu alitoka bila kusema watanzania nawaombeni kura zenu.Aliondioka tu utafikiri anaandoka kwenye kibao cha uraisi ya mkwewe hakuomba kura
Shida ya kuwa na elimu ndogo ndo hii, mtanzania gani hajui Lissu anagombea uraisi Tanzania na anahitaji kura? hayo waambie ccm wenziyo ambao ufikiri ni finyu.Wagombea mkienda kuhojiwa vitu vya Television mwende na summary ya sera zote ukiulizwa sera some kwenye summary yako chapchap taja zote haraka imo kumpa nafasi mwandishi kukuhoji kwenye Hayo maeneo.Lusu alienda mikono mitupu anadhindea kutaja zote
Pili Lisu alitoka bila kusema watanzania nawaombeni kura zenu.Aliondioka tu utafikiri anaandoka kwenye kibao cha uraisi ya mkwewe hakuomba kura
Atashinda kwa kura zipi?
Nchi tajiri iko wapi? Mbona hayo ma SGR na mabarabara hayajakamilika? Kwa mfano barabara ndogo ya Mwenge -Morocco anaijenga kuanzia December 2015 alipochukua hela za sherehe kwa sifa za KIJINGA mpaka leo inajengwa tu.Haa...yaani ameendelea kulialia,kulalamika na kunung'unika basi. Bado anahoji kwanini mmenunua ndege,kwanini mnajenga Barabara njia 8, kwanini mnajenga flyover...? etc . Wakati majibu ya maswali hayo ni simple mambo hayo yanafanywa na matajiri..! Hivyo TZ ni nchi Tajiri....!
Usitegemee maelekezo kila mara.hayo maelekezo mwisho wake umefika sasaHebu muulize,maana tume inafanya kazi kwa maelekezo kutoka ccm,huyo mpinzani atashindaje kwa mgano?
Tuliza mshono ...matajiri wote hufanya mambo yao namna hiyo.Yote yatakamilika.Embu fikiria Li 'SGR' likikamilika yaani unakaa Dar kazi DOM we kila siku unaenda asb na kurudi jioni....Sisi ni matajiri ...Mzee Magu anajaribu kutufundisha Hilo....Acha kuwa na kichwa kigumu..!Nchi tajiri iko wapi? Mbona hayo ma SGR na mabarabara hayajakamilika? Kwa mfano barabara ndogo ya Mwenge -Morocco anaijenga kuanzia December 2015 alipochukua hela za sherehe kwa sifa za KIJINGA mpaka leo inajengwa tu.
Barabara ya Ubungo- Kibamba toka amebomoa nyumba za watu mwaka 2016 ametujazia diversions za mawe na mapipa.
Angalia pale Gerezani kuanzia 2017 wanasema wanajenga SGR ya umeme kwenda Morogoro, Je ukipata unaona nini?
Kwamba Jiwe na yeye anaweza kukubali kwenda kuhojiwa ?Wagombea mkienda kuhojiwa vitu vya Television mwende na summary ya sera zote ukiulizwa sera some kwenye summary yako chapchap taja zote haraka imo kumpa nafasi mwandishi kukuhoji kwenye Hayo maeneo.Lusu alienda mikono mitupu anadhindea kutaja zote
Pili Lisu alitoka bila kusema watanzania nawaombeni kura zenu.Aliondioka tu utafikiri anaandoka kwenye kibao cha uraisi ya mkwewe hakuomba kura
Lisu hakuwa nazo kichwani.Kuna umuhimu gani wa kwenda na summary kama mtu ameelewa Sera zake?yaani unataka wagombea waende na vpepa wakati ni agenda walizopika wenyewe?huuu ushauri ni wa kitoto kabsa!!
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app