Wagombea mkienda kuhojiwa vitu vya Television mwende na summary ya sera zote ukiulizwa sera some kwenye summary yako chapchap taja zote haraka imo kumpa nafasi mwandishi kukuhoji kwenye Hayo maeneo.Lusu alienda mikono mitupu anadhindea kutaja zote
Pili Lisu alitoka bila kusema watanzania nawaombeni kura zenu.Aliondioka tu utafikiri anaandoka kwenye kikao cha harusi ya mkwewe hakuomba kura
Hayo mahojiano yalifanyika kabla ya kampeni kuanza, na ilikuwa mara baada tu ya kumaliza kutafuta wadhamini. Ungechukua muda kidogo tu kuishughulisha akili yako (kama ipo lakini), usingeanzisha uzi huuPili Lisu alitoka bila kusema watanzania nawaombeni kura zenu.
Ni kweli walipingaMlihamasishana msiende kuboresha taarifa zenu kwenye daftari la mpiga kura wakati nec imetangaza!
Huyo Lisu wenu atapigiwa kura na mawe?
Hao wapiga kura mili 29 wote robo tatu mzima ni wana ccm maana wajumbe wao walihamasisha kupitia nyumba kwa nyumba,
Mwaka huu Lisu hapati zaidi ya 20% ya kura.
Wewe ulimsikiliza Lissu kweli?Wagombea mkienda kuhojiwa vitu vya Television mwende na summary ya sera zote ukiulizwa sera some kwenye summary yako chapchap taja zote haraka imo kumpa nafasi mwandishi kukuhoji kwenye Hayo maeneo.Lusu alienda mikono mitupu anadhindea kutaja zote
Pili Lisu alitoka bila kusema watanzania nawaombeni kura zenu.Aliondioka tu utafikiri anaandoka kwenye kikao cha harusi ya mkwewe hakuomba kura
Wagombea mkienda kuhojiwa vitu vya Television mwende na summary ya sera zote ukiulizwa sera some kwenye summary yako chapchap taja zote haraka imo kumpa nafasi mwandishi kukuhoji kwenye Hayo maeneo.Lusu alienda mikono mitupu anadhindea kutaja zote
Pili Lisu alitoka bila kusema watanzania nawaombeni kura zenu.Aliondioka tu utafikiri anaandoka kwenye kikao cha harusi ya mkwewe hakuomba kura
ILIKUA NI LIVE?Wagombea mkienda kuhojiwa vitu vya Television mwende na summary ya sera zote ukiulizwa sera some kwenye summary yako chapchap taja zote haraka imo kumpa nafasi mwandishi kukuhoji kwenye Hayo maeneo.Lusu alienda mikono mitupu anadhindea kutaja zote
Pili Lisu alitoka bila kusema watanzania nawaombeni kura zenu.Aliondioka tu utafikiri anaandoka kwenye kikao cha harusi ya mkwewe hakuomba kura
Kauli za kujifariji ili baadae mseme mmeibiwa kura.Kaka lissu hahitaji kujinadi kwenye TV huyo kashinda kwa kishindo maana mpinzani wake ambaye ni Magufili ni dhaifu sana,
Wagombea mkienda kuhojiwa vitu vya Television mwende na summary ya sera zote ukiulizwa sera some kwenye summary yako chapchap taja zote haraka imo kumpa nafasi mwandishi kukuhoji kwenye Hayo maeneo.Lusu alienda mikono mitupu anadhindea kutaja zote
Pili Lisu alitoka bila kusema watanzania nawaombeni kura zenu.Aliondioka tu utafikiri anaandoka kwenye kikao cha harusi ya mkwewe hakuomba kura
Aombe kura halafu TCRA waje waifungie ITV muwachike Kuwa imegeuka TV ya CHADEMA.....broo unadhani hawana weledi kama TBC .kile ni kipindi cha mahojiano sio kipindi kinachorusha kampeni...shame of you hujui maudhui ya vyombo vya habar,tofautisha Kipindi cha kulipiwa na kipindi cha kualikwa .Wagombea mkienda kuhojiwa vitu vya Television mwende na summary ya sera zote ukiulizwa sera some kwenye summary yako chapchap taja zote haraka imo kumpa nafasi mwandishi kukuhoji kwenye Hayo maeneo.Lusu alienda mikono mitupu anadhindea kutaja zote
Pili Lisu alitoka bila kusema watanzania nawaombeni kura zenu.Aliondioka tu utafikiri anaandoka kwenye kikao cha harusi ya mkwewe hakuomba kura
Atashinda kwa kura zipi?
Kwani wanaoshinda huwa wanashinda kwa kura zipi?Atashinda kwa kura zipi?
Wewe mpe huyo Lissu kwa kuwa unafaidika nae.Wewe unaesema kura zipi subiri,una mnadi magufuli kafanya nini??yaani atadhinda kwa kura nyingi sana,we yako hatuihitaji we mpe mgufuli kwa kuwa unafaidika nae
Inaonyesha dhahiri kuwa watu kama ninyi ndio mlikuwa mnatumia sana vibomu kwenye chumba vya mtihani πππWagombea mkienda kuhojiwa vitu vya Television mwende na summary ya sera zote ukiulizwa sera some kwenye summary yako chapchap taja zote haraka imo kumpa nafasi mwandishi kukuhoji kwenye Hayo maeneo.Lusu alienda mikono mitupu anadhindea kutaja zote
Pili Lisu alitoka bila kusema watanzania nawaombeni kura zenu.Aliondioka tu utafikiri anaandoka kwenye kikao cha harusi ya mkwewe hakuomba kura
Hawa ni watu wa vibomu kwenye mitihani ndugu, hawajiamini kabisa yani pasi vibomuKuna umuhimu gani wa kwenda na summary kama mtu ameelewa Sera zake?yaani unataka wagombea waende na vpepa wakati ni agenda walizopika wenyewe?huuu ushauri ni wa kitoto kabsa!!
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app