Uchaguzi 2020 Wagombea wenye mentality kama hizi, ni hatari sana kwa musitakabali wa amani yetu

Uchaguzi 2020 Wagombea wenye mentality kama hizi, ni hatari sana kwa musitakabali wa amani yetu

Kejuu

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2020
Posts
645
Reaction score
906
Ndugu zangu,
Kwa kifupi,
Nilikuwa namsikiliza Mh. huyu katika maongozi yake, ila inaonekana kama amekaa kaa kishari kishari vile

()​


Kama akishindwa itakuaje sasa? Maana sioni vyama vingine kama vinatoa vitisho tisho kama hivi, upande huu kuna nini?

Asante,
Nawasilisha
Kejuu
 
Nape alifanya nini au unajitia upofu
Looks like kama wamejazwa sumu vile. It's highly unlikely hii slogan hakutungwa na Mtanzania (maybe a foreign entity). Naona kama siyo pando la Kitanzania, hii ni mbegu nyingine kabisa.
 
Kura haziongezeki kwa jaziba mkuu, ni Sera zako tu. Kuna mgombea mmoja anitumia about 99% kwa ajili ya personal attack, badala ya sera mkuu.
Kwan campaign zimeanza ukasikia hizo sera
 
Mlizoea chaguzi zilizopita kushinda kibabe safari hii ni jino kwa jino.

By da way kigogo karudi mzigoni
Kwani kaanza leo? Unakuwa blinded na siasa za mtandaoni chief? Ila watu wana jambo Leo, keep watching mkuu
 
Kura haziongezeki kwa jaziba mkuu, ni Sera zako tu. Kuna mgombea mmoja anitumia about 99% kwa ajili ya personal attack, badala ya sera mkuu.
Inakuuma hiyo!! basi pole, watz tulishagundua wote ni waongo hata wale wanaosema mji flani nitaubadirisha kuwa dubai miaka 5 inaisha hata rami hakuna.
 
Amani yenu wana CCM eeh? Kama ni hiyo ni kweli kabisa tunakuja kuichukua, jiandaeni.
Mkuu, hii Tanzania ndugu yangu, inatakiwa kuongozwa na watu wenye nia ya dhati, siyo wale ambao wako driven na foreign entities
 
Huyo ndio kamanda! lazima aonyeshe utayari wake anapozungumzia maisha ya watu wengine.
 
Back
Top Bottom