Uchaguzi 2020 Wagombea wenye mentality kama hizi, ni hatari sana kwa musitakabali wa amani yetu

Tabia zenu CCM za wizi wizi wa kura, usanii usanii achenj; kuchezea chaguzi hasa hizo ndogo kweli mnatia aibu..kama si kinyaaa ndizo zinazofanya wagombea wa vyama vingine wawaonye!!

Kwa mfano Kinondoni pale Police eti wanakimbia na sanduku la Kura mchana kweupe pee..

Mawakala kuwazuia wasiingie vituoni hadi saa 5 asubuhi ili mfanye ujanja ujanja

Huu ndiyo uhuni unaowafanya vyama vingine wawaonye!!

Acheni ujanja ujanja ni aibu kubwa kwa chama chemye umri wa miaka zaidi ya 40.
 
Anawadanganya wenzake huyo. Asubiri Kipyenga kupulizwe aone anavyopoteana.
 
Mkuu, hii tz ndugu yangu, inatakiwa kuongozwa na watu wenye nia ya dhati, siyo wale ambao wako driven na foreign entities
Ni kweli, mataifa makubwa yote yanahaha mchana na usiku kuhakikisha wanalinda maslahi yao na kuvuna resources kokote kule duniani.

Lakini hakuna mgombe yeyote kwenye uchaguzi huu ambaye tunaweza kusema anatumiwa na foreign entities, kutafuta msaada nje pale unapokandamizwa nchini kwako ni jambo la kawaida na viongozi wengi duniani yamefanya hivyo.
 
Nakubaliana na wewe mkuu, ila kwa hali tuliyokuwa nayo kipindi kile before huyu Mh. Hajaingia madarakani, it was completely terrible kwenye rushwa na uzembe, hata hawa ndugu zetu ajenda kuu yao ilikuwa kupambana na rushwa na ufisadi. So, mh. Magu akaziba hilo ombwe.
 
Tabia zenu CCM za wizi wizi wa kura, usanii usanii achenj; kuchezea chaguzi hasa hizo ndogo kweli mnatia aibu..kama si kinyaaa ndizo zinazofanya wagombea wa vyama vingine wawaonye!!

Kwa mfano Kinondoni pale Police eti wanakimbia na sanduku la Kura mchana kweupe pee..

Mawakala kuwazuia wasiingie vituoni hadi saa 5 asubuhi ili mfanye ujanja ujanja

Huu ndiyo uhuni unaowafanya vyama vingine wawaonye!!

Acheni ujanja ujanja ni aibu kubwa kwa chama chemye umri wa miaka zaidi ya 40.
Chief, hayo ni ya kweli police wakimbie na sanduku? Anyway, chamsingi now nikuwa na siasa za kisitarabu.
 
Inakuuma hiyo!! basi pole, watz tulishagundua wote ni waongo hata wale wanaosema mji flani nitaubadirisha kuwa dubai miaka 5 inaisha hata rami hakuna.
Mkuu huku Tabora pamekua Toronto aisee.
 
Tukitaka kuliepusha taifa letu na uvunjifu wa amani ni tume kutenda haki basi. Haiwezekani tudai amani huku tunawanyima haki watu wetu.
 
Ndugu zangu,
Kwa kifupi,
Nilikuwa namsikiliza Mh. huyu katika maongozi yake, ila inaonekana kama amekaa kaa kishari kishari vile (). Kama akishindwa itakuaje sasa? Maana sioni vyama vingine kama vinatoa vitisho tisho kama hivi, upande huu kuna nini?

Asante,
Nawasilisha
Kejuu

Jiwe na tume ya uchaguzi ndio wataingiza nchi hii kwenye machafuko. Inawezekana vipi watanzania wanaokaribia 60m kuwe na wapiga kura 29m+? Yaani idadi ya watu wenye miaka 18+ iwe sawa na walio chini ya miaka 18!? Kwa maneno marahisi kila watu wawili wa Tanzania, mmoja kajiandikisha kupiga kura. Yaani ni sawa na kusema kila mtanzania mwenye miaka 18+, kajiandikisha kupiga kura. Kama sio kutaka kuleta machafuko kwenye hii nchi maana yake ni nini?
 
Tukitaka kuliepusha taifa letu na uvunjifu wa amani ni tume kutenda haki basi. Haiwezekani tudai amani huku tunawanyima haki watu wetu.

Mkuu tume itatenda vipi haki wakati tayari wana idadi ya wapiga kura ya uongo? Watanzania tunakaribia 60m, tume imesema waliojiandikisha kupiga kura ni 29m+. Ina maana kila watanzania wawili mmoja kajiandikisha kupiga kura. Hii maana yake ni kuwa mtu yoyote mwenye miaka 18+ ndani ya nchi hii ana kitambulisho cha kupiga kura, huku wenye vitambulisho vya taifa hawafiki idadi hiyo! Hapo unategemea kuna haki itatendeka?
 
Ndugu zangu,
Kwa kifupi,
Nilikuwa namsikiliza Mh. huyu katika maongozi yake, ila inaonekana kama amekaa kaa kishari kishari vile (). Kama akishindwa itakuaje sasa? Maana sioni vyama vingine kama vinatoa vitisho tisho kama hivi, upande huu kuna nini?

Asante,
Nawasilisha
Kejuu

Kejuu chadema inakutesa sana. Utakonda mkuu zungumzia ya ccm huko uwe na amani.
 
Hivi huyu Salome Makamba kazaliwa na ni makazi wa Shy town kweli ?Chadema Shy mna wafuasi,ila kwa huyu Salome mmechamsha. Hapa Katambi atapita kiulainiiiii.
 
Mkuu tume itatenda vipi haki wakati tayari wana idadi ya wapiga kura ya uongo? Watanzania tunakaribia 60m, tume imesema waliojiandikisha kupiga kura ni 29m+. Ina maana kila watanzania wawili mmoja kajiandikisha kupiga kura. Hii maana yake ni kuwa mtu yoyote mwenye miaka 18+ ndani ya nchi hii ana kitambulisho cha kupiga kura, huku wenye vitambulisho vya taifa hawafiki idadi hiyo! Hapo unategemea kuna haki itatendeka?
Kuilaumu tume utakuwa unakosea, uzuri idadi ya wapiga kura si inajulikana, sasa wasiwasi utoke wapi sasa?
 
Hivi huyu Salome Makamba kazaliwa na ni makazi wa Shy town kweli ?Chadema Shy mna wafuasi,ila kwa huyu Salome mmechamsha. Hapa Katambi atapita kiulainiiiii.
Looks like uko vizuri kufanya analysis
 
Kejuu chadema inakutesa sana. Utakonda mkuu zungumzia ya ccm huko uwe na amani.
It's my responsibilities kushade light on Tanzanians mind. Najua kwa hapa jf, everyone has decision already, it's unlikely that you can change someone who's politically maturity, but in reality the truth should be told kwa wananzengo. Then, itakuwa jukumu lao kufanya maamuzi
 
Inakuuma hiyo!! basi pole, watz tulishagundua wote ni waongo hata wale wanaosema mji flani nitaubadirisha kuwa dubai miaka 5 inaisha hata rami hakuna.
But unaona progress mkuu, mh anavyojitahidi kufanya hivyo
 
Back
Top Bottom