Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kuilaumu tume utakuwa unakosea, uzuri idadi ya wapiga kura si inajulikana, sasa wasiwasi utoke wapi sasa?
Siilaumu tume bali nakuonyesha kuwa tume imejiandaa kuja na matokeo ya kupika. Kama ina idadi ya wapiga kura ya uongo, itawezaje kutoa matokeo ya kweli? Toka lini nusu ya wananchi wa nchi hii wakajiandikisha kupiga kura?