Uchaguzi 2020 Wagombea wenye mentality kama hizi, ni hatari sana kwa musitakabali wa amani yetu

Kuilaumu tume utakuwa unakosea, uzuri idadi ya wapiga kura si inajulikana, sasa wasiwasi utoke wapi sasa?

Siilaumu tume bali nakuonyesha kuwa tume imejiandaa kuja na matokeo ya kupika. Kama ina idadi ya wapiga kura ya uongo, itawezaje kutoa matokeo ya kweli? Toka lini nusu ya wananchi wa nchi hii wakajiandikisha kupiga kura?
 
Sasa mkuu, kama kungekuwa na shida kwenye daftari, wadau wa uhaguzi wasingekubali. Na limeboreshwa several time
 
Sasa mkuu, kama kungekuwa na shida kwenye daftari, wadau wa uhaguzi wasingekubali. Na limeboreshwa several time

Narudia tena, hakuna uwezekano wa nusu ya watanzania wote kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura, ndio maana tume haitoi nafasi ya hilo daftari kuhakikiwa. Hili ninalokuambia sikuambii kwa bahati mbaya. Kama ni machafuko kutokea nchi hii, basi Magufuli na tume ya uchaguzi ndio watakuwa wahusika. Tokea lini kila mtanzania mwenye miaka 18+ akawa amejiandikisha kupiga kura? Inawezekana vipi watu wenye miaka 18+ wakawa idadi sawa na wale walio chini ya miaka 18?

Hapo ni swala la kusubiri wadau wa uchaguzi kwa jambo lililo wazi hivyo? Halafu hapo ndio tutegemee matokeo ya kweli wakati idadi ya wapiga kura ni ya kupika? Kwangu kutokana na idadi hii ya kupika, tayari matokeo yatakayotangazwa na tume hii sio ya kweli.
 
Looks like kama wamejazwa sumu vile. It's highly unlikely hii slogan hakutungwa na Mtanzania (maybe a foreign entity). Naona kama siyo pando la Kitanzania, hii ni mbegu nyingine kabisa.
Awamu hiii #BASI#
leteni ujinga muone
Punguzeni ujinga...na yule aliyesema wapinzani wapigwe mboko mmefanya nn?
 
WAMECHOKA! NISHAWAHI ONA JOGOO MMOJA AMBAE KILA SIKU ALIKUWA ANAPIGWA NA MWENZAKE! EE BWANA KUDADADEKI KUNA SIKU ALIMUAMULIA ALIMTANDIKA MPAKA AKATAKA KUMUUA.
 
Kumbe ofisi za chadema shinyanga bado zipo pale karibu na stend ya zamani!!!!!!
Tena yakupanga
 
Unapoteza muda wako na propaganda zisizo na faida.
 
WAMECHOKA! NISHAWAHI ONA JOGOO MMOJA AMBAE KILA SIKU ALIKUWA ANAPIGWA NA MWENZAKE! EE BWANA KUDADADEKI KUNA SIKU ALIMUAMULIA ALIMTANDIKA MPAKA AKATAKA KUMUUA.
NDIYO MNAVYOJAZWA UPEPO CHIEF?
 
Toa evidence
 
Hiki chama bana. Kinatuharibia wake na wachumba. Wanawake wamesimama na maneno makali hatarii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…