Wagonga ulimbo mapenzi tuyaepuke kama ukoma

Ukiwa unaogopa kumiliki gari sababu unawaza bei ya mafuta then hautakuja miliki gari milele.

Namaanisha kusema kama unaogopa kuoa sababu unaogopa gharama za maisha then hautakuja kuoa.

Kuna namna mbili maisha hubadilika. Moja ni wewe ukikomaa kuyabadilisha au mbili ni kama atakuja mtu kwenye maisha yako na kukupa sababu ya kuyabadilisha.
 
Zama zimebadilika ila baadhi hatutaki kuukubali huu ukweli, ukweli ni kuwa wanawake siku zetu wako kimkakati zaidi, wanawake wapo kwa ajili kuwa na uhuru kiuchumi, hawataki tena kutawaliwa, ndo maana Mwanamke akija kwako kimahusiano anakuja kimkakati ili achume, akiona haiwezekani ataenda kwa mwingine, huoni wanawke wako kwny ndoa ila wanaliwa ili wapewe hela, kwasabbu ya mkakat wa ulimwengu wa haki sawa, ndo umekuja kuharibu Sana, hvyo kijana mwenzangu kubali kubadilika, maisha sio lazima ndoa, maisha sio lazma watoto,
Ww tafta hela mzee, uko bored nenda zanzba
 
Bonge la ushauri mkuu
 
Jamii ndiyo Inamlazimisha mtu kuoa na kuwa na watoto.
 
Hukuwa na mpango wa kutafuta hela tu, yani mwanamke kukuacha ndio umekuwa motivated šŸ˜‚šŸ¤£, kwahiyo angekukubali na shida zako ungeridhika na shida zako.
fala tu huyušŸ¤£šŸ¤£šŸ˜€
 
Kesho utakuja na habar za kudhalilisha wanawake Kwa sababu ya situation uliyopitia

Silaha kubwa Kwa mwanaume kwenye hii Dunia Sasa ni pesa kama huna pesa utakuja kulialia humu kama mtoto
Na akina nyie siraha yenu kubwa kwenye dunia ya leo ni ipi?
 
Duh mimi nisipokuwa na pesa siwezi kutamani mwanamke.
Kufanya mapenzi maana yake umeshiba, una furaha na una akiba.

Kuna jamaa aliniuliza mbona unazeeka huoi, huna mtoto na huna maisha magumu, namimi nikamuuliza mbona wewe una watoto wengi na una maisha magumu.
 
Back
Top Bottom