Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Asa unanitafuta iyo pesa usioijua wapi umeipotezašmkuu ngoja nitafute hela kwa bidii sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asa unanitafuta iyo pesa usioijua wapi umeipotezašmkuu ngoja nitafute hela kwa bidii sana.
Huyo mwamba mzembe sana bora alivyoachwa [emoji23].Hukuwa na mpango wa kutafuta hela tu, yani mwanamke kukuacha ndio umekuwa motivated [emoji23][emoji1787], kwahiyo angekukubali na shida zako ungeridhika na shida zako.
Daaah hii spana imeniingia kweki kweliTafuta hela ili uweze kuondoa shida zako, usi tafute hela ili uka honge mwanamke.
View attachment 3229588
Bonge la ushauri mkuuZama zimebadilika ila baadhi hatutaki kuukubali huu ukweli, ukweli ni kuwa wanawake siku zetu wako kimkakati zaidi, wanawake wapo kwa ajili kuwa na uhuru kiuchumi, hawataki tena kutawaliwa, ndo maana Mwanamke akija kwako kimahusiano anakuja kimkakati ili achume, akiona haiwezekani ataenda kwa mwingine, huoni wanawke wako kwny ndoa ila wanaliwa ili wapewe hela, kwasabbu ya mkakat wa ulimwengu wa haki sawa, ndo umekuja kuharibu Sana, hvyo kijana mwenzangu kubali kubadilika, maisha sio lazima ndoa, maisha sio lazma watoto,
Ww tafta hela mzee, uko bored nenda zanzba
Jamii ndiyo Inamlazimisha mtu kuoa na kuwa na watoto.Zama zimebadilika ila baadhi hatutaki kuukubali huu ukweli, ukweli ni kuwa wanawake siku zetu wako kimkakati zaidi, wanawake wapo kwa ajili kuwa na uhuru kiuchumi, hawataki tena kutawaliwa, ndo maana Mwanamke akija kwako kimahusiano anakuja kimkakati ili achume, akiona haiwezekani ataenda kwa mwingine, huoni wanawke wako kwny ndoa ila wanaliwa ili wapewe hela, kwasabbu ya mkakat wa ulimwengu wa haki sawa, ndo umekuja kuharibu Sana, hvyo kijana mwenzangu kubali kubadilika, maisha sio lazima ndoa, maisha sio lazma watoto,
Ww tafta hela mzee, uko bored nenda zanzba
fala tu huyuš¤£š¤£šHukuwa na mpango wa kutafuta hela tu, yani mwanamke kukuacha ndio umekuwa motivated šš¤£, kwahiyo angekukubali na shida zako ungeridhika na shida zako.
Ndo uji elewe Sasa mkuu.Daaah hii spana imeniingia kweki kweli
Na akina nyie siraha yenu kubwa kwenye dunia ya leo ni ipi?Kesho utakuja na habar za kudhalilisha wanawake Kwa sababu ya situation uliyopitia
Silaha kubwa Kwa mwanaume kwenye hii Dunia Sasa ni pesa kama huna pesa utakuja kulialia humu kama mtoto
mi na focus kwenye mipango yangu, ila ku hustle kwa ajili ya Dem uongo Sana.Una akili sana kijana.
Hata kama huna hela huwezi kosa nyapu, nyapu zipo za standard tofauti tofauti ni kuishi kwenye level yako.
Frida tena mkuu..yupoje huyo maana majina haya..yana changanya sanaI wish aione hii fridaaaaaah umejua kuniliza
Ni kujidanganya mkuumi na focus kwenye mipango yangu, ila ku hustle kwa ajili ya Dem uongo Sana.