Wagonjwa anaowaposti MC Pilipili ni sahihi kuchangiwa, si Prof. Jay

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,540
Reaction score
30,875
Nilishawahi kusema, nanitazidi kusema kuwa ngozi nyeusi ina laana, ukishazaliwa mweusi basi huna tofauti na waliomwasi Mungu. Maana yangu ni hii hapa achane kupaniki Nina hoja zangu kubwa za msingi.

MC Pilipili huwa anajitolea kuwafata wagonjwa kwenye mikoa ya mbali kwa gharama zake mwenyewe lakini anahitaji msaada wa kuchanga ili Hao wagonjwa wapate matibabu, watanzania huwa tunasoma post na kuiburuza juu, nakujifanya kama hatuoni yaani mgonjwa anahitaji million 5 tu kupata matibabu lakini inachukua mpaka mwezi kukamilisha kiasi hicho, nachukia sana tu.

Mimi kwa upande wangu siwezi kuchota maji kwenye ndoo nikaijaze bahari, hapana kwakwel. Prof. Jay Ana uwezo wakupata matibabu popote pale atakapotaka kwa gharama zake mwenyewe, uwezo huo anao lakini sisi watu weusi tunajifanya hamnazo kufosi achangiwe huku makapuku waliokosa hata nauli ili waende muhimbili kupata tiba wananukishana harufu kali ya maradhi majumbani, naanapotokea mtu wa kumu expose kwenye media kutoa hata 500 tu nikipengele, sijui kwann tunatia aibu hivi.

Familia ya prof Jay haitaki michango, lakini Kuna njemba zinafosi ili zionekane kuwa na utu kuliko wengine. Hili jambo limenikwaza sana, wenye Mali hawataki kwann ulazimishe, kama Kuna haja yakuchanga ili wagonjwa wapate matibabu basi tuwachangie masikini sio pr Jay.

Katiba mpya sio ya chadema, ni takwa la wananchi

Screenshot_20220211-125516_1.jpg
 
.... Hawa ndio wa kuchangia, sio Pro J!
 
Kuna mtu amekulazimisha kuchangia? Na kwa nini uwapangie watu maisha yao? Kama wametoa matangazo ya kumchangia, na wewe hujisikii kuchangi! Si upite kushoto? Mapovu ya nini?

Yaani unalazimisha watu watumie fedha zao kwa matumizi unayo yataka wewe, kana kwamba unawasaidia pia kwenye kutafuta! Wewe kama unajisikia kuwachangia hao wagonjwa wa jamaa yako Mc Pilipili, changia! Na kama wengine wameshawishika kumchangia huyo Prof. J, waache wachangie!
 
Naihurumia hiyo shingo yako iliyobeba kichwa chako
 
Back
Top Bottom