Wagonjwa anaowaposti MC Pilipili ni sahihi kuchangiwa, si Prof. Jay

Huyo ni mgagagigikoko ana makasiriko ya maisha hamjui Jay eti V8 ameniona ana hiyo gari kweli???

Watu wa vichakani bana
Huyo jamaa mshamba kweli huenda nabishana na mtu ambaye kaja mjini zama za Mr.Chocolate flavor na kina Best Nasso
 
Huyu hayupo mjini kabisa hii no JF hata sio mtu anayeonekana humu Mara kwa mara itakuwa ametoka huko namanyele kaenda Nkasi mjini ndio amepata network sasa anajifanya keyboard hero, mavi tu.
 
Nilishawahi kusema, nanitazidi kusema kuwa ngozi nyeusi ina laana, ukishazaliwa mweusi basi huna tofauti na waliomwasi Mungu. Maana yangu ni hii hapa achane kupaniki Nina hoja zangu kubwa za msingi.

MC Pilipili huwa anajitolea kuwafata wagonjwa kwenye mikoa ya mbali kwa gharama zake mwenyewe lakini anahitaji msaada wa kuchanga ili Hao wagonjwa wapate matibabu, watanzania huwa tunasoma post na kuiburuza juu, nakujifanya kama hatuoni yaani mgonjwa anahitaji million 5 tu kupata matibabu lakini inachukua mpaka mwezi kukamilisha kiasi hicho, nachukia sana tu.

Mimi kwa upande wangu siwezi kuchota maji kwenye ndoo nikaijaze bahari, hapana kwakwel. Prof. Jay Ana uwezo wakupata matibabu popote pale atakapotaka kwa gharama zake mwenyewe, uwezo huo anao lakini sisi watu weusi tunajifanya hamnazo kufosi achangiwe huku makapuku waliokosa hata nauli ili waende muhimbili kupata tiba wananukishana harufu kali ya maradhi majumbani, naanapotokea mtu wa kumu expose kwenye media kutoa hata 500 tu nikipengele, sijui kwann tunatia aibu hivi.

Familia ya prof Jay haitaki michango, lakini Kuna njemba zinafosi ili zionekane kuwa na utu kuliko wengine. Hili jambo limenikwaza sana, wenye Mali hawataki kwann ulazimishe, kama Kuna haja yakuchanga ili wagonjwa wapate matibabu basi tuwachangie masikini sio pr Jay.

Katiba mpya sio ya chadema, ni takwa la wananchi

Uko sahihi, Hoja yako ina maana kubwa.
Ila swala profesa J yeye binafsi hajaomba msaada ila wadau/marafiki zake ndo waliomba kibali cha familia ili wamchangie mwenzao.

Mwisho utoaji ni hiyari kulingana na mtu alivyoguswa.
 
bila aibu unapiga kampeni watu wasimchangie binadamu mwenzio anayeteseka kwa maradhi kwa sababu tu eti anapesa na sikingine, ni uhuru wa kila mtu kumchangia mtu ampendaye.
watu kama nyinyi sijui mnaishi vipi na binadamu wenzenu huko mtaani.
 
Nilishawahi kusema, nanitazidi kusema kuwa ngozi nyeusi ina laana, ukishazaliwa mweusi basi huna tofauti na waliomwasi Mungu. Maana yangu ni hii hapa achane kupaniki Nina hoja zangu kubwa za msingi.

MC Pilipili huwa anajitolea kuwafata wagonjwa kwenye mikoa ya mbali kwa gharama zake mwenyewe lakini anahitaji msaada wa kuchanga ili Hao wagonjwa wapate matibabu, watanzania huwa tunasoma post na kuiburuza juu, nakujifanya kama hatuoni yaani mgonjwa anahitaji million 5 tu kupata matibabu lakini inachukua mpaka mwezi kukamilisha kiasi hicho, nachukia sana tu.

Mimi kwa upande wangu siwezi kuchota maji kwenye ndoo nikaijaze bahari, hapana kwakwel. Prof. Jay Ana uwezo wakupata matibabu popote pale atakapotaka kwa gharama zake mwenyewe, uwezo huo anao lakini sisi watu weusi tunajifanya hamnazo kufosi achangiwe huku makapuku waliokosa hata nauli ili waende muhimbili kupata tiba wananukishana harufu kali ya maradhi majumbani, naanapotokea mtu wa kumu expose kwenye media kutoa hata 500 tu nikipengele, sijui kwann tunatia aibu hivi.

Familia ya prof Jay haitaki michango, lakini Kuna njemba zinafosi ili zionekane kuwa na utu kuliko wengine. Hili jambo limenikwaza sana, wenye Mali hawataki kwann ulazimishe, kama Kuna haja yakuchanga ili wagonjwa wapate matibabu basi tuwachangie masikini sio pr Jay.

Katiba mpya sio ya chadema, ni takwa la wananchi

Familia imeombaa Dua zetu tu Watanzania! Lakini Serekali lazima ijiiongeze kwenye game ya siasa,hapo CCM 2-Chadema 0!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Ni kwa nini gofundme haifanyi kazi Tanzania?Sites kama hizi ni reliable sana...
Watu wanakula mpaka rambirambi kisa zinapitia kwenye simu zao..
Na wabongo ujamaa umetufanya kuwa wasiri sana..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom