MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,294
- 4,920
Kila mtu achague pa kupeleka upendo wake. Tusipangiane cha kufanya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mja laanakum usitulazimishe kumchangia huyo nduguyo anayeumwa matende. Kila mtu anapeleka sadaka yake pale ambapo nafsi yake imeguswa.Nilishawahi kusema, nanitazidi kusema kuwa ngozi nyeusi ina laana, ukishazaliwa mweusi basi huna tofauti na waliomwasi Mungu. Maana yangu ni hii hapa achane kupaniki Nina hoja zangu kubwa za msingi.
MC Pilipili huwa anajitolea kuwafata wagonjwa kwenye mikoa ya mbali kwa gharama zake mwenyewe lakini anahitaji msaada wa kuchanga ili Hao wagonjwa wapate matibabu, watanzania huwa tunasoma post na kuiburuza juu, nakujifanya kama hatuoni yaani mgonjwa anahitaji million 5 tu kupata matibabu lakini inachukua mpaka mwezi kukamilisha kiasi hicho, nachukia sana tu.
Mimi kwa upande wangu siwezi kuchota maji kwenye ndoo nikaijaze bahari, hapana kwakwel. Prof. Jay Ana uwezo wakupata matibabu popote pale atakapotaka kwa gharama zake mwenyewe, uwezo huo anao lakini sisi watu weusi tunajifanya hamnazo kufosi achangiwe huku makapuku waliokosa hata nauli ili waende muhimbili kupata tiba wananukishana harufu kali ya maradhi majumbani, naanapotokea mtu wa kumu expose kwenye media kutoa hata 500 tu nikipengele, sijui kwann tunatia aibu hivi.
Familia ya prof Jay haitaki michango, lakini Kuna njemba zinafosi ili zionekane kuwa na utu kuliko wengine. Hili jambo limenikwaza sana, wenye Mali hawataki kwann ulazimishe, kama Kuna haja yakuchanga ili wagonjwa wapate matibabu basi tuwachangie masikini sio pr Jay.
Katiba mpya sio ya chadema, ni takwa la wananchi
wazungu wanaofumuana marinda wamemuasi nani?Nilishawahi kusema, nanitazidi kusema kuwa ngozi nyeusi ina laana, ukishazaliwa mweusi basi huna tofauti na waliomwasi Mungu. Maana yangu ni hii hapa achane kupaniki Nina hoja zangu kubwa za msingi.
MC Pilipili huwa anajitolea kuwafata wagonjwa kwenye mikoa ya mbali kwa gharama zake mwenyewe lakini anahitaji msaada wa kuchanga ili Hao wagonjwa wapate matibabu, watanzania huwa tunasoma post na kuiburuza juu, nakujifanya kama hatuoni yaani mgonjwa anahitaji million 5 tu kupata matibabu lakini inachukua mpaka mwezi kukamilisha kiasi hicho, nachukia sana tu.
Mimi kwa upande wangu siwezi kuchota maji kwenye ndoo nikaijaze bahari, hapana kwakwel. Prof. Jay Ana uwezo wakupata matibabu popote pale atakapotaka kwa gharama zake mwenyewe, uwezo huo anao lakini sisi watu weusi tunajifanya hamnazo kufosi achangiwe huku makapuku waliokosa hata nauli ili waende muhimbili kupata tiba wananukishana harufu kali ya maradhi majumbani, naanapotokea mtu wa kumu expose kwenye media kutoa hata 500 tu nikipengele, sijui kwann tunatia aibu hivi.
Familia ya prof Jay haitaki michango, lakini Kuna njemba zinafosi ili zionekane kuwa na utu kuliko wengine. Hili jambo limenikwaza sana, wenye Mali hawataki kwann ulazimishe, kama Kuna haja yakuchanga ili wagonjwa wapate matibabu basi tuwachangie masikini sio pr Jay.
Katiba mpya sio ya chadema, ni takwa la wananchi
Inabidi uende Facebook huku hakukufai, Maxence Melo mpige ban huyuWe mja laanakum usitulazimishe kumchangia huyo nduguyo anayeumwa matende. Kila mtu anapeleka sadaka yake pale ambapo nafsi yake imeguswa.
Halafu unaonyesha wewe ndio mwenye laana sababu umepaniki sana na kuanza kutukana watu weusi ingali una nduku jeusi Kama giza la pangoni, kwa hiyo babako na mamako wajaa laana kiss waafrika wakakuzaa mweusi umejaa laana na ukoo wako mbwa wewe.
Usitutakie dhambi bure peleka laana zako kijijini kwenu kalale na dadako mzae ngozi nyeupe faken .
MwikiuJamani naomba kufahamisha,
Prof. Jay anaumwa nini?
Hilo ni swali kweli? Si kwa sababu ni mtumishi wa umma.Kama huwezi changia usiwakatishe tamaa wenzako. Mbona speaker alitumia hela ya umma na hamkusema?
Wewe ni fala unatukana weusi hata huyo maxence ni mweusi unatafuta umaarufu kwa ujinga wako pumbavu kabisa.Inabidi uende Facebook huku hakukufai, Maxence Melo mpige ban huyu
Vipi wanaochangia harusi na kuacha hao wagonjwa wa mc pilipili.?Nilishawahi kusema, nanitazidi kusema kuwa ngozi nyeusi ina laana, ukishazaliwa mweusi basi huna tofauti na waliomwasi Mungu. Maana yangu ni hii hapa achane kupaniki Nina hoja zangu kubwa za msingi.
MC Pilipili huwa anajitolea kuwafata wagonjwa kwenye mikoa ya mbali kwa gharama zake mwenyewe lakini anahitaji msaada wa kuchanga ili Hao wagonjwa wapate matibabu, watanzania huwa tunasoma post na kuiburuza juu, nakujifanya kama hatuoni yaani mgonjwa anahitaji million 5 tu kupata matibabu lakini inachukua mpaka mwezi kukamilisha kiasi hicho, nachukia sana tu.
Mimi kwa upande wangu siwezi kuchota maji kwenye ndoo nikaijaze bahari, hapana kwakwel. Prof. Jay Ana uwezo wakupata matibabu popote pale atakapotaka kwa gharama zake mwenyewe, uwezo huo anao lakini sisi watu weusi tunajifanya hamnazo kufosi achangiwe huku makapuku waliokosa hata nauli ili waende muhimbili kupata tiba wananukishana harufu kali ya maradhi majumbani, naanapotokea mtu wa kumu expose kwenye media kutoa hata 500 tu nikipengele, sijui kwann tunatia aibu hivi.
Familia ya prof Jay haitaki michango, lakini Kuna njemba zinafosi ili zionekane kuwa na utu kuliko wengine. Hili jambo limenikwaza sana, wenye Mali hawataki kwann ulazimishe, kama Kuna haja yakuchanga ili wagonjwa wapate matibabu basi tuwachangie masikini sio pr Jay.
Katiba mpya sio ya chadema, ni takwa la wananchi
Laiti mngejua Ubunge wa Term moja haukupi utajiri! Ndio stage ya kwanza ya kujipanga tu kuanzia term ya pili ndio hela inaanza kutulia.Watakuja wapuuzi hapa waseme ni roho mbaya.
Yani mtu kastaafu ubunge mwaka mmoja tu umepita eti tumchangie, tutamsaidia maombi tu sio hela
Dah serious shiyt “Mapinduzi halisi” long live proffessor Jay.
Hapo sasa he anakuja na kujifanya anajua sana na ana huruma sana utakuta hata kanisani tu hajawahi kutoa hata mia acha ombaomba wa barabarani.Vipi wanaochangia harusi na kuacha hao wagonjwa wa mc pilipili.?
Mke wa professor j amesema kwenye interview ( wasafi) kwamba wanatumia million 3 mara nyingine 4 kwa wiki. Hivyo anaeweza amchangie. Sidhani mtu kama anazo atachangisha watu, jina linaweza kuwa kubwa, ume invest lkn hakuna cash ya kutoshaNilishawahi kusema, nanitazidi kusema kuwa ngozi nyeusi ina laana, ukishazaliwa mweusi basi huna tofauti na waliomwasi Mungu. Maana yangu ni hii hapa achane kupaniki Nina hoja zangu kubwa za msingi.
MC Pilipili huwa anajitolea kuwafata wagonjwa kwenye mikoa ya mbali kwa gharama zake mwenyewe lakini anahitaji msaada wa kuchanga ili Hao wagonjwa wapate matibabu, watanzania huwa tunasoma post na kuiburuza juu, nakujifanya kama hatuoni yaani mgonjwa anahitaji million 5 tu kupata matibabu lakini inachukua mpaka mwezi kukamilisha kiasi hicho, nachukia sana tu.
Mimi kwa upande wangu siwezi kuchota maji kwenye ndoo nikaijaze bahari, hapana kwakwel. Prof. Jay Ana uwezo wakupata matibabu popote pale atakapotaka kwa gharama zake mwenyewe, uwezo huo anao lakini sisi watu weusi tunajifanya hamnazo kufosi achangiwe huku makapuku waliokosa hata nauli ili waende muhimbili kupata tiba wananukishana harufu kali ya maradhi majumbani, naanapotokea mtu wa kumu expose kwenye media kutoa hata 500 tu nikipengele, sijui kwann tunatia aibu hivi.
Familia ya prof Jay haitaki michango, lakini Kuna njemba zinafosi ili zionekane kuwa na utu kuliko wengine. Hili jambo limenikwaza sana, wenye Mali hawataki kwann ulazimishe, kama Kuna haja yakuchanga ili wagonjwa wapate matibabu basi tuwachangie masikini sio pr Jay.
Katiba mpya sio ya chadema, ni takwa la wananchi
Mshkaji hata V8 hajakopa alikuwa na landcruiser ya kawaida Kama Ile ya Sugu watu hawajui personal battles mtu alizonazo na anazopigana nazo.Laiti mngejua Ubunge wa Term moja haukupi utajiri! Ndio stage ya kwanza ya kujipanga tu kuanzia term ya pili ndio hela inaanza kutulia.
Kumbuka una deni la V8 unakatwa, unadeni la wadhamini waliokusapoti uufikie Ubunge, Una majukumu ya familia, Jamaa amemaliza harusi tu hajakaa sawa kavunjiwa nyumba Kimara.
Acheni ushamba jamani kama hutaki kuchanga kauka usisambaze chuki!
Wewe ni mpumbavu, yeye na mkulima aliyeko kakonko anayeumwa nan anahitaji msaada? V8 alilazimishiwa au kwa starehe zake? Halafu ww ni mbulula hujui kwamba wabunge wanapewa bure hela ya gari up to 90M bure ikizidi hapo ndio unakopeshwa hiyo iliyozidi.Laiti mngejua Ubunge wa Term moja haukupi utajiri! Ndio stage ya kwanza ya kujipanga tu kuanzia term ya pili ndio hela inaanza kutulia.
Kumbuka una deni la V8 unakatwa, unadeni la wadhamini waliokusapoti uufikie Ubunge, Una majukumu ya familia, Jamaa amemaliza harusi tu hajakaa sawa kavunjiwa nyumba Kimara.
Acheni ushamba jamani kama hutaki kuchanga kauka usisambaze chuki!
Sawa mzee naona una uchungu sana na hela zako nenda kamnunulie malaya wako champagne jumatatu😂Wewe ni mpumbavu, yeye na mkulima aliyeko kakonko anayeumwa nan anahitaji msaada? V8 alilazimishiwa au kwa starehe zake? Halafu ww ni mbulula hujui kwamba wabunge wanapewa bure hela ya gari up to 90M bure ikizidi hapo ndio unakopeshwa hiyo iliyozidi.
Mchangie ww mwenye ukoma wa fikra labda ulikula nae hizo pesa.
NB simuombei mabaya, namuombea Mungu amjalie uponyaji lakini suala la kumchangia ni ujuha.
Kama alitapanya fedha alizopata kuanzia kwenye muziki na za ubunge basi ni wakati wa majuto. Straight like that
Wanaongea tu ilimradi yani jamaa ana battle kinyama na afya na maisha kwa ujumla! Kipindi mkewe kaanza kufanya u MC tu nilijua kuna tatizo mahali!Mshkaji hata V8 hajakopa alikuwa na landcruiser ya kawaida Kama Ile ya Sugu watu hawajui personal battles mtu alizonazo na anazopigana nazo.
Kumbuka mshkaji hajaanza kuumwa Leo na wakaomba msaada leoleo huyu ameumwa kipindi tu.
Pia hiyo miaka mitano wanasahau alivunjiwa nyumba yote ikaisha ambayo ndio alitoka kuhamia tu pale ubungo. Akalazimika kupanga nyumba mbezi beach.
Kumbuka wakati wa ubunge wa term moja alipigana sana arudi Ila ikashindikana na Magufuli alimuahidi kitita na kumpa jimbo Ila mshkaji alikataa usaliti.
Leo watu wanaongea wasioyajua tu.
Huyo ni mgagagigikoko ana makasiriko ya maisha hamjui Jay eti V8 ameniona ana hiyo gari kweli???Sawa mzee naona una uchungu sana na hela zako nenda kamnunulie malaya wako champagne jumatatu😂