Wagonjwa anaowaposti MC Pilipili ni sahihi kuchangiwa, si Prof. Jay

We mja laanakum usitulazimishe kumchangia huyo nduguyo anayeumwa matende. Kila mtu anapeleka sadaka yake pale ambapo nafsi yake imeguswa.

Halafu unaonyesha wewe ndio mwenye laana sababu umepaniki sana na kuanza kutukana watu weusi ingali una nduku jeusi Kama giza la pangoni, kwa hiyo babako na mamako wajaa laana kiss waafrika wakakuzaa mweusi umejaa laana na ukoo wako mbwa wewe.

Usitutakie dhambi bure peleka laana zako kijijini kwenu kalale na dadako mzae ngozi nyeupe faken .
 
Wa
wazungu wanaofumuana marinda wamemuasi nani?
 
Inabidi uende Facebook huku hakukufai, Maxence Melo mpige ban huyu
 
Kama huwezi changia usiwakatishe tamaa wenzako. Mbona speaker alitumia hela ya umma na hamkusema?
Hilo ni swali kweli? Si kwa sababu ni mtumishi wa umma.
Yaani Leo mama Samia aumwe aalafu asitumie pesa ya umma?
 
Vipi wanaochangia harusi na kuacha hao wagonjwa wa mc pilipili.?
 
Watakuja wapuuzi hapa waseme ni roho mbaya.
Yani mtu kastaafu ubunge mwaka mmoja tu umepita eti tumchangie, tutamsaidia maombi tu sio hela
Laiti mngejua Ubunge wa Term moja haukupi utajiri! Ndio stage ya kwanza ya kujipanga tu kuanzia term ya pili ndio hela inaanza kutulia.

Kumbuka una deni la V8 unakatwa, unadeni la wadhamini waliokusapoti uufikie Ubunge, Una majukumu ya familia, Jamaa amemaliza harusi tu hajakaa sawa kavunjiwa nyumba Kimara.

Acheni ushamba jamani kama hutaki kuchanga kauka usisambaze chuki!
 
Vipi wanaochangia harusi na kuacha hao wagonjwa wa mc pilipili.?
Hapo sasa he anakuja na kujifanya anajua sana na ana huruma sana utakuta hata kanisani tu hajawahi kutoa hata mia acha ombaomba wa barabarani.
 
Mke wa professor j amesema kwenye interview ( wasafi) kwamba wanatumia million 3 mara nyingine 4 kwa wiki. Hivyo anaeweza amchangie. Sidhani mtu kama anazo atachangisha watu, jina linaweza kuwa kubwa, ume invest lkn hakuna cash ya kutosha
 
Mshkaji hata V8 hajakopa alikuwa na landcruiser ya kawaida Kama Ile ya Sugu watu hawajui personal battles mtu alizonazo na anazopigana nazo.

Kumbuka mshkaji hajaanza kuumwa Leo na wakaomba msaada leoleo huyu ameumwa kipindi tu.

Pia hiyo miaka mitano wanasahau alivunjiwa nyumba yote ikaisha ambayo ndio alitoka kuhamia tu pale ubungo. Akalazimika kupanga nyumba mbezi beach.

Kumbuka wakati wa ubunge wa term moja alipigana sana arudi Ila ikashindikana na Magufuli alimuahidi kitita na kumpa jimbo Ila mshkaji alikataa usaliti.

Leo watu wanaongea wasioyajua tu.
 
Wewe ni mpumbavu, yeye na mkulima aliyeko kakonko anayeumwa nan anahitaji msaada? V8 alilazimishiwa au kwa starehe zake? Halafu ww ni mbulula hujui kwamba wabunge wanapewa bure hela ya gari up to 90M bure ikizidi hapo ndio unakopeshwa hiyo iliyozidi.
Mchangie ww mwenye ukoma wa fikra labda ulikula nae hizo pesa.
NB simuombei mabaya, namuombea Mungu amjalie uponyaji lakini suala la kumchangia ni ujuha.
Kama alitapanya fedha alizopata kuanzia kwenye muziki na za ubunge basi ni wakati wa majuto. Straight like that
 
Sawa mzee naona una uchungu sana na hela zako nenda kamnunulie malaya wako champagne jumatatušŸ˜‚
 
Wanaongea tu ilimradi yani jamaa ana battle kinyama na afya na maisha kwa ujumla! Kipindi mkewe kaanza kufanya u MC tu nilijua kuna tatizo mahali!
 
Hela yangu, moyo wangu, Prof. Mtu wetu halafu unifosi pa kuchangia?

Unapiga hesabu ya hela za mfukoni kwangu?

Aliyechangia kikubwa kwenye jamii, naye atapewa kipaumbele kuliko aliyetoa kidogo.

Professor J kaigusa jamii kwa nyimbo zake hivyo basi anachopewa ni kile alichotoa.

Sasa wewe kama jamii hujaigusa ili ikukumbuke,basi, usitupigie kelele na J wetu.

Usitarajie watu wahangaike na wewe kama wewe huangaiki nao.

Maisha kusaidiana, kama huna machango kwa jamii, basi usitarajie mchango kutoka kwa jamii, na hata ukihitaji mchango mkubwa wakati wewe hukujitoa basi utapiga kelele sana bila mafanikio.

Prof. J., ni msanii ameiburudisha jamii, ameongoza jamii, ameelimisha pia. Kwa hiyo sasa ni zamu yake naye kupewa pongezi kwa kazi yake.

Maisha ni vile unaishi.
 
Sawa mzee naona una uchungu sana na hela zako nenda kamnunulie malaya wako champagne jumatatušŸ˜‚
Huyo ni mgagagigikoko ana makasiriko ya maisha hamjui Jay eti V8 ameniona ana hiyo gari kweli???

Watu wa vichakani bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…