Wagonjwa anaowaposti MC Pilipili ni sahihi kuchangiwa, si Prof. Jay

Huyo ni mgagagigikoko ana makasiriko ya maisha hamjui Jay eti V8 ameniona ana hiyo gari kweli???

Watu wa vichakani bana
Huyo jamaa mshamba kweli huenda nabishana na mtu ambaye kaja mjini zama za Mr.Chocolate flavor na kina Best Nasso
 
Huyo jamaa mshamba kweli huenda nabishana na mtu ambaye kaja mjini zama za Mr.Chocolate flavor na kina Best Nasso
Huyu hayupo mjini kabisa hii no JF hata sio mtu anayeonekana humu Mara kwa mara itakuwa ametoka huko namanyele kaenda Nkasi mjini ndio amepata network sasa anajifanya keyboard hero, mavi tu.
 
Uko sahihi, Hoja yako ina maana kubwa.
Ila swala profesa J yeye binafsi hajaomba msaada ila wadau/marafiki zake ndo waliomba kibali cha familia ili wamchangie mwenzao.

Mwisho utoaji ni hiyari kulingana na mtu alivyoguswa.
 
bila aibu unapiga kampeni watu wasimchangie binadamu mwenzio anayeteseka kwa maradhi kwa sababu tu eti anapesa na sikingine, ni uhuru wa kila mtu kumchangia mtu ampendaye.
watu kama nyinyi sijui mnaishi vipi na binadamu wenzenu huko mtaani.
 
Familia imeombaa Dua zetu tu Watanzania! Lakini Serekali lazima ijiiongeze kwenye game ya siasa,hapo CCM 2-Chadema 0!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Ni kwa nini gofundme haifanyi kazi Tanzania?Sites kama hizi ni reliable sana...
Watu wanakula mpaka rambirambi kisa zinapitia kwenye simu zao..
Na wabongo ujamaa umetufanya kuwa wasiri sana..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…