Wagonjwa wa Corona wadaiwa kuvunja geti hospitali ya Amana na kutoroka. Mwananyamala waleta vurugu wakitaka waruhusiwe

Wagonjwa wa Corona wadaiwa kuvunja geti hospitali ya Amana na kutoroka. Mwananyamala waleta vurugu wakitaka waruhusiwe

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tukifanikiwa kwa njia hii kutibu corona virus, itabidi tuajaribuna kwenye ukimwi maana na ukimwi c unasababishwa na virus.

Nimejaribu kujitoa ufaham

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe fukiza tu, kumbe virusi vinayeyuka tu, wazungu walituchelewesha sana
 
Tatizo lipo wapi hapo sasa wakati mkuu kasema ni upuuzi mtupu kuwafungia watu karantini ni bora waje wapambane na wenzao waliopo mtaani..hospital wawepo wale wanao takiwa kwenda icu tu.sa mtu mpaka anavunja geti au ana ruka ukuta si mzima huyo.
 
Chukua tahadhari binafsi, jilinde wewe binafsi na familia yako. Korona inaua. Tena inaua kikatili. Haichagui rangi, maskini au tajiri, kabila, dini au chochote. Inafyeka tu.

Fuata maelekezo yanayotelewa na vyombo mbalimbali vya afya duniani kujikinga na huyu korona mla watu. Kama huna ulazima wa kutoka kaaa nyumbani.

Afadhali kukosa kwa kipindi hiki lakini ubakie salama wewe na familia yako. Utajuta baadae utakapoona familia yako inateketea kwa kutofuata maelekezo.

Jifungieni ndani na familia zenu. Nyie endeleeni kusubiri serikali iwafungie. Serikali imeshawapa uhuru wa kuchagua, wakawaletea na watoto wenu nyumbani, mkae mtulie au mfe kwa uzembe wenu wenyewe.

Hii ni "Survival for the fittest," by Darwin

Covid 19 is real and it kills.💀💀💀
 
Back
Top Bottom