Chukua tahadhari binafsi, jilinde wewe binafsi na familia yako. Korona inaua. Tena inaua kikatili. Haichagui rangi, maskini au tajiri, kabila, dini au chochote. Inafyeka tu.
Fuata maelekezo yanayotelewa na vyombo mbalimbali vya afya duniani kujikinga na huyu korona mla watu. Kama huna ulazima wa kutoka kaaa nyumbani.
Afadhali kukosa kwa kipindi hiki lakini ubakie salama wewe na familia yako. Utajuta baadae utakapoona familia yako inateketea kwa kutofuata maelekezo.
Jifungieni ndani na familia zenu. Nyie endeleeni kusubiri serikali iwafungie. Serikali imeshawapa uhuru wa kuchagua, wakawaletea na watoto wenu nyumbani, mkae mtulie au mfe kwa uzembe wenu wenyewe.
Hii ni "Survival for the fittest," by Darwin
Covid 19 is real and it kills.πππ