Wagonjwa wa Corona wadaiwa kuvunja geti hospitali ya Amana na kutoroka. Mwananyamala waleta vurugu wakitaka waruhusiwe

yani action ambazo china walikua wanachukua hadi kumepunguza idadi ya maambukizi na vifo, leo hii mtu anasema ni UPUUZI halafu unaendelea kuomba msaada , hivi WHO ni wajinga kias gani hadi wasaidie watu ambao anayewaongoza hajielewi
Kwa kauli zile za Mh. Rais tutegemee zaidi ya hayo!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni pigo kwa jiwe badala ya kauli zake za jana mbofu mbofu!Na aangalie dana anacheza na maisha ya Watanzania atapata pigo kubwa kushinda hili
 
Loh!

Ishekuwa tabu sasa,ila na wewe uliyechukua hii video mbona kama upo chumbani kwako na mkeo mnapokezana kuzungumza usije kuwa unatafuta views kwenye channel yako uchwara.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
In this era kweli tumekosa video ya tukio? Anyway probably watu wanazo ila wanaogopa kuzionyesha.

Hawa wagonjwa na sisi wengine lazima tujue huu ugonjwa umetukuta ghafla tukiwa hatuna mipango na nchi wahisani wakiwa hawana ABC juu ya wapi waanze na wapi wamalizie. Hata hao wahisani na wenyewe wako bize kudeal na huo ugonjwa.

So kuvumiliana na kufikia muafaka ilitakiwa iwe suluhisho la hapa na siyo kutoroka halafu other niggas wanapongeza.
 
Hii ni pigo kwa jiwe badala ya kauli zake za jana mbofu mbofu!Na aangalie dana anacheza na maisha ya Watanzania atapata pigo kubwa kushinda hili
Bahati mbaya ni sisi watu wa kawaida huku mtaani ndio tutaopata tabu. Yeye na familia yake wamejichimbia chato wanakula maisha
 
Mzee jana kasema kama watu wako fit wasifungiwe na kama wanaumwa basi wakajifukize tu watapona.
Sasa hao jamaa kama ni kweli wametoroka basi wamejiongeza vizuri kuitikia wito wa mheshimiwa. Wanapaswa kupongezwa.
Wataalam wanasema kwamba kama una mpango wa kuua chawa ama viroboto jifukize, ila kwa covid19 kujifukiza hakuna manufaa.

Zaidi, unaweza leta madhara katika mfumo wa hewa wa ngozi, kwakua mfumo huo ni mahsusi kwa ajili ya hewa ya kawaida iliyopo katika mazingia, na sio ule moshi emited kipindi unapojifukiza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni pigo kwa jiwe badala ya kauli zake za jana mbofu mbofu!Na aangalie dana anacheza na maisha ya Watanzania atapata pigo kubwa kushinda hili
Hawa waliotoroka Amana, ni vema wangekimbilia Chato. Pale kuna hospirali nzuri. Mkuu wetu angepata nafasi nzuri ya kujifunza juu ya ugonjwa huu, na kuona majaribio yake ya kutibu kwa kufukiza yanavyoweza kusaidia wagonjwa wa Covid 19.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmeashaambiwa mjifukizie!😎😎
 
Loh!

Ishekuwa tabu sasa,ila na wewe uliyechukua hii video mbona kama upo chumbani kwako na mkeo mnapokezana kuzungumza usije kuwa unatafuta views kwenye channel yako uchwara.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Sivyo unavyofikiria. Kuna video nyingi na taarifa zilizozagaa kuelezea tukio hilo. Heri wanaosaidiki bila kuona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona watu wanakaa kwenye Sauna tena yenye 75°c? kujifukiza ni natural Sauna tu mkuu...imekuwapo dahari na dahari
 
Mkemia mkuu, kiongozi mtarajiwa wa malaika, Jiwe aka Dereva wa lori ameshasema kufukiza inatosha kuua Corona, mimi na wewe ni nani tumpinge?

Kujifukiza ndio kuunga mkono juhudi za mheshimiwa. Jamani tujifukize.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…