Wagonjwa wa "Red eyes" muwe wastarabu

Wagonjwa wa "Red eyes" muwe wastarabu

Zemanda

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2021
Posts
8,323
Reaction score
18,051
Habarini wadau.

Kuna maambukizi ya ule ugonjwa wa macho mekundu almaarufu kama red eyes, ambao husababisha macho kuwasha, kuuma, kuwa mekundu sana, kuvimba na kutoa uchafu mwingi sana wa tongo tongo.

Ni ugonjwa unaosambaa kwa kasi sana endapo tahadhari hazitachukuliwa mapema kutoka kwa walio ambukizwa kuwaelekea ambao hawajaambukizwa.

Ugonjwa huu unasambaswa sana kwa njia ya vimelea au Virusi kutoka kwa mgonjwa anaposhika macho yake na kuwapakaza wengine kwa njia ya kuwagusa aidha machoni direct (hii ni kwa watoto sana sana maeneo yao ya michezo), au mgonjwa kujigusa machoni wakati akijifikicha na kushika sehemu mbali mbali kama vitasa vya milango, siti za daladala na mabomba ya abiria waliosimama na kujishikiza, vijiko, sahani, vikombe au glass, remote , na hata arm rest za viti wanaposhika na kupakaza wale Viruses, kushikana mikono wakati wa salam na kadhalika.

Kitu kinacho nikwaza katika kipindi hiki cha maambukizi ni changamoto ya watu ambao tayari wameambukizwa inakuta wanajichanganya maeneo ya mkusanyiko na miwani yao myeusi kama paka wa kichawi wakishika vitu, pesa, na mazingira kwa ujumla jambo linalopelekea kusambaa kwa Virusi hawa wabaya kwa kasi kubwa.

Imagine pesa inashikwa na mikono michafu mingapi ya watu wenye red eyes wasio na ustaarabu wa kunawa mikono yao na sabuni ili kupunguza maambukizi.

Unakuta jitu linafikicha macho halafu linashika vyombo, milango, pesa, na kusababisha Virusi kusambaa kwa kasi.

Kwann usitulie nyumbani japo hata siku mbili au tatu ujiuguze upone ndipo kujichanganya na watu, au kama ni lazima sana kutoka why usichukue tahadhari ya kubeba sanitizer mfukoni au kwenye pochi, na kusanitize mikono yako kila baada ya masaa kadhaa ili kupunguzo carriage load ya Virusi kwenye viganja na vidole vyako before haujasambazia wengine popote walipo?

Kwann usiwe na subira na afya yako at least upone kwanza kabla haujawasambazia wengine?

Tahadhari ni muhimu ili kuwalinda wengine, mtu una mgahawa unaruhusu vipi muhudumu au mpishi aje kazini na anaumwa red eyes kwann usimpe 'paid leave' hadi apone ndipo aje kazini?

Mtu anahudumia watu huku kavaa miwani myeusi, macho yamevimba na machafu yanatia kinyaa hata kutazama. Why unaendelea kukaa eneo la kazi badala ya kujiuguza at least upate nafuu.

Aisee nimechefukwa sana leo. Nimekuna na watu wenye red eyes sehemu 4 tofauti na pote huko wanashika shika vitu na pesa. Nimechefukwa sana aisee.
 
Habarini wadau.

Kuna maambukizi ya ule ugonjwa wa macho mekundu almaarufu kama red eyes, ambao husababisha macho kuwasha, kuuma, kuwa mekundu sana, kuvimba na kutoa uchafu mwingi sana wa tongo tongo.

Ni ugonjwa unaosambaa kwa kasi sana endapo tahadhari hazitachukuliwa mapema kutoka kwa walio ambukizwa kuwaelekea ambao hawajaambukizwa.

Ugonjwa huu unasambaswa sana kwa njia ya vimelea au bacteria kutoka kwa mgonjwa anaposhika macho yake na kuwapakaza wengine kwa njia ya kuwagusa aidha machoni direct (hii ni kwa watoto sana sana maeneo yao ya michezo), au mgonjwa kujigusa machoni wakati akijifikicha na kushika sehemu mbali mbali kama vitasa vya milango, siti za daladala na mabomba ya abiria waliosimama na kujishikiza, vijiko, sahani, vikombe au glass, remote , na hata arm rest za viti wanaposhika na kupakaza wale bacteria, kushikana mikono wakati wa salam na kadhalika.

Kitu kinacho nikwaza katika kipindi hiki cha maambukizi ni changamoto ya watu ambao tayari wameambukizwa inakuta wanajichanganya maeneo ya mkusanyiko na miwani yao myeusi kama paka wa kichawi wakishika vitu, pesa, na mazingira kwa ujumla jambo linalopelekea kusambaa kwa bakteria hawa wabaya kwa kasi kubwa.

Imagine pesa inashikwa na mikono michafu mingapi ya watu wenye red eyes wasio na ustaarabu wa kunawa mikono yao na sabuni ili kupunguza maambukizi.

Unakuta jitu linafikicha macho halafu linashika vyombo, milango, pesa, na kusababisha bakteria kusambaa kwa kasi.

Kwann usitulie nyumbani japo hata siku mbili au tatu ujiuguze upone ndipo kujichanganya na watu, au kama ni lazima sana kutoka why usichukue tahadhari ya kubeba sanitizer mfukoni au kwenye pochi, na kusanitize mikono yako kila baada ya masaa kadhaa ili kupunguzo carriage load ya bacteria kwenye viganja na vidole vyako before haujasambazia wengine popote walipo?

HUO NDIO UAFRIKA, LAANA NA KOSA KUBWA ALILOLIFANYA MUNGU (KAMA YUPO) NI KUMUUMBA MTU MWEUSI
 
Sawa mwanangu Ila njaa zinafanya tunatoka mkuu..!!hapo kwenye sanitize sawa..!!Siku izi nimekuwa sio mtu wa mitandao Ila naona Kama serikali imekaa kimya au washatoa tamko au kwakuwa huu ugonjwa hauchukui uhai wa mtu wala kutia upofu..?
 
Poleee Mkuu, ila nimechekaaa....🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Hao wanaoambukiza wenzao makusudi ni wale tuumwe wote tuteseke wote..... kiukweli si ustaarabu.

Ila hao uliowakuta wako kazini na miwani yao, sidhani kama wamependa. Ukute bosi kawaambia usipokuja kazini ukipona ukatafute kazi mahala pengine.

Naamini hakuna asiyependa kupumzika, labda wawe wanavizia tipu njaa. Ila wanaofanya vibarua ili walipe bili zao za kila siku hawanauthubutu wa kujiamlia kupumzika.

Umenikumbusha enzi nafanya kazi, si kuwa nilikuwa napenda kufanya kazi ila mafua/flu yalikuwa hayanilazi nyumbani.

Safari moja yalikomaa, niko kwenye dawati la kazi, uso umenivimba, mwili wa moto, mafua yanachuruzika kama maji, bosi wangu akaniambia... Kasinde nenda nyumbani ukipona ndo uje....

Sikuwa mtu wa vizinga vya ruhusa za kila leo... hivyo siku nikiomba udhuru ujue kweli nimekamatika.

Poleni asieeh, ila kujikinga na wewe vaa tuu hiyo miwani tintedi ili miale ya redeye isikupate.
 
pole sana,
Changamoto kubwa ni Ufahamu na uelewa mdogo usiotosha juu ya ugonjwa na jinsi unavyo sambaa...

Lakini jambo jengine ni namna tunapo pata riziki zetu za kila siku, wengi wetu hasa mijini ni forced labour, ni lazima uende kazini ili mkono uende kinywani licha ya kwamba ni mgonjwa tena ugonjwa wa kuambukiza.🐒

Hata na hivyo Mwenyezi Mungu atafanyie wepesi tukabiliane nalo tatizo hili na hatimae liieshe na kutokomea kabisaa
 
Sawa mwanangu Ila njaa zinafanya tunatoka mkuu..!!hapo kwenye sanitize sawa..!!Siku izi nimekuwa sio mtu wa mitandao Ila naona Kama serikali imekaa kimya au washatoa tamko au kwakuwa huu ugonjwa hauchukui uhai wa mtu wala kutia upofu..?
Watoe tangazo wapi zaidi ya kukausha? Wamepiga kimya kabisa hakuna tahadhari wala maelekezo. Ila kipindi cha ule ugonjwa feki wa wazungu COVID-19, tulipekeshwa hapa hadi tukajuta.
 
Poleee Mkuu, ila nimechekaaa....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hao wanaoambukiza wenzao makusudi ni wale tuumwe wote tuteseke wote..... kiukweli si ustaarabu.

Ila hao uliowakuta wako kazini na miwani yao, sidhani kama wamependa. Ukute bosi kawaambia usipokuja kazini ukipona ukatafute kazi mahala pengine.

Naamini hakuna asiyependa kupumzika, labda wawe wanavizia tipu njaa. Ila wanaofanya vibarua ili walipe bili zao za kila siku hawanauthubutu wa kujiamlia kupumzika.

Umenikumbusha enzi nafanya kazi, si kuwa nilikuwa napenda kufanya kazi ila mafua/flu yalikuwa hayanilazi nyumbani.

Safari moja yalikomaa, niko kwenye dawati la kazi, uso umenivimba, mwili wa moto, mafua yanachuruzika kama maji, bosi wangu akaniambia... Kasinde nenda nyumbani ukipona ndo uje....

Sikuwa mtu wa vizinga vya ruhusa za kila leo... hivyo siku nikiomba udhuru ujue kweli nimekamatika.

Poleni asieeh, ila kujikinga na wewe vaa tuu hiyo miwani tintedi ili miale ya redeye isikupate.
Dah hatari sana mzee.
 
pole sana,
Changamoto kubwa ni Ufahamu na uelewa mdogo usiotosha juu ya ugonjwa na jinsi unavyo sambaa...

Lakini jambo jengine ni namna tunapo pata riziki zetu za kila siku, wengi wetu hasa mijini ni forced labour, ni lazima uende kazini ili mkono uende kinywani licha ya kwamba ni mgonjwa tena ugonjwa wa kuambukiza.[emoji205]

Hata na hivyo Mwenyezi Mungu atafanyie wepesi tukabiliane nalo tatizo hili na hatimae liieshe na kutokomea kabisaa
Mmmmmmhmn hii ni mbaya sana.
 
Back
Top Bottom