Tajiri wa kinyankole
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,977
- 4,912
Habari ni kwamba zipo taarifa za kuaminika kuwa hospitali ya rufaa kanda ya shinyanga iliyopo eneo la mwawaza watendaji wa hospitali hiyo wameingia kwenye kashfa kubwa za kushindwa kutoa huduma bora kwa jamii kwani malalamiko mengi ni kuwepo kwa vifo vingi vinavyotokana na operation za wagonjwa zinazofanywa na madaktari wa hospitali hiyo ambapo wagonjwa wengi wanapoteza maisha kila wanapofanyiwa operation hizo.
Wito kwa serikali vyombo vinavyohusika fatilieni taarifa hiyo ili kuweza kujuwa ukweli wa taarifa hiyo kwani malalamiko kwa baadhi ya wananchi yamekuwa ni mengi , baadhi wameenda mbali nakusema kuwa kama una mgonjwa anayefanyiwa operation katika hospitali hiyo jiandae kuzika.