Hiyo ni kawaida mkuu,,,
Wazungu walipokua wanagawa mipaka hawakuzingatia jamii za watu au makabila yaliyoishi humo wao waligawana kwa kuzingatia maslahi yao!!…Hivo Ramani zilizopo leo africa n za wakoloni na ziligawa jamii moja ya watu au kabila moja la watu na kuwafanya wawe nchi moja ua mbili tofauti.
Mfano masai wapo Tanzania na kenya
makonde wapo Msumbiji na Tanzania
Wajaruo wapo tanzania na kenya
Wahaya wapo tanzania na kenya
Ingawa baada ya muda kabila moja lililokua nchi tofauti huwa tofauti sana kutokana na kutengana kwa muda mrefu