GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Aliyesema "Afrika ni moja hakukosea".nilishangaa siku moja kusikia mwanadiplomasia mmoja wa Malawi jina lake ni MWAKYEMBE. hao ukoo wa mwakyembe ni wanakyusa wa kyela na wapo pande zote mbili, tanzania na malawi.
nilishangaa siku moja kusikia mwanadiplomasia mmoja wa Malawi jina lake ni MWAKYEMBE. hao ukoo wa mwakyembe ni wanakyusa wa kyela na wapo pande zote mbili, tanzania na malawi.
[emoji2][emoji2][emoji2]Me kama Muha wa kigoma naomba Paul Kagame atuchukue tu[emoji855],,CCM wakitoka madarakan aturudishe TZ.
Wachokoza Omulangira HangayaKama wanaipenda sana rwanda, Burundi Na DRC basi Warejee huko
Tz ni ya watanzania Kwa makabila yake... ukiona kabila lako lipo india una taka kusogeza mpaka hadi singida[emoji23] haito kubalika, au kwenu Oman unataka kusogeza mpaka hadi bagamoyo, hii sio sawa bora urejee wewe kwa babu zako au asili yako[emoji23]
Warudi Home Kwao RwandaAisee..
Kwa hiyo hao Ha wanatakiwa huko Rwanda, au?
Omurushaka, Kayanga, Nkwenda, Kaisho, KyerwaKwahiyo wanaitaka na kigoma,[emoji28][emoji28] wasiwasahau wahangaza wa ngara,biharamulo,kyerwa na karagwe kwa wanyambo.
Omurushaka, Kayanga, Nkwenda, Kaisho, Kyerwa
Ngara
Waha na Wahutu ni wale wale tu. Migawanyiko ya ukoloni ndio imesababisha yote hayo. Ni sawa na Watusi na Wahangaza wa Ngara.Mimi nilikuwa nikifikiri Waha wana unasaba na Warundi! Wanasikilizana lugha.
hii nchi isingekuwa imara katika mipaka yake ingegeuzwa asusa kama dr congo mashariki. Huko kigoma, bukoba, mtwara na kwingine mipakani nchi jirani zingejipenyeza huko na kuleta fujo ili tu zitwae maeneo hayo zikidai ni yaoNdio maana mr slim mizuka yake ikipanda huwa anapiga mkwara kigoma ni sehemu yao na ipo siku akiamua kuliamsha dude hatasita kufanya hivyo kuichukua sehemu hiyo.
Hiyo kigoma yote muirudishe rwanda,Burundi na kongoAisee..
Kwa hiyo hao Ha wanatakiwa huko Rwanda, au?
Chimbuko la mwafrika au siyo sehemu moja,watu wametoka mbaliMimi nilikuwa nikifikiri Waha wana unasaba na Warundi! Wanasikilizana lugha.
Hiyo kawaida mbonanilishangaa siku moja kusikia mwanadiplomasia mmoja wa Malawi jina lake ni MWAKYEMBE. hao ukoo wa mwakyembe ni wanakyusa wa kyela na wapo pande zote mbili, tanzania na malawi.
Wajaluo wako mpaka Sudan,na West afrikaHiyo ni kawaida mkuu,,,
Wazungu walipokua wanagawa mipaka hawakuzingatia jamii za watu au makabila yaliyoishi humo wao waligawana kwa kuzingatia maslahi yao!!…Hivo Ramani zilizopo leo africa n za wakoloni na ziligawa jamii moja ya watu au kabila moja la watu na kuwafanya wawe nchi moja ua mbili tofauti.
Mfano masai wapo Tanzania na kenya
makonde wapo Msumbiji na Tanzania
Wajaruo wapo tanzania na kenya
Wahaya wapo tanzania na kenya
Ingawa baada ya muda kabila moja lililokua nchi tofauti huwa tofauti sana kutokana na kutengana kwa muda mrefu
Mkuu umeshafika Kigoma? Warundi wametapakaa huko wakifanya vibarua vya kulima mashamba n.k. Waha wanawatania kuwa ndiyo matrekta yao.Waha wale siyo wabongo kweli, we mtu gani unamfanyisha kazi ya kuchunga ng'ombe mwaka mzima unamlipa laki mbili tu na anakubali
Itoeni kigoma watz si wanawambiaga watu kigoma warundi...Warudi Home Kwao Rwanda
Na waichukue sisi si tunawaitaka kigoma warundi wakongo rwandaNdio maana mr slim mizuka yake ikipanda huwa anapiga mkwara kigoma ni sehemu yao na ipo siku akiamua kuliamsha dude hatasita kufanya hivyo kuichukua sehemu hiyo.