Waha acheni uchawi. Muuza sambusa kafungua duka la vifaa vya pikipiki vya jumla

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Nakubali biashara ni hatua, ila hatua alizopiga huyu muha ni uchawi kabisa. Alikuwa akitembeza sambusa.

Ukihesabu kwenye ile pot yake ni kama sambusa 50-100 kwa siku. Hapo hupata 25k-50k kwa siku, ukiondoa gharama za kuandaa, muda na chakula, lets say kwa siku anapata faida ya 10-20k. Kuumwa na matatizo mengine pia lazima tuyahesabu.

Duka la kawaida la vifaa vya pikipiki ni atound 5ml -10ml. Duka la jumla mtaji wake si chini ya milioni 25.

Sasa kutoka kwenye kutembeza sambusa mpaka kufungua duka la milioni zaidi ya 25 ghafla inawezekana vipi kama si uchawi? Acheni uchawi.

Angepitia hatua kadhaa mpaka kumiliki duka kubwa kiasi hichi sawa, sasa huyu dogo kapotea kuuliza yuko wapi naambiwa yuko Ilala kafungua duka la jumla la vifaa vya pikipiki.

Ikumbukwe kodi ya fremu Ilala lazima uandae kama milioni 5 hivi wakati wa kuanza biashara.
 
Vipi kupata mkopo, nayo ni sehemu ya uchawi?
 
Ila Waha wapo moto kwelikweli kwenye biashara.
 
Back
Top Bottom