Waha acheni uchawi. Muuza sambusa kafungua duka la vifaa vya pikipiki vya jumla

Waha acheni uchawi. Muuza sambusa kafungua duka la vifaa vya pikipiki vya jumla

Assume; huo aliofungulia hilo duka ni mgao wa watu wawili yeye na mdogo wake, kaka anauza vifaa vya pikipiki na dogo anaendelea kuuza sambusa.
Wewe ungekubali?
Duka lenu wote la mamilioni then wew utembeze sambusa juani yeye yuko kivulini anahesabu noti tu
 
Kwa hiyo wewe mtoa mada umeathirikaje kwa yeye kifungua hilo duka la spea za tukutuku?
Fanya mambo yako Mkuu kama na wewe unaona vipi kafanye na wewe ulozi ufungue duka kama lake.
JF imekuwaje siku hizi, members wanaanzisha Uzi za kipumbavu sana Mimi binafsi nampa kongole sana huyo muuza kahawa kama hajafanya any criminal act by law
 
Usione mtu ni machinga ukafkiri hana plan kichwani, huyo Muha katika mihangaiko yake ya kila siku kuna mtu au mahala alifika akapata idea hiyo so huwezi jua huko kwao alikuwa na kitu gani ambacho pengine labda aliuza akapata mtaji akatimiza lengo lake.
Sio kila aliepiga hatua alitumia ndumba, ni mipango tu dogo.

Akili mtu wangu!
 
Benki hawatoi mkopo kurahisi kwa muuza sambusa
Huenda alikuwa anaweka bank kila anachopata
Maana nawajua sana Waha kwa ubahili
Wakiwa wanasafiri ana mihogo yake na dumu la maji ya kisimani

Huyo ujue ana duka kubwa wilayani ila ndio hivyo tena

Akifika dar anafunga mzigo analala stesheni na mizigo, hiyo ilikuwa zamani ila siku hizi wanapakia kwenye malori kwa kuchagia

Wengine huwa ni majambazi
Hapo unaona anauza kahawa ila ana semi auto akipotea kidogo kaenda sehemu kuvamia
Wapo wa kila aina
Na kila mmoja ana siri yake
 
Nakubali biashara ni hatua, ila hatua alizopiga huyu muha ni uchawi kabisa. Alikuwa akitembeza sambusa.

Ukihesabu kwenye ile pot yake ni kama sambusa 50-100 kwa siku. Hapo hupata 25k-50k kwa siku, ukiondoa gharama za kuandaa, muda na chakula, lets say kwa siku anapata faida ya 10-20k. Kuumwa na matatizo mengine pia lazima tuyahesabu.

Duka la kawaida la vifaa vya pikipiki ni atound 5ml -10ml. Duka la jumla mtaji wake si chini ya milioni 25.

Sasa kutoka kwenye kutembeza sambusa mpaka kufungua duka la milioni zaidi ya 25 ghafla inawezekana vipi kama si uchawi? Acheni uchawi.

Angepitia hatua kadhaa mpaka kumiliki duka kubwa kiasi hichi sawa, sasa huyu dogo kapotea kuuliza yuko wapi naambiwa yuko Ilala kafungua duka la jumla la vifaa vya pikipiki.

Ikumbukwe kodi ya fremu Ilala lazima uandae kama milioni 5 hivi wakati wa kuanza biashara.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Huwa siziamini story za uchawi kwenye kupata pesa
Unaamini za malaika?
Hata Mungu anaamini kuwa uchawi upo , wewe una imani kuliko muumba?
Mungu anamwita shetani kuwa ni mungu( mmiliki) wa vitu vya duniani.
Tofautisha kati ya kuamini uwepo wa uchawi na kuamini katika uchawi.
 
Nakubali biashara ni hatua, ila hatua alizopiga huyu muha ni uchawi kabisa. Alikuwa akitembeza sambusa.

Ukihesabu kwenye ile pot yake ni kama sambusa 50-100 kwa siku. Hapo hupata 25k-50k kwa siku, ukiondoa gharama za kuandaa, muda na chakula, lets say kwa siku anapata faida ya 10-20k. Kuumwa na matatizo mengine pia lazima tuyahesabu.

Duka la kawaida la vifaa vya pikipiki ni atound 5ml -10ml. Duka la jumla mtaji wake si chini ya milioni 25.

Sasa kutoka kwenye kutembeza sambusa mpaka kufungua duka la milioni zaidi ya 25 ghafla inawezekana vipi kama si uchawi? Acheni uchawi.

Angepitia hatua kadhaa mpaka kumiliki duka kubwa kiasi hichi sawa, sasa huyu dogo kapotea kuuliza yuko wapi naambiwa yuko Ilala kafungua duka la jumla la vifaa vya pikipiki.

Ikumbukwe kodi ya fremu Ilala lazima uandae kama milioni 5 hivi wakati wa kuanza biashara.
Chukua 100 x 500= 50,000 x30=1,500,000 hiyo ni kwa mwezi piga 1,500,000 x 12=.... harafu ndo useme uchawi, tatizo watu tunadharau biashara ndogo ndogo hapo anamzidi hata mfanya kazi wa serikAri Au chukulia hyi hesabu yako ya 20k kwa mwezi harafu kwa mwaka twna
 
Alafu amechanua vizuri kabisa kwenye andiko lake kuhusu kipato kwa siku lakini bado anaamini jamaa mchawi. Alafu hata mtaji alioanzia ni wa kawaida kulinganisha na mchanganuo alioleta mwenye Uzi.
 
Nenda naww kaloge upate hela, acheni kukariri maisha.
 
Back
Top Bottom