Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
- Thread starter
-
- #21
Wewe ungekubali?Assume; huo aliofungulia hilo duka ni mgao wa watu wawili yeye na mdogo wake, kaka anauza vifaa vya pikipiki na dogo anaendelea kuuza sambusa.
Hivi Kuna uchawi kabisa wa kumletea mtu hela? Kwamba umelala zako huna hata thumni. Unaamka asubuhi unakuta mihela kabatini au mezani zimeletwa kiuchawi!?
Huenda alikuwa anaweka bank kila anachopataBenki hawatoi mkopo kurahisi kwa muuza sambusa
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Nakubali biashara ni hatua, ila hatua alizopiga huyu muha ni uchawi kabisa. Alikuwa akitembeza sambusa.
Ukihesabu kwenye ile pot yake ni kama sambusa 50-100 kwa siku. Hapo hupata 25k-50k kwa siku, ukiondoa gharama za kuandaa, muda na chakula, lets say kwa siku anapata faida ya 10-20k. Kuumwa na matatizo mengine pia lazima tuyahesabu.
Duka la kawaida la vifaa vya pikipiki ni atound 5ml -10ml. Duka la jumla mtaji wake si chini ya milioni 25.
Sasa kutoka kwenye kutembeza sambusa mpaka kufungua duka la milioni zaidi ya 25 ghafla inawezekana vipi kama si uchawi? Acheni uchawi.
Angepitia hatua kadhaa mpaka kumiliki duka kubwa kiasi hichi sawa, sasa huyu dogo kapotea kuuliza yuko wapi naambiwa yuko Ilala kafungua duka la jumla la vifaa vya pikipiki.
Ikumbukwe kodi ya fremu Ilala lazima uandae kama milioni 5 hivi wakati wa kuanza biashara.
Unaamini za malaika?Huwa siziamini story za uchawi kwenye kupata pesa
Hakuna kitu Kama hichoHivi Kuna uchawi kabisa wa kumletea mtu hela? Kwamba umelala zako huna hata thumni. Unaamka asubuhi unakuta mihela kabatini au mezani zimeletwa kiuchawi!?
Nenda na wewe katafute huo uchawi wakukupa pesa bila kufanya kazi uone kama utatoboaUnaamini za malaika?
Hata Mungu anaamini kuwa uchawi upo , wewe una imani kuliko muumba?
Mungu anamwita shetani kuwa ni mungu( mmiliki) wa vitu vya duniani.
Tofautisha kati ya kuamini uwepo wa uchawi na kuamini katika uchawi.
Chukua 100 x 500= 50,000 x30=1,500,000 hiyo ni kwa mwezi piga 1,500,000 x 12=.... harafu ndo useme uchawi, tatizo watu tunadharau biashara ndogo ndogo hapo anamzidi hata mfanya kazi wa serikAri Au chukulia hyi hesabu yako ya 20k kwa mwezi harafu kwa mwaka twnaNakubali biashara ni hatua, ila hatua alizopiga huyu muha ni uchawi kabisa. Alikuwa akitembeza sambusa.
Ukihesabu kwenye ile pot yake ni kama sambusa 50-100 kwa siku. Hapo hupata 25k-50k kwa siku, ukiondoa gharama za kuandaa, muda na chakula, lets say kwa siku anapata faida ya 10-20k. Kuumwa na matatizo mengine pia lazima tuyahesabu.
Duka la kawaida la vifaa vya pikipiki ni atound 5ml -10ml. Duka la jumla mtaji wake si chini ya milioni 25.
Sasa kutoka kwenye kutembeza sambusa mpaka kufungua duka la milioni zaidi ya 25 ghafla inawezekana vipi kama si uchawi? Acheni uchawi.
Angepitia hatua kadhaa mpaka kumiliki duka kubwa kiasi hichi sawa, sasa huyu dogo kapotea kuuliza yuko wapi naambiwa yuko Ilala kafungua duka la jumla la vifaa vya pikipiki.
Ikumbukwe kodi ya fremu Ilala lazima uandae kama milioni 5 hivi wakati wa kuanza biashara.
Alafu amechanua vizuri kabisa kwenye andiko lake kuhusu kipato kwa siku lakini bado anaamini jamaa mchawi. Alafu hata mtaji alioanzia ni wa kawaida kulinganisha na mchanganuo alioleta mwenye Uzi.Chukua 100 x 500= 50,000 x30=1,500,000 hiyo ni kwa mwezi piga 1,500,000 x 12=.... harafu ndo useme uchawi, tatizo watu tunadharau biashara ndogo ndogo hapo anamzidi hata mfanya kazi wa serikAri Au chukulia hyi hesabu yako ya 20k kwa mwezi harafu kwa mwaka twna