Waha acheni uchawi. Muuza sambusa kafungua duka la vifaa vya pikipiki vya jumla

Nadhani mwenye fikra potofu za kichawi ni wewe na sio Waha na kwa muktadha huo ukikutana na hao Waha lazima utakubali wakupe huo so called uchawi (na kwangu mimi uchawi ni tabia)
 
Kweli kabisa
 
Vina muda bhas
 
Watanzania ndo mana hatufanikiwi..
Sababu na we ni mchawi mloge tu arudi kuuza mbusasa
 
Mkuu una muda mwingi mpk kuyajua yote haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We kiswahili ulijifunza wap mkuu?!!
Au ndo umeamua kuwa mjinga kwa kujinufaisha ww na lengo lako?!!

Sent using Jamii Forums mobile app
ukitumia akili zako kila saa unaweza data!
kuna wakati ni vizuri kutoa majibu yasiyotarajiwa ili aliyeandika aweze kutoa tafakari ya ndani kuwa hili neno halikuwa sahihi kwa mtoa mada yaani aliua mbu kwa nyundo.
inawezekana mleta mada alileta mada ili tupanue mawazo yetu zaidi hivyo hakukuwa na sababu ya kumtukana kiasi cha kumuweka chini ya miguu ya watu haikukaa sawa sana.
hivyo unapunguza mihemko kwa staili hiyo kwa kuonyesha uwezo wa neno moja linaweza kuwa na maana nyingi kwa kufanya hivyo unaondoa uchungu kwa aliyeumizwa na aliyeumizwa anajifunza upya ya jinsi ya kuwa mvumilivu.
 
Kafanye na wewe huo uchawi utajirike,unaonekana huna kazi na pia ni choka mbaya,ndio maana unafuatilia maisha ya watu,endelea kumfuatilia mpaka siku atakayo kuja kununua mtaa wenu mzima ndio utatoka usingizini.
 
kama pesa ya uchawi ipo kigoma nzima wangekua na maduka ya jumla na matajiri 😅😅😅uza sambusa na wewe nenda kwa mganga ufungue duka la jumla la spea za bajaji kitumbini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…