Waha mnalalamikiwa sana na Wahudumu wa Ndege kwa aina hii ya ushamba wenu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Sijui ni kwanini Watani zangu wengi ni Watu wenye majanga majanga hivi hadi najuta hawa Wazee wetu wa Kale walifikiria nini hadi kutufanya Sisi watu wa Mkoa wa Mara tukawa tukawana na Ujomba na Ushangazi ( Utani ) na haya makabila ya Waha, Wahaya, Wanyiramba, Wanyaturu na Warangi kwani kiukweli wanatutia mno aibu Sisi.

katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa bila ya Wao kujua kuwa waliyekaa nae jirani hapo ni GENTAMYCINE akina Dada fulani mmoja wao akiwa ni Mfanyakazi wa Ndege ile yenye nembo ya Ndege huku mwingine akiwa ni Mfanyakazi wa Ndege moja yenye nembo ya Twiga jana usiku walikuwa wanajadiliana masuala yao ya Kazi ila wote wawili walielezea sana ' changamoto ' zao ambazo huwa wanazipata kutoka kwa abiria hasa wa Kabila la Waha kutoka Mkoani Kigoma.

Zifuatazo ni nukuu mbili tofauti tofauti za hao akina Dada ambao ni Wahudumu wa ndani ya Ndege ya hayo Makampuni mawili maarufu ya Ndege hapa nchini Tanzania na naziweka kama ambavyo nimewasikia mwenywe jana wakitiririka na kuserereka nazo tena kwa hasira kabisa...

Dada wa Shirika la Ndege lenye nembo ya ' Ndege '....." Yaani Shosti nashukuru Mungu Kazi zinaenda tu vizuri na mambo siyo mabaya ila kuna hawa Abiria wa Kigoma hasa wa Kabila hili la Waha sijui kwanini hawastaarabiki kwani wenzao hupanda ndani ya Ndege na Vitabu vya Kujisomea au Magazeti lakini cha kushangaza wao kila wakipanda humu wanapanda na mifuko ya Wali na Samaki halafu Ndege ikishaanza tu kuruka wanaito hiyo mifuko ya Vyakula na kuanza kula wakati Sisi mule huwa tunatoa Vyakula vyetu....."

Dada wa Shirika la Ndege lenye nembo ya ' Twiga '....." Si bora nyie huko Kwenu wakishaingia na hiyo mifuko ya Vyakula wanaitoa na kuanza kula. Huku katika Ndege yetu hawa Waha kiukweli wametuchosha kwani huku wakishaanza kula tu hivyo Vyakula vyao huanza kubishana yaani utakuta mmoja amekaa kule First Class anaanzisha ligi / ubishani na abiria wa Economy huku Chakula kikiwa mdomoni na miba ya Samaki wao wale ikiwadondoka midomoni. Halafu wana tatizo moja sugu sana kwani wakishakula, kushiba na kumaliza ubishani wao ambao ni asili yao hulala ghafla na kuanza Kuwajambia hovyo abiria wengine hali ambayo huwa inatupa sana wakati mgumu Sisi wahudumu....."

Haya naamini kabisa kwamba humu Jamvini JF Watani zangu ' Waha ' mpo wengi hivyo haraka sana naomba mjitokeze kujibu hizi ' Shutuma ' la sivyo hawa Dada zenu tuliwaoa huku Mkoani Mara ( Musoma ) sasa hivi tuwaacha na kuwapa ' talaka ' ili warudi huko Kwenu Mkoani Kigoma mfundishane vizuri ' maadili '. Na hivi mnavyotupenda Wanaume wa Mkoa wa Mara ( Musoma ) sijui kama tukiwaacha mtapata tena Waume wa Kuwaoa.

Waha na wana Mkoa Kigoma badilikeni upesi!

Nawasilisha.
 
JASIRI HAACHI ASILI NA MKATAA KWAO NI MTUMWA.
Pambana na hali yako mkuu
 
Hahahaha, hata mhe Sizito kabwera anahusika?
 
Amatoko yawe!

Bonabucha, Maha, Muhehe, Chobanga, Kakobe, Nditije na wengineo...mmemsikia Mhutu karusha jiwe Ujiji?

Waha wanatuangusha mno wana Kanda ya Ziwa. Hivi mtaingiaje katik Ndege na Vyakula vyenu mmeweka katika mifuko myeusi halafu Ndege ikiwa tu angani mnaanza kula hovyo hovyo hadi ' kuwakera ' abiria wengine? Wabadilike upesi sana.
 
JASIRI HAACHI ASILI NA MKATAA KWAO NI MTUMWA.
Pambana na hali yako mkuu

Nashukuru kumjua ' Muha ' wa Kwanza JF. Haya waambie Ndugu zako waache ' ushamba ' kwani hata katika Ndege huwa kuna Vyakula na Wahudumu wa Ndege hizo wanalalamika kuwa huwa mnachafua Ndege na kibaya zaidi mkishashiba mnaanza ' Kuwajambia ' hovyo. au kama vipi basi jichangisheni Pesa ili mnunue Ndege yenu muite Air Waha / Air Kigoma ili huu ' upuuzi ' wenu muwe mnafanyiana humo wenyewe pamoja na Marubani wenu.
 
Mi Waha nawapenda dada zao, hawana wivu hata. Na ni watamu kama Migebuka...Waha karibuni Ngoreme

Halafu sijui ni kwanini Wasichana / Wanawake wa Kiha ( Kigoma ) wanawapenda sana na mno Wanaume wa Mkoa wa Mara ( Musoma ) pamoja na kwamba huwa tunawapiga na kuwatoa ' ngeu ' kila uchao lakini wanavumilia na kutung'ang'ania.
 
kwani kula ni jambo baya?

mpaka kufika jioni ukiona mwili wako una baridibaridi, fanya hima ulete uzi wa kuomba radhi, la sivyo kitakachofata utakaa mwezi mmoja bila kulala na mkeo. na hiyo ni kwa sababu we ni mtani wetu

(kwa niaba ya jopo la waha)
 
Hahahaha, hata mhe Sizito kabwera anahusika?

kwani kula ni jambo baya?

mpaka kufika jioni ukiona mwili wako una baridibaridi, fanya hima ulete uzi wa kuomba radhi, la sivyo kitakachofata utakaa mwezi mmoja bila kulala na mkeo. na hiyo ni kwa sababu we ni mtani wetu

(kwa niaba ya jopo la waha)

Naona ' Washamba ' mnaoongoza nchini Tanzania sasa mmeamka. Na nilikuwa nawatamani na nawasubirini kwa hamu sana mje humu Jamvini JF niwaseme. Hivi nyie aliyewaambieni kuwa katika Ndege hizi huwa hakuna Vyakula ni nani hadi muwe mnafungisha ' mivyakula ' yetu katika mifuko myeusi na kuja kuifungua Ndege ikiwa angani na kuanza Kula hovyo na mkishiba mnaanza ' Kuwajambia ' abiria wengine hadi mnawakera?

Waha badilikeni upesi mnatuaibisha Sisi Watani zenu wana Mkoa wa Mara na wana Kanda ya Ziwa. Na leo mtanikoma humu kama nilivyowanyoosha jana Watani zangu wengine ' Wahaya ' kwa Kosa la mwenzao Ruge Mutahaba kulilia na kuipengea Kamasi ' Mbunye '.
 
Aiseee,wee muraaaaaa huna maana, watu tunadumisha mila zetu bana kwa kula chakula bora,

Kujamba ni sehemu ya uhai.

Sasa ninyi wa Musoma si mvute mi bange yenu
 
Ngoja waje

Wameshaanza kuja Mkuu. Si unaona hapo Kiongozi wao ' Washamba ' wakubwa Waha bowlibo ameshatia timu kuwawakilisha wenzie? Hakuna Watu ' Wastaarabu ' na wanaosifika si tu Tanzania na duniani bali hata huko Mbinguni kwa Mwenyezi Mungu kama Watu wa Mkoa wa Mara ( Musoma ) na sishangai ndiyo maana ndiyo Mkoa pekee nchini Tanzania ambao uaongoza Wanaume wake kupendwa, kung'ang'aniwa na kupapatikiwa na Wanawake tena hasa wa Mikoa ya Kigoma, Kagera, Singida na Dodoma.
 
Hata wasukuma nao wanapendwa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aiseee,wee muraaaaaa huna maana, watu tunadumisha mila zetu bana kwa kula chakula bora,

Kujamba ni sehemu ya uhai.

Sasa ninyi wa Musoma si mvute mi bange yenu

Ni kweli kabisa Mtani wala hujakosea kwamba Sisi wana Mara ( Musoma ) tunavuta sana Bange / Bangi lakini je umeshawahi kusikia tunalalamikiwa na Watu kama nyie Waha na Wahaya kwa tabia zenu za Kipuuzi katika Jamii? Upo wapi nikuletee angalau ' Vipisi ' viwili tu vya Bangi / Bange uvute ili akili yako ikukae sawa? Na ni hiyo hiyo ' Kitu ' inayowafanya Dada zenu kutupenda na kutung'ang'ania Sisi Wanamume wa Shoka akina Mura.
 
Gentamycin mzushi tu, kwenye ndege wanaruhusu uingie na chakula kweli ukae nacho kwenye kiti, na sie wazalendo huwa tunapanda hiyo ndege, kanuni na sheria za ndege hata maji huruhusiwi kupanda nayo, mie naona unasemea treni sio ndege mkuu
 
Gentamycin mzushi tu, kwenye ndege wanaruhusu uingie na chakula kweli ukae nacho kwenye kiti, na sie wazalendo huwa tunaoanda hiyo ndege, kanuni na sheria za ndege hata maji huruhusiwi kupanda, mie naona unasemea treni sio ndege mkuu

Haya ' Mshamba ' mwingine wa Kiha amekuja. Karibu sana Mkuu ila punguzeni ' ushamba ' mnatuaibisha kunakotukuka wana Kanda ya Ziwa wenzenu.
 
Wewe huwezi kumfundisha MUHA ustarabu,sio unaletewa uongo tu unaanza kutapika.
 
Wewe huwezi kumfundisha MUHA ustarabu,sio unaletewa uongo tu unaanza kutapika.

Hivi ni lini ' Waha ' mmewahi kuwa wastaarabu hadi kuwa na kiwango cha kutushinda Sisi wana Mara ( Musoma ) kwa ustaarabu hapa nchini Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…