Waha mnalalamikiwa sana na Wahudumu wa Ndege kwa aina hii ya ushamba wenu

Waha mnalalamikiwa sana na Wahudumu wa Ndege kwa aina hii ya ushamba wenu

Ni kweli kabisa Mtani wala hujakosea kwamba Sisi wana Mara ( Musoma ) tunavuta sana Bange / Bangi lakini je umeshawahi kusikia tunalalamikiwa na Watu kama nyie Waha na Wahaya kwa tabia zenu za Kipuuzi katika Jamii? Upo wapi nikuletee angalau ' Vipisi ' viwili tu vya Bangi / Bange uvute ili akili yako ikukae sawa? Na ni hiyo hiyo ' Kitu ' inayowafanya Dada zenu kutupenda na kutung'ang'ania Sisi Wanamume wa Shoka akina Mura.
Huyo anaemlalamikia MUHA anaongea asiyo yajua.
 
Haya ' Mshamba ' mwingine wa Kiha amekuja. Karibu sana Mkuu ila punguzeni ' ushamba ' mnatuaibisha kunakotukuka wana Kanda ya Ziwa wenzenu.
hakuna kitu kama hicho, basi tungekuwa tunapanda na mawese na migebuka yetu ndani,
 
Huyo anaemlalamikia MUHA anaongea asiyo yajua.

Utasema yote leo ila point ipo pale pale kwamba Waha acheni ' ushamba ' wa kupanda ndani ya Ndege na Vyakula mlivyoviweka katika mifuko myeusi kisha Ndege ikiwa angani mnavitoa na kuanza kuvila na mkivimbiwa mnaanza ' Kuwajambia ' na abiria wengine.
 
Sijui ni kwanini Watani zangu wengi ni Watu wenye majanga majanga hivi hadi najuta hawa Wazee wetu wa Kale walifikiria nini hadi kutufanya Sisi watu wa Mkoa wa Mara tukawa tukawana na Ujomba na Ushangazi ( Utani ) na haya makabila ya Waha, Wahaya, Wanyiramba, Wanyaturu na Warangi kwani kiukweli wanatutia mno aibu Sisi.

katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa bila ya Wao kujua kuwa waliyekaa nae jirani hapo ni GENTAMYCINE akina Dada fulani mmoja wao akiwa ni Mfanyakazi wa Ndege ile yenye nembo ya Ndege huku mwingine akiwa ni Mfanyakazi wa Ndege moja yenye nembo ya Twiga jana usiku walikuwa wanajadiliana masuala yao ya Kazi ila wote wawili walielezea sana ' changamoto ' zao ambazo huwa wanazipata kutoka kwa abiria hasa wa Kabila la Waha kutoka Mkoani Kigoma.

Zifuatazo ni nukuu mbili tofauti tofauti za hao akina Dada ambao ni Wahudumu wa ndani ya Ndege ya hayo Makampuni mawili maarufu ya Ndege hapa nchini Tanzania na naziweka kama ambavyo nimewasikia mwenywe jana wakitiririka na kuserereka nazo tena kwa hasira kabisa...

Dada wa Shirika la Ndege lenye nembo ya ' Ndege '....." Yaani Shosti nashukuru Mungu Kazi zinaenda tu vizuri na mambo siyo mabaya ila kuna hawa Abiria wa Kigoma hasa wa Kabila hili la Waha sijui kwanini hawastaarabiki kwani wenzao hupanda ndani ya Ndege na Vitabu vya Kujisomea au Magazeti lakini cha kushangaza wao kila wakipanda humu wanapanda na mifuko ya Wali na Samaki halafu Ndege ikishaanza tu kuruka wanaito hiyo mifuko ya Vyakula na kuanza kula wakati Sisi mule huwa tunatoa Vyakula vyetu....."

Dada wa Shirika la Ndege lenye nembo ya ' Twiga '....." Si bora nyie huko Kwenu wakishaingia na hiyo mifuko ya Vyakula wanaitoa na kuanza kula. Huku katika Ndege yetu hawa Waha kiukweli wametuchosha kwani huku wakishaanza kula tu hivyo Vyakula vyao huanza kubishana yaani utakuta mmoja amekaa kule First Class anaanzisha ligi / ubishani na abiria wa Economy huku Chakula kikiwa mdomoni na miba ya Samaki wao wale ikiwadondoka midomoni. Halafu wana tatizo moja sugu sana kwani wakishakula, kushiba na kumaliza ubishani wao ambao ni asili yao hulala ghafla na kuanza Kuwajambia hovyo abiria wengine hali ambayo huwa inatupa sana wakati mgumu Sisi wahudumu....."

Haya naamini kabisa kwamba humu Jamvini JF Watani zangu ' Waha ' mpo wengi hivyo haraka sana naomba mjitokeze kujibu hizi ' Shutuma ' la sivyo hawa Dada zenu tuliwaoa huku Mkoani Mara ( Musoma ) sasa hivi tuwaacha na kuwapa ' talaka ' ili warudi huko Kwenu Mkoani Kigoma mfundishane vizuri ' maadili '. Na hivi mnavyotupenda Wanaume wa Mkoa wa Mara ( Musoma ) sijui kama tukiwaacha mtapata tena Waume wa Kuwaoa.

Waha na wana Mkoa Kigoma badilikeni upesi!

Nawasilisha.
Hii mada imekaa kiumbea,na ndio maana haina ushahidi wa kujitosheleza.
 
Utasema yote leo ila point ipo pale pale kwamba Waha acheni ' ushamba ' wa kupanda ndani ya Ndege na Vyakula mlivyoviweka katika mifuko myeusi kisha Ndege ikiwa angani mnavitoa na kuanza kuvila na mkivimbiwa mnaanza ' Kuwajambia ' na abiria wengine.
Riwaya yako nzuri,kwa kuwa ni story za kulishwa haina shida.
 
Wameshaanza kuja Mkuu. Si unaona hapo Kiongozi wao ' Washamba ' wakubwa Waha bowlibo ameshatia timu kuwawakilisha wenzie? Hakuna Watu ' Wastaarabu ' na wanaosifika si tu Tanzania na duniani bali hata huko Mbinguni kwa Mwenyezi Mungu kama Watu wa Mkoa wa Mara ( Musoma ) na sishangai ndiyo maana ndiyo Mkoa pekee nchini Tanzania ambao uaongoza Wanaume wake kupendwa, kung'ang'aniwa na kupapatikiwa na Wanawake tena hasa wa Mikoa ya Kigoma, Kagera, Singida na Dodoma.
Kwahiyo hujagundua kwamba hao mademu wa kiha wanakungángánia kwa sababu ya ushamba wako wa kuhonga huku unaua familia yako kwa njaa? punguza ulimbukeni wa mbunye muraa, utaishia kupiga gitaa la dally kimoko
 
Acha uongo wewe..
Waha tu wastaarabu sana + ukarimu kuliko makabla yenu ya wavuta banghe, dada na mama zetu ni wastahimirivu ndo maana hata wakiyeswa hakiimbii nyumba..
 
Naona kujuzwa wazee, nikitaka kuwa mbishi nikasomee chuo gani pale ujiji.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwanza kabisa unatakiwa kuomba radhi kwa huu upumbavu wako. Napili kumbuka huo ubishi unaouzungumzia tayali vijana wetu wawili kutoka kigoma wamejitahidi kuwaambukiza watanzania wote kila siku wanabishana nani mkali kati ya Diamond Na KIBA? Nahuu ubishi haujafika mwisho. Na tatu kuhusu dadazetu kuwaganda kwanza nyie nimaboya kwahiyo dadazetu wanawaendesha!!!!! Na NNE kuhusu kula ndani ya ndege. Kwanza kile nichakula nasio sigara kwamba ukila karibu nawatu utawaathir kiafya nakama wanaona kero basi waweke tangazo kwenye ndege zao kwamba hairuhusiwi kulia ndani yandege
 
Halafu sijui ni kwanini Wasichana / Wanawake wa Kiha ( Kigoma ) wanawapenda sana na mno Wanaume wa Mkoa wa Mara ( Musoma ) pamoja na kwamba huwa tunawapiga na kuwatoa ' ngeu ' kila uchao lakini wanavumilia na kutung'ang'ania.
Wanaume wa Mara mnaenda tohara mkiwa vijana mnakaribia balehe.
Tohara ya kienyeji inachonga uume vizuri.
Na ukubwa haupungui.ile roughage kwenye shingo ya uume ina wakuna wanawake wkt wa tendo.
Wanaume wa Mara mnapendwa sana kwenye sex pia ukakamavu wa misuli hupendwa na wanawake.
 
Kwahiyo hujagundua kwamba hao mademu wa kiha wanakungángánia kwa sababu ya ushamba wako wa kuhonga huku unaua familia yako kwa njaa? punguza ulimbukeni wa mbunye muraa, utaishia kupiga gitaa la dally kimoko

Mmmmmmh.....Mtani hili ' dongo ' lako umenipatia na limeniingia kweli kweli. Shikamoo Muha na Waha wote duniani.
 
c4bd47c9c6297166518ce1b738ed0bd2.jpg
 
Back
Top Bottom