Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Bakwata si waisilamu bali ni jumuiya ya waisilamu wa ccm, ukitaka habari za waisilimu sikiliza shura ya maimamu.Kuna maoni nilisoma mtu akishauri kuwa, Hawa Masheikh na Wanazuoni wanaojitokeza kushambulia TEC wanazidi kuharibu kwani wanaongea hisia badala ya Logics. Nimemsikiliza huyu Sheikh anasema kuwa Lissu alishambuliwa Dodoma, lakini TEC hawakutoa tamko lolote sababu Rais alikuwa Mkatoliki. Katika kumbukumbu zangu, TEC walitoa tamko kulaani tukio hilo pamoja na mengine ya utekaji wakati wa awamu ya Tano.
Nimalizie kwa kusema, BAKWATA na wanaokuja kukosoa tamko wachimbe vizuri kwanza ili kujiridhisha, vinginevyo wanaendelea kuonesha kuwa wana ajenda zao za siri.
USHAHIDI
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limelaani shambulizi la hivi karibuni lililotekelezwa na watu wasiojulikana dhidi ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu.
Mbunge huyo aliyejeruhiwa Septemba 7 kwa kupigwa risasi tano mjini Dodoma, hivi sasa anaendelea na matibabu katika Hospitali ya Aga Khan, jijini Nairobi nchini Kenya.
Baraza pia limeungana na Watanzania kulaani kwa nguvu zote matendo yote ya vurugu, mauaji na uvunjifu wa amani nchini.
Tamko la baraza hilo lililosainiwa na Makamu wa Rais wa TEC, Askofu Beatus Kinyaiya limetolewa baada ya kikao cha kawaida cha baraza kilichofanyika kwa siku mbili Septemba 9 na 10 jijini Dar es Salaam.
“Katika Taifa letu sasa tunashuhudia matendo ya mauaji ya watu wasio na hatia kama ilivyokuwa kule Mkuranga, Rufiji na Kibiti, utekwaji wa watu na kuteswa, utekaji wa watoto, ulipuaji wa ofisi za watu na hivi karibuni shambulio la mbunge Lissu,” limesema baraza katika tamko hilo.
Imeelezwa vurugu na mashambulizi ya aina yoyote ile yanalifedhehesha Taifa kwa kuwa matendo hayo ni dhambi, uhalifu na si utamaduni wa Mtanzania, hivyo vyombo vinavyohusika havina budi kuyakomesha mara moja.
Sisi wananchi huku chini hatuna shida na Imani hizi za kuja.Bakwata si waisilamu bali ni jumuiya ya waisilamu wa ccm, ukitaka habari za waisilimu sikiliza shura ya maimamu.
Bora wabaki hao hao kwenye Bakwata kwa maana BAKWATA ikiwa na masheikh wenye elimu ya dini na extremist ambao kwa kiasi kikubwa pia Wana elimu dunia nchi haitakalika hii amini nakwambia ndio maana ccm haitaki waislamu wanaojielewa kwenye Bakwata jaribu kufuatilia jumuia ya kiislam kabla ya Bakwata ambayo Nyerere kaiua unajua kwanini kaiua?Tukimaliza Reform za Taifa.
Kuna kila haja Waislamu kudai Reform huko BAKWATA.
Taasisi ambayo hata Waislamu 1000 leo wakitupwa selo kwa makosa ya kubumba haina uwezo wa kuwatetea.
Hayana uwezo wa kujibu hoja, TEC watasema "mambo haya yanakiuka kifungu 3a cha mwaka 2006".), yenyewe yatakuja "mbona Rais akiwa Mkristo hamsemi." THE FVCK?!!
Ukiwaonesha hapa tulisema, na hapa alipouwawa Muislamu mwenzenu pia.
Tuonesheni nyinyi mliposema kuhusu Masheikh wa Uamsho waliokuwa wanateseka mahabusu. Yanabaki yanatoa macho. Kichwaani meupeeee kama theluji ya Kilimanjaro.
Wazee haya mabwege yanachafua sana UISLAMU. Mwisho wa siku Uislamu unaonekana ni dini ambayo waumini wake hawana uwezo wa kuchambua chochote kile bila kuendeshwa na mihemko ya kidini.
Hiyo mbinu ya udini waliitumia kwa Slaa dhidi ya Kikwete, na bado haikutoa matokeo makubwa, wanadhani haya sasa itabamba.Sisi wananchi huku chini hatuna shida na Imani hizi za kuja.
Haya maisha yetu huku chini yanatufanya tuishi Kwa umoja bila ubaguzi na haitatokea Kwa mjinga mmoja akatugawa Kwa ishu za dini.
Hii mbinu ya udini haiwezi kufaulu kwenye kizazi hiki cha GEN-Z
Wewe pumbavu utakuwa unavuta Bangi huko gheto kwa Mashehe majini ubwabwa au Bakwataccm kwani kumbukumbu yako ni finnyu mno, Tambua kuwa TEC hawajawahi kuacha kukemea maovu uonevu manyanyaso ya Serikali awamu zote wao hukosoa na kuandika walaka, pia ikumbukwe magufuli alipiga marufuku tamasha la maombi juu lisu na hata waliochapisha tshat walikamatwa na ushauri kwa magufuli ulitoka kwa huyo makamu wa Rais Dikiteta Mkoloni Kaburu mama toka Zanzibar, utesi unyama kaanza zamaniKuna maoni nilisoma mtu akishauri kuwa, Hawa Masheikh na Wanazuoni wanaojitokeza kushambulia TEC wanazidi kuharibu kwani wanaongea hisia badala ya Logics. Nimemsikiliza huyu Sheikh anasema kuwa Lissu alishambuliwa Dodoma, lakini TEC hawakutoa tamko lolote sababu Rais alikuwa Mkatoliki. Katika kumbukumbu zangu, TEC walitoa tamko kulaani tukio hilo pamoja na mengine ya utekaji wakati wa awamu ya Tano.
Nimalizie kwa kusema, BAKWATA na wanaokuja kukosoa tamko wachimbe vizuri kwanza ili kujiridhisha, vinginevyo wanaendelea kuonesha kuwa wana ajenda zao za siri.
USHAHIDI
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limelaani shambulizi la hivi karibuni lililotekelezwa na watu wasiojulikana dhidi ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu.
Mbunge huyo aliyejeruhiwa Septemba 7 kwa kupigwa risasi tano mjini Dodoma, hivi sasa anaendelea na matibabu katika Hospitali ya Aga Khan, jijini Nairobi nchini Kenya.
Baraza pia limeungana na Watanzania kulaani kwa nguvu zote matendo yote ya vurugu, mauaji na uvunjifu wa amani nchini.
Tamko la baraza hilo lililosainiwa na Makamu wa Rais wa TEC, Askofu Beatus Kinyaiya limetolewa baada ya kikao cha kawaida cha baraza kilichofanyika kwa siku mbili Septemba 9 na 10 jijini Dar es Salaam.
“Katika Taifa letu sasa tunashuhudia matendo ya mauaji ya watu wasio na hatia kama ilivyokuwa kule Mkuranga, Rufiji na Kibiti, utekwaji wa watu na kuteswa, utekaji wa watoto, ulipuaji wa ofisi za watu na hivi karibuni shambulio la mbunge Lissu,” limesema baraza katika tamko hilo.
Imeelezwa vurugu na mashambulizi ya aina yoyote ile yanalifedhehesha Taifa kwa kuwa matendo hayo ni dhambi, uhalifu na si utamaduni wa Mtanzania, hivyo vyombo vinavyohusika havina budi kuyakomesha mara moja.
Bakwataccm ipo uvunguni mwa ccm Unaishi na nyokaBora wabaki hao hao kwenye Bakwata kwa maana BAKWATA ikiwa na masheikh wenye elimu ya dini na extremist ambao kwa kiasi kikubwa pia Wana elimu dunia nchi haitakalika hii amini nakwambia ndio maana ccm haitaki waislamu wanaojielewa kwenye Bakwata jaribu kufuatilia jumuia ya kiislam kabla ya Bakwata ambayo Nyerere kaiua unajua kwanini kaiua?
Kuna maoni nilisoma mtu akishauri kuwa, Hawa Masheikh na Wanazuoni wanaojitokeza kushambulia TEC wanazidi kuharibu kwani wanaongea hisia badala ya Logics. Nimemsikiliza huyu Sheikh anasema kuwa Lissu alishambuliwa Dodoma, lakini TEC hawakutoa tamko lolote sababu Rais alikuwa Mkatoliki. Katika kumbukumbu zangu, TEC walitoa tamko kulaani tukio hilo pamoja na mengine ya utekaji wakati wa awamu ya Tano.
Nimalizie kwa kusema, BAKWATA na wanaokuja kukosoa tamko wachimbe vizuri kwanza ili kujiridhisha, vinginevyo wanaendelea kuonesha kuwa wana ajenda zao za siri.
USHAHIDI
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limelaani shambulizi la hivi karibuni lililotekelezwa na watu wasiojulikana dhidi ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu.
Mbunge huyo aliyejeruhiwa Septemba 7 kwa kupigwa risasi tano mjini Dodoma, hivi sasa anaendelea na matibabu katika Hospitali ya Aga Khan, jijini Nairobi nchini Kenya.
Baraza pia limeungana na Watanzania kulaani kwa nguvu zote matendo yote ya vurugu, mauaji na uvunjifu wa amani nchini.
Tamko la baraza hilo lililosainiwa na Makamu wa Rais wa TEC, Askofu Beatus Kinyaiya limetolewa baada ya kikao cha kawaida cha baraza kilichofanyika kwa siku mbili Septemba 9 na 10 jijini Dar es Salaam.
“Katika Taifa letu sasa tunashuhudia matendo ya mauaji ya watu wasio na hatia kama ilivyokuwa kule Mkuranga, Rufiji na Kibiti, utekwaji wa watu na kuteswa, utekaji wa watoto, ulipuaji wa ofisi za watu na hivi karibuni shambulio la mbunge Lissu,” limesema baraza katika tamko hilo.
Imeelezwa vurugu na mashambulizi ya aina yoyote ile yanalifedhehesha Taifa kwa kuwa matendo hayo ni dhambi, uhalifu na si utamaduni wa Mtanzania, hivyo vyombo vinavyohusika havina budi kuyakomesha mara moja.
Bakwataccm ni kikundi cha ombaomba wana njaa balaa wengi hawana kazi biashara na hawana Elimu mda mwingi hutumia kushinda hapo ni kupiga simu kwa matajiri kuomba omba pesa misaada ndiyo maana wamekuwa wepesi kutumika na maccm kueneza Udini uchwara na kuongea ujinga jinga mwingiTukimaliza Reform za Taifa.