Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 3,014
- 7,343
Sasa wameuawa maelfu alitaka watoe kurasa moja? Mpumbavu huyoKuna mbulula mmoja kobazi anasema tamko la TEC la sasa lina page nyingi kuliko la kipindi cha lisu
Shehe ponda na kuna mashehe wengine walitoa walaka wao wapo sahihi wanajua kudai haki na wasema kweli ni tofauti na mashehe njaa majini ubwabwa wa kule Bakwataccm ambao ni wanafiki sana na wajinga mnoWanaowatukana hawa mashekh wapo sahii
Ni mashekh wapumbavu sana
Na lete la kuwazui waumini wao kushiriki uchaguzi 2020 pamoja na kuhamasisha maandamano ya kuvuruga uchaguzi, hilo ndilo watu wanasemaKuna maoni nilisoma mtu akishauri kuwa, Hawa Masheikh na Wanazuoni wanaojitokeza kushambulia TEC wanazidi kuharibu kwani wanaongea hisia badala ya Logics. Nimemsikiliza huyu Sheikh anasema kuwa Lissu alishambuliwa Dodoma, lakini TEC hawakutoa tamko lolote sababu Rais alikuwa Mkatoliki. Katika kumbukumbu zangu, TEC walitoa tamko kulaani tukio hilo pamoja na mengine ya utekaji wakati wa awamu ya Tano.
Nimalizie kwa kusema, BAKWATA na wanaokuja kukosoa tamko wachimbe vizuri kwanza ili kujiridhisha, vinginevyo wanaendelea kuonesha kuwa wana ajenda zao za siri.
USHAHIDI
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limelaani shambulizi la hivi karibuni lililotekelezwa na watu wasiojulikana dhidi ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu.
Mbunge huyo aliyejeruhiwa Septemba 7 kwa kupigwa risasi tano mjini Dodoma, hivi sasa anaendelea na matibabu katika Hospitali ya Aga Khan, jijini Nairobi nchini Kenya.
Baraza pia limeungana na Watanzania kulaani kwa nguvu zote matendo yote ya vurugu, mauaji na uvunjifu wa amani nchini.
Tamko la baraza hilo lililosainiwa na Makamu wa Rais wa TEC, Askofu Beatus Kinyaiya limetolewa baada ya kikao cha kawaida cha baraza kilichofanyika kwa siku mbili Septemba 9 na 10 jijini Dar es Salaam.
“Katika Taifa letu sasa tunashuhudia matendo ya mauaji ya watu wasio na hatia kama ilivyokuwa kule Mkuranga, Rufiji na Kibiti, utekwaji wa watu na kuteswa, utekaji wa watoto, ulipuaji wa ofisi za watu na hivi karibuni shambulio la mbunge Lissu,” limesema baraza katika tamko hilo.
Imeelezwa vurugu na mashambulizi ya aina yoyote ile yanalifedhehesha Taifa kwa kuwa matendo hayo ni dhambi, uhalifu na si utamaduni wa Mtanzania, hivyo vyombo vinavyohusika havina budi kuyakomesha mara moja.
Wanasiasa ndio walivyo kwani hata maaskofu mbona wapo huko ccm wengine washateuliwa katika kamati kikubwa hizi taasisi za kidini zingejitenga na siasa mnyukano ubaki kwa wananchi na vyama vya siasaBakwataccm ipo uvunguni mwa ccm Unaishi na nyoka
Ulisikia wapi
Uzuri waislam wa kweli waadilifu wacha mungu wapenda haki wenye weledi mkubwa hawaitaki hawaipendi Bakwata kamwe ndiyo maana propaganda za UDINI za Bakwataccm zimefeli mara zote, kila wakipandikiza udini wanafeli, njaa ya Bakwata ni janga la TaifaCCM banaa naona kila mbinu imeshindikana ya kuwagawa watanzania na sasa wameingia kwenye udini.
Hii ndiyo Gia ya mwisho wanayoitegemea...
Miaka 70 ya CCM kuishi hapa duniani imefika mwisho tunakumbusha kuwa Tanzania ya Leo huwezi kuigawa Kwa misingi ya dini, hawa wacheza sinema wa bakwata waambieni warudi tena kuandaa movie nyingine
Hao wanaotetea haki si ndio hao baadae mnawaita magaidi hizi manipulation za kidini hazina maana kwa kipindi kama hiki maana unafiki ni mwingi sanaUzuri waislam wa kweli waadilifu wacha mungu wapenda haki wenye weledi mkubwa hawaitaki hawaipendi Bakwata kamwe ndiyo maana propaganda za UDINI za Bakwataccm zimefeli mara zote, kila wakipandikiza udini wanafeli, njaa ya Bakwata ni janga la Taifa
Jinga kbs hao, kwa hivyo rais akiwa wa dini yako akifanya upumbavu kama kuua watu wasio na silaha wanakaa kimya kumtetea?Kuna mbulula mmoja kobazi anasema tamko la TEC la sasa lina page nyingi kuliko la kipindi cha lisu
Hapana sijui.Bora wabaki hao hao kwenye Bakwata kwa maana BAKWATA ikiwa na masheikh wenye elimu ya dini na extremist ambao kwa kiasi kikubwa pia Wana elimu dunia nchi haitakalika hii amini nakwambia ndio maana ccm haitaki waislamu wanaojielewa kwenye Bakwata jaribu kufuatilia jumuia ya kiislam kabla ya Bakwata ambayo Nyerere kaiua unajua kwanini kaiua?
Wapumbavu waliopotiliza ..Wanaowatukana hawa mashekh wapo sahii
Ni mashekh wapumbavu sana
Maneno kama haya hayana ukweli na yanachochea chuki za kidini. Prof. Issa shivji ni Muislam; Je, kuna mtu ana neno juu ya usomi, weredi na umahiri wake katika sheria?
Hata huku watashindwa tu. Kwa sababu hata kwenye huo udini siyo Waislam wote wana akili finyu kama za hawa wapuuzi wachache wanaotumiwa na wahuni wa ccm kuleta taharuki na mgawanyiko wa kidini.CCM banaa naona kila mbinu imeshindikana ya kuwagawa watanzania na sasa wameingia kwenye udini.
Hii ndiyo Gia ya mwisho wanayoitegemea...
Miaka 70 ya CCM kuishi hapa duniani imefika mwisho tunakumbusha kuwa Tanzania ya Leo huwezi kuigawa Kwa misingi ya dini, hawa wacheza sinema wa bakwata waambieni warudi tena kuandaa movie nyingine