PostGE2025 Wahadhiri Dini ya Kiislam: Lissu aliposhambuliwa Dodoma, TEC hawakutoa tamko sababu rais alikuwa Mkatoliki; Ushahidi wa Tamko la TEC

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hao waende shule kwanza ndo waje kujibu PHD
 
Hawa masheikh wanadhalilisha hata waumini wao sasa.
 
acheni kujadili ayo maquma
 
Tukisema Uislamu ni laana, ukiwa muislamu umelaaniwa na Mungu kuna watu wanaona tunawatukana Waislamu
 
Kuna namna ukiwa muislamu lazima uwe mwendawazimu
 
Leo nimeamini shule / Elimu ni muhimu sana ktk maisha ya binadamu, hawa jamaa hawana muda hata wa kwenda kusoma au kuvijua kiundani vitu wanavyooenda kuongea kwenye press. Inshort wanalopoka lopoka TU

Kwa mtu mgendi anaweza dhani hawa jamaa hawajawahi kuishi Tanzania.
 
Mi nadhani kuna namna Mashekhe wamefurahia mauaji yaliyotokea na wala hawana shida na malalamiko yanayoendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok basi tusene TEC hawakutoa kauli sababu ni mtu m'moja, hii ya juzi tuseme mfano wameuliwa watu 200 basi hawatoi kauli pia, jee zaidi ya watu 1,000 still kama kiongozi wa dini unatetea wauaji???? Unatofauti gani na shetani???
 
Kama wewe muislam na unasali kwenye msikiti anaohudumu huyu sheikh, jua kama ni wewe au ndugu yako angekuwa kauawa angesapoti hayo mauaji yenu..
 
Ila jamani Waislamu mna shida gani vichwani mwenu? Zingatieni pia elimu dunia jamani msijikite tu kwenye hadithi za Mtume na maswahaba wake. Ona hiki shehe maandazi linavyojiaibisha!
 
TEC hawakutoa tamko lolote sababu Rais alikuwa Mkatoliki. Katika kumbukumbu zangu, TEC walitoa tamko kulaani tukio hilo pamoja na mengine ya utekaji wakati wa awamu ya Tano.
Anayemfahamu yule shehe ubwabwa 'mkata vichwa' vya Watanzania amfikishie hili andiko.

Mtu yule katishia kuuwa Watanzania kwa kuwakata vichwa, ila kwa kuwa katumwa hakamatwi. Tishio lile la kuuwa lingetolewa na mwingine angeshatekwa tayar au kukamatwa na kubambikiwa kesi lukuki
 
Hao Masheikh ubwabwa ni wagumu wa kuelewa na wepesi wa kusahau Ina maana wamekurupuka tu baada ya kupewa vipesa vidogo pengine hata laki laki tu, wanashupaza shingo. Shame on these money-hungry sheikhs. Kila kitu wanategemea kupewa tu na serikali dhalimu ya CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…