Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Sheikh anasema kwasababu Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba siyo Mkatoliki zimeanza kuibuka fitina mbalimbali na kupigwa vita kutoka kwa Wakatoliki ili kumtoa kwenye reli
Fitna Ipi amepigwa?!Sheikh anasema kwasababu Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba siyo Mkatoliki zimeanza kuibuka fitina mbalimbali na kupigwa vita kutoka kwa Wakatoliki ili kumtoa kwenye reli
Kadri serikali haramu inapofanya movement ya kuzima Genz ndipo inapoenda kuharibu na kufurika kwenye uso wa duniaYani wakatoliki hawakumfanyia fitna Majaliwa ila wamekuja kumfanyia Mwigulu sababu sio
According to their logicYani wakatoliki hawakumfanyia fitna Majaliwa ila wamekuja kumfanyia Mwigulu sababu sio mkatoliki!!!
Hawa ni wale wahuni waliosema watakata vichwa.Huu sasa ni ujinga na upumbavu, eti kwa kuwa si mkatoliki, nyie masheikh ubwabwa muachage uchochezi wa kidini/kimadhehebu hizo hoja zenu ni ushenzi mtupu haukubaliki. Mngesema kwa kuwa ni ccm mngeeleweka vema. Huo udini wenu hautakubalika
wajue kuwa na wao watakatwa vichwa, masheikh ya ajabu sana hayo. Walitakiwa wawe wapatanishi badala ya kutoa uharo huoHawa ni wale wahuni waliosema watakata vichwa.
Sheikh anasema kwasababu Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba siyo Mkatoliki zimeanza kuibuka fitina mbalimbali na kupigwa vita kutoka kwa Wakatoliki ili kumtoa kwenye reli
Masheikh vita hii mtaiweza jamani? JK alijaribu, vikataka kumtokea puani