Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
"Kuna maandamano yanadaiwa kuratibiwa Tarehe 09 Disemba. Ajabu ya maandamano haya ni kuwa wanayoyaratibu wako nje ya nchi, kuna dada mmoja yupo Marekani na mwingine akiwa nchini Kenya, niombe na nitoe angalizo kwa Waislamu kwamba msijihusishe kabisa na haya mambo na niwaombe hawa wanaohamasisha warejee nchini tuje tushiriki wote." Amesema Sheikh Salum.
Rai hiyo imetolewa na Kiongozi Mkuu wa Wahadhiri wa Kiislamu nchini Tanzania Sheikh Rajab Salum wakati akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam leo Novemba 19, 2025, akiyataja maandamano hayo kuwa batili na jambo lisilokubalika nchini.
Hamna shida kwanza waislamu ni wangapi TZ hii. Tutaandamna sisi wakristo
Kina Sheikh Takadir walipambana na mkoloni aliyekuwa akionea wananchi lakini masheikh wa siku hizi wakishapewa bahasha za khaki wanatema upupu tu."Kuna maandamano yanadaiwa kuratibiwa Tarehe 09 Disemba. Ajabu ya maandamano haya ni kuwa wanayoyaratibu wako nje ya nchi, kuna dada mmoja yupo Marekani na mwingine akiwa nchini Kenya, niombe na nitoe angalizo kwa Waislamu kwamba msijihusishe kabisa na haya mambo na niwaombe hawa wanaohamasisha warejee nchini tuje tushiriki wote." Amesema Sheikh Salum.