PostGE2025 Wahadhiri wa Kiislamu: Waislamu msijihusishe na Maandamano ya Disemba 9

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wanataka kuifanya hii ni vita ya kidini but one thing I know for sure the foundation of GOD is justice.Msingi wa Mungu ni haki.Tumeshashinda.
Wananikera sanaa hawajui tu ,tunatiana aibu mbwa hawa
 
Waislamu wasiingie kwenye mtego wa upande wa pili wanaochukia Sana muislam akiwa kwenye urais
 

Waislam wanchi hii wanadhalilishwa sana CCM. TANU ilianzisha BAKWATA kisha ikawaambia waislam kuwa wote wapo chini ya BAKWATA. Na wakati wote CCM imewachagulia waislam watu wa kuongoza. Waislam wamejitahidi kuunda taasisi zao, lakini CCM imezifanya taasisi hizo kuwa adui wa Serikali. Mara kadhaa viongozi wao wamenyanyaswa, na hata kuitwa magaidi.

Ni muda wa waislam kusimama na kuikataa BAKWATA pamoja na hao mashekhe mamluki wa watawala.
 
Ukiwa mdini hata akili za kufikiri znapungua sana

Haya matamko yalitakiwa wayatoe kabla ya 29oct
Wakengekemea ubakwaji kupoteza na kuuawawa raia tusingefika hapa leo
Badala ya ku solve tatizo mnachochea matatizo.
 
Wana elimu gani?
 
Muislam isome dini yako vizuri na ujitambue!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…