Wahamiaji haramu hawatakiwi Afrika Kusini baada ya 01 Juni

Wahamiaji haramu hawatakiwi Afrika Kusini baada ya 01 Juni

ubaguzi tu.mbona hapa wapo kibao lakn hawasumbuliwi.angalia wamalawi walivyojazana.kikubwa wasivunje sheria za nchi
Miaka nenda rudi wao wanafanya ubaguzi na serikali yao inakenua meno yanini kung'ang'ania kuishi huko?
Kwani kazi na maisha hayawezi kupatikana kwingine.?
Waache ung'ang'anizi wa kindezi watakufa midomo wazi.
 
Hivi kwani nchini kwenu (255) hakukaliki?
Yaan tumetofautiana sana
Sijawahi kuwaza hata kwenda Uganda tu naona napoteza muda tu
 
Haya mambo yameshazoeleka ni kawaida kwa mabaharia wala haishtui hiyo.
yenza nje njengenjwayelo, izihlobo zinomona ngomsebenzi, azifuni ukuchitha usuku lonke zidakwa, namaphoyisa ayawuthanda ukuze akwazi ukugebenga abantu kahle.
 
Miaka nenda rudi wao wanafanya ubaguzi na serikali yao inakenua meno yanini kung'ang'ania kuishi huko?
Kwani kazi na maisha hayawezi kupatikana kwingine.?
Waache ung'ang'anizi wa kindezi watakufa midomo wazi.
Wanahitaji kuelimika.
 
Hii nchi bora makaburu wangeendelea kuwatawala

Kuna jamaa yangu alirudi bongo na makovu kibao baada ya kukamatwa na kikudi cha utamaduni mtaa aliopanga nyumba tena siku ya Heritage
 
Neno illegal ni 'Kichaka' tu South Africans wana jealous sana na wageni sababu wageni wakifika kule wanachakarika sana hasa Nigerians, Mzansi ni wavivu kupita maelezo. Hili vugu vugu halitaisha kamwe litaendelea milele na milele na hii imeanza hata marekani Black americans na wao ni wavivu sana wameanza kuwachukia wanigeria wanaopiga hela huko.

Jambo la kuchekesha zaidi vurugu dhidi ya wageni zikianza 80% ya wanaofariki ni wa south Africa wenyewe.
 
Kwanini 80% wanafariki wasouth?
 
kwa kweli wasauzi hawawapendi kabisa waafrika wenzao na sijui hao wenzao walioko ughaibuni nao wafukuzwe?wazulu ni watu makatili sana wao ni wavivu lkn wachapakazi wanapoenda kwao wao inawauma.
South african by default hawapend kutoka kwao ,wana passport ya free entry nchi nyingi sana duniani ila hawaendi.
.
 
Back
Top Bottom