Wahamiaji haramu zaidi ya 98,000 wakamatwa kipindi cha Rais Samia

CM 1774858

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2021
Posts
6,157
Reaction score
5,451
Tanzania sio shamba la bibi wahamiaji haramu 98,000 wakamatwa kipindi cha Rais Samia.

Chini ya amiri jeshi mkuu Dkt Samia Suluhu Hassan amewapandisha vyeo wakaguzi na askari 3,115, na askari wapya 2,251 wameajiriwa, Ili kuimarisha doria, misako na operesheni katika maeneo mbalimbali nchini,

Kazi hii imewezesha kukamatwa kwa watu 97,538 kwa makosa ya uhamiaji haramu, ambao wamechukuliwa hatua za kisheria, ikiwemo, kwa baadhi yao, kuondoshwa nchini. Vilevile Rais samia anaendelea na ujenzi wa chuo cha Mafunzo cha Uhamiaji cha Raphael Kubaga kilichopo Boma, Kichakamiba Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga
 
Kuna engine kibao wapo apa mtaani kwetu wamekuja kuchukua upako na mafuta ila hawarudi kwao wanazidi ongezeka tuu but is good.
 
Tanzania sio shamba la bibi wahamiaji haramu 98,000 wakamatwa kipindi cha Rais Samia.

Chini ya amiri jeshi mkuu Dkt Samia Suluhu Hassan amewapandisha vyeo wakaguzi na askari 3,115, na askari wapya 2,251 wameajiriwa, Ili kuimarisha doria, misako na operesheni katika maeneo mbalimbali nchini,

Kazi hii imewezesha kukamatwa kwa watu 97,538 kwa makosa ya uhamiaji haramu, ambao wamechukuliwa hatua za kisheria, ikiwemo, kwa baadhi yao, kuondoshwa nchini. Vilevile Rais samia anaendelea na ujenzi wa chuo cha Mafunzo cha Uhamiaji cha Raphael Kubaga kilichopo Boma, Kichakamiba Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga
mama Samia fanya kazi, tuko pamoja cde CM 1774858
 
Wengine wapo TRA, Mahakama kuu, JW, Uhamiaji, Magereza, TANESCo, EWURA, wengine wabunge, wengine KITENGO,🤣🤣😅🤣😅 yaani Paul Kagame anatucheka tuuu
 
Kwa nini wakamatwe wakati ni binadamu wenzetu wanajitafutia kipato halali?yaani unafukuza watu halafu unathamini kuuza Nchi?
 
Tanzania sio shamba la bibi wahamiaji haramu 98,000 wakamatwa kipindi cha Rais Samia.

Chini ya amiri jeshi mkuu Dkt Samia Suluhu Hassan amewapandisha vyeo wakaguzi na askari 3,115, na askari wapya 2,251 wameajiriwa, Ili kuimarisha doria, misako na operesheni katika maeneo mbalimbali nchini,

Kazi hii imewezesha kukamatwa kwa watu 97,538 kwa makosa ya uhamiaji haramu, ambao wamechukuliwa hatua za kisheria, ikiwemo, kwa baadhi yao, kuondoshwa nchini. Vilevile Rais samia anaendelea na ujenzi wa chuo cha Mafunzo cha Uhamiaji cha Raphael Kubaga kilichopo Boma, Kichakamiba Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga
Kwa hao Wahamiaji haramu, wangapi ni:

  • Wasomali
  • Wachina
  • Wahindi
  • Wapakstani
  • Wakenya
  • Wacongo???????
 
Tanzania sio shamba la bibi wahamiaji haramu 98,000 wakamatwa kipindi cha Rais Samia.

Chini ya amiri jeshi mkuu Dkt Samia Suluhu Hassan amewapandisha vyeo wakaguzi na askari 3,115, na askari wapya 2,251 wameajiriwa, Ili kuimarisha doria, misako na operesheni katika maeneo mbalimbali nchini,

Kazi hii imewezesha kukamatwa kwa watu 97,538 kwa makosa ya uhamiaji haramu, ambao wamechukuliwa hatua za kisheria, ikiwemo, kwa baadhi yao, kuondoshwa nchini. Vilevile Rais samia anaendelea na ujenzi wa chuo cha Mafunzo cha Uhamiaji cha Raphael Kubaga kilichopo Boma, Kichakamiba Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga
Ila Hussein Bashe na Samia Suluhu hawajakamatwa.
 
Hili ndiyo tunda pekee alilovuna zaidi ya hapo Hana alichofanya miaka yote minne zaidi ya kutengeneza mpasuko kwenye taifa
 
Wanakamata wahamiaji haramu wasio na hela za kuwapa rushwa, kama Warundi, na Wahabeshi.
 
Back
Top Bottom