CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 6,157
- 5,451
Rushwa imepewa likizo ya lazimaZamani Kwa sababu ya rushwa Hawa watu waliachwa tu
Hongera Rais Samia,
Ova.
Ila useful wa kamba upoRushwa imepewa likizo ya lazima
mama Samia fanya kazi, tuko pamoja cde CM 1774858Tanzania sio shamba la bibi wahamiaji haramu 98,000 wakamatwa kipindi cha Rais Samia.
Chini ya amiri jeshi mkuu Dkt Samia Suluhu Hassan amewapandisha vyeo wakaguzi na askari 3,115, na askari wapya 2,251 wameajiriwa, Ili kuimarisha doria, misako na operesheni katika maeneo mbalimbali nchini,
Kazi hii imewezesha kukamatwa kwa watu 97,538 kwa makosa ya uhamiaji haramu, ambao wamechukuliwa hatua za kisheria, ikiwemo, kwa baadhi yao, kuondoshwa nchini. Vilevile Rais samia anaendelea na ujenzi wa chuo cha Mafunzo cha Uhamiaji cha Raphael Kubaga kilichopo Boma, Kichakamiba Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga
Wengine wapo TRA, Mahakama kuu, JW, Uhamiaji, Magereza, TANESCo, EWURA, wengine wabunge, wengine KITENGO,🤣🤣😅🤣😅 yaani Paul Kagame anatucheka tuuuTanzania sio shamba la bibi wahamiaji haramu 98,000 wakamatwa kipindi cha Rais Samia.
Chini ya amiri jeshi mkuu Dkt Samia Suluhu Hassan amewapandisha vyeo wakaguzi na askari 3,115, na askari wapya 2,251 wameajiriwa, Ili kuimarisha doria, misako na operesheni katika maeneo mbalimbali nchini,
Kazi hii imewezesha kukamatwa kwa watu 97,538 kwa makosa ya uhamiaji haramu, ambao wamechukuliwa hatua za kisheria, ikiwemo, kwa baadhi yao, kuondoshwa nchini. Vilevile Rais samia anaendelea na ujenzi wa chuo cha Mafunzo cha Uhamiaji cha Raphael Kubaga kilichopo Boma, Kichakamiba Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga
Kwa hao Wahamiaji haramu, wangapi ni:Tanzania sio shamba la bibi wahamiaji haramu 98,000 wakamatwa kipindi cha Rais Samia.
Chini ya amiri jeshi mkuu Dkt Samia Suluhu Hassan amewapandisha vyeo wakaguzi na askari 3,115, na askari wapya 2,251 wameajiriwa, Ili kuimarisha doria, misako na operesheni katika maeneo mbalimbali nchini,
Kazi hii imewezesha kukamatwa kwa watu 97,538 kwa makosa ya uhamiaji haramu, ambao wamechukuliwa hatua za kisheria, ikiwemo, kwa baadhi yao, kuondoshwa nchini. Vilevile Rais samia anaendelea na ujenzi wa chuo cha Mafunzo cha Uhamiaji cha Raphael Kubaga kilichopo Boma, Kichakamiba Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga
Ila Hussein Bashe na Samia Suluhu hawajakamatwa.Tanzania sio shamba la bibi wahamiaji haramu 98,000 wakamatwa kipindi cha Rais Samia.
Chini ya amiri jeshi mkuu Dkt Samia Suluhu Hassan amewapandisha vyeo wakaguzi na askari 3,115, na askari wapya 2,251 wameajiriwa, Ili kuimarisha doria, misako na operesheni katika maeneo mbalimbali nchini,
Kazi hii imewezesha kukamatwa kwa watu 97,538 kwa makosa ya uhamiaji haramu, ambao wamechukuliwa hatua za kisheria, ikiwemo, kwa baadhi yao, kuondoshwa nchini. Vilevile Rais samia anaendelea na ujenzi wa chuo cha Mafunzo cha Uhamiaji cha Raphael Kubaga kilichopo Boma, Kichakamiba Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga
Maana yake nchi iko salamaKwa nini wakamatwe wakati ni binadamu wenzetu wanajitafutia kipato halali?yaani unafukuza watu halafu unathamini kuuza Nchi?
HAKUNA HIYO KITU KABISAIla useful wa kamba upo
HUO NDIO UKWELIIla useful wa kamba upo
factZamani Kwa sababu ya rushwa Hawa watu waliachwa tu
Hongera Rais Samia,
Ova.
Tanzania sio shamba la bibi wahamiaji haramu 98,000 wakamatwa kipindi cha Rais Samia.