Wahamiaji: Safari toka Congo kupitia Brazil mpaka Canada kwa miguu

Wahamiaji: Safari toka Congo kupitia Brazil mpaka Canada kwa miguu

Noma sana, ila wazungu wakiacha kufyonza raslimali za Wafrika kama vile makinikia na kuacha tunufaike kwa raslimali zetu hawatatuona huko kwao, lakini kwa hili la wao kujenga mataifa yao yanapendeza kwa kutumia raslimali zetu, tutawafuata hadi wakome, huko huko tena tunazaliana tukifika, mama anafyatua watoto kumi huko kwao na kunyonyesha nyonyesha barabarani....
 
Buenos Aires, Argentina

Nchi iliyo kusini mwa bara la Marekani ya Argentina ilikuwa inajulikana kama Ulaya ya Marekani ya Kusini kutokana na kuwepo wahamiaji kutoka bara la Ulaya miaka mingi iliyopita.

Ilikuwa ngumu kumuona Mwafrika ktk mitaa ya miji mikubwa nchini humo. Ila sasa kutokana na sababu mbalimbali sasa unaweza kugogana na watu weusi toka kama mataifa ya DR Congo, Senegal n.k

Kama wameanza kuingia hadi Argentina basi hali imebadilika sana
 
Noma sana, ila wazungu wakiacha kufyonza raslimali za Wafrika kama vile makinikia na kuacha tunufaike kwa raslimali zetu hawatatuona huko kwao, lakini kwa hili la wao kujenga mataifa yao yanapendeza kwa kutumia raslimali zetu, tutawafuata hadi wakome, huko huko tena tunazaliana tukifika, mama anafyatua watoto kumi huko kwao na kunyonyesha nyonyesha barabarani....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yani hapo tu pa kunyonyesha barabarani ndio limeniua mbavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vita na ugumu wa maisha vinatufanya binadamu kuhangaika namna hiyo

Wangebaki huko dunia ya tatu guarantee ya kuteseka na ugumu wa maisha na kufa masikini ni zaidi ya asilimia 90
Nchi za Magharibi zote ikwemo Marekani wanatamani sana watumwa.
Idadi ya wazungu inapungua kwa kasi.

Wanaleta vita ili mkimbie nchi zenu. Wao wabebe mali zenu zote!
Mkipata neema huku Africa,hamuwezi tamani ulaya.

Na mnahitajika hukoo kwao
km cheap labour. Siku ukikumbuka kuja hkn kitu!
 
Huko kibarua analipwa $10 kwa saa, huyo ni cheap labour?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa uhalisia kama mtu anweza kutumia mpaka Dollar 6000 mpaka kufika ulaya au Us basi kiuchumi yupo vizur

Na haina haja ya kurisk to a desparate journey to Brazil

Nikuomba tourist visa then at the airport unaclam asylum

Sent using Jamii Forums mobile app
Visa ingekua rahisi kama unavyoifikiria hakuna ambae angepita machakani.waulize ndugu zetu watanzania ambao waliingia South Africa na visa jinsi walivyososta kabla visa haijafutwa.sio rahisi hata kidogo

Visa ni ngumu, ukiamini kuwa ni ngumu!!!! ni rahisi zaidi ya kumsukuma mlevi, kama ukiamini ni rahisi!!! ... so Visa ni wewe mwenyewe ndugu!! .. ishi na ujifunze kwa walio faulu na kufanya vizuri ktk nyanja hizo!!! usikae na kuwasikiliza ma- stowaway!!

Saana watakwambia magumu tuuu! ili wapate credit za ushujaa! waonekane wanaume wa shoka! hata km ni rahisi! Ushauri wangu kwa wana JF, ni hivi mwenye nia kaza nia usiogope wala kutishwa, ukizingatia kwamba ''Mtanga na jua hujua.
 
Sisikilizi stowaway yoyote.nimejionea mwenyewe.masharti ya visa kwa kijana anaetafuta maisha ni magumu.unaambiwa uwe na pesa ya matumizi isioyopingua dola 100 kwa siku utayokaa ugenini.unaambiwa uwe na hati ya Mali isiyohamishika na uwe na uthibitisho wa kurudi kwenu baada ya muda wa matembezi kwisha.mtu amemaliza chuo kikuu mwaka mmoja uliopita.vitu hivyo anatoa wapi?wakifoji wanafungiwa kupata visa.sio rahisi maana mimi nimesafiri nikiwa na umri mdogo sana.najua balaa la visa kuanzia ya south africa kipindi hiko mpaka ya marekani.na pesa nilikua nazo nyingi tu za mirathi ya mzee.
Visa ni ngumu, ukiamini kuwa ni ngumu!!!! ni rahisi zaidi ya kumsukuma mlevi, kama ukiamini ni rahisi!!! ... so Visa ni wewe mwenyewe ndugu!! .. ishi na ujifunze kwa walio faulu na kufanya vizuri ktk nyanja hizo!!! usikae na kuwasikiliza ma- stowaway!!

Saana watakwambia magumu tuuu! ili wapate credit za ushujaa! waonekane wanaume wa shoka! hata km ni rahisi! Ushauri wangu kwa wana JF, ni hivi mwenye nia kaza nia usiogope wala kutishwa, ukizingatia kwamba ''Mtanga na jua hujua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakinguka mikononi mwa Los Zetas wanacinjwa na kumwagiwa risasi kama mvua
 
Wakinguka mikononi mwa Los Zetas wanacinjwa na kumwagiwa risasi kama mvua

Hata hao kina Los Zetas wanapenda biashara ya magendo ya kuvusha watu maana pesa nyingi kwa magenge yao.

Hivyo magenge yamejiwekea utaratibu wa 'kiungwana' kukusanya na kugawana kodi na kuhakikisha hakuna vitendo vya kuwadhuru wahamiaji waendao Marekani ya Kaskazini ili biashara hiyo ishamiri na ndiyo maana vitendo vya kuibia wahamiaji au utekaji hakuna.

Genge lolote linaloenda kinyume 'uungwana huo ' hushambuliwa kwa adhabu kali za kiMexico hivyo hakuna genge linalotaka kukumbana na dhahma hiyo.
 
We wakati hayo makundi yanapigana kugombea hiyo biashara? Miaka kama minne nyuma kuna mauaji yalifanywa na Los zetas ya wahamiaji mamia kwa mamia.
Kila genge lina sheria zake na hayajawahi kuwa marafiki ndiyo maana mara zote kuna vita kubwa baina yao ya kutekana kuana na kuchinja na maiti kuziacha hadharani
 
Bora nikafie huko nijaribu kutoka kuliko kukaa hapa pasipo na matumaini yoyote. Tena sasa hivi ticket za ndege zimeshuka bei balaa kwa ajili ya janga is corona.I will die trying.Mi sio mnyonge. Kifo tumeumbiwa wote.hata nisipoenda nitakufa kama paka tu hapa Africa.I've got nothing to lose at all
We wakati hayo makundi yanapigana kugombea hiyo biashara? Miaka kama minne nyuma kuna mauaji yalifanywa na Los zetas ya wahamiaji mamia kwa mamia.
Kila genge lina sheria zake na hayajawahi kuwa marafiki ndiyo maana mara zote kuna vita kubwa baina yao ya kutekana kuana na kuchinja na maiti kuziacha hadharani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
June 2019
Canada resettled more refugees than any other country in 2018

Canada resettled the largest number of refugees out of 25 countries in 2018, according to the UN's refugee agency.

The country accepted just over 28,000 refugees last year, with the United States coming in second with 22,900.

Some 92,400 refugees were resettled globally in 2018, fewer than 7% of those awaiting resettlement worldwide.

This figures were contained in a newly released UN Refugee Agency report looking into the global refugee trends last year.

According to the US-based Pew Research Center, which looked the the UNHCR data, 2018 was the first time the US did not lead the world in refugee resettlement since 1980.

Pew noted that until 2017, the US resettled more refugees on an annual basis than the rest of the world's countries combined.

"The sharp drop in US refugee resettlement is in part due to the Trump administration's decision to set a considerably lower cap on the number of refugees allowed into the US than in previous years," said the research organisation.

The number of refugees Canada resettled last year was in line with 2017 figures, while the US numbers dropped. In 2017, the US accepted some 33,000 refugees.

Australia, the UK, and France also resettled high numbers out of the 25 countries that resettled refugees in 2018, according to UN figures.

The number of people fleeing war, persecution and conflict exceeded 70 million globally last year - the highest number in the UN refugee agency's almost 70 years of operations.

More than two thirds of all refugees worldwide came from Syria, Afghanistan, South Sudan, Myanmar and Somalia.

The UN report identifies three main groups in that global count, which include refugees, or people forced to leave their country because of conflict, war or persecution. In 2018, the number of refugees reached 25.9 million worldwide.

The second group is designated as internally displaced persons (IDPs). These people are displaced within their country and amount to 41.3 million globally.

p05bzglw.jpg

Media captionIn 2017, hundreds of migrants were illegally crossing the US border into Canada each day
Another group is 3.5 million asylum seekers. These are people outside their country of birth who are under international protection, but are yet to be granted refugee status.

The US is the world's major recipient of new asylum applications, registering 254,300 applications in 2018.

Canada was ninth on the list of new asylum claims with 55,400 registered in 2018, behind the US, Peru, Germany, France, Turkey, Brazil, Greece and Spain.

An influx of asylum seekers crossing at the US-Canada border has become a political issue after approximately 40,000 people "irregularly" crossed into Canada between 2017 and 2018.

Canada currently is struggling with a backlog of almost 74,000 asylum claims with applicants waiting almost two years for a hearing.

Source : Canada resettled most refugees worldwide in 2018
 
March 19, 2020
Ottawa, Canada

Curbing the Coronavirus

Canada and the US are considering a mutual ban on non-essential travel between the two countries, according to a Canadian government official.
 
Hawa watu safari zao wanaanzia wapi niungane nao,dah napenda sana safari za hivi..yaani uhamiaji upo damuni kabisa yaani..
 
Back
Top Bottom