G'taxi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 6,625
- 8,639
Nyampande[emoji16][emoji16]
Olemh'ola nkoi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyampande[emoji16][emoji16]
Ugumu wako siyo ugumu wa wote!!! ni sawa na maisha mwingine kapasua mwingine anasota na mmesoma wote!!!! kuna watu walikaa na pass port mpaka zimechakaa walishindwa. lkn sikukata tamaa ajili yao, nikaenda siku hiyo hiyo nilipata visa na nikaondoka!!! mpaka leo sijaeudi, tena ugumu ulikuwa kwa afisa uhamiaji wa kwetu, ndo aliniuluza sijui barua ya mwaliko, unaenda fanya nini huyo tu, lkn huko mbele ni bwerere tu! sometimes kujieleza nako, km una flow vizuri kwa point unapata faster.Sisikilizi stowaway yoyote.nimejionea mwenyewe.masharti ya visa kwa kijana anaetafuta maisha ni magumu.unaambiwa uwe na pesa ya matumizi isioyopingua dola 100 kwa siku utayokaa ugenini.unaambiwa uwe na hati ya Mali isiyohamishika na uwe na uthibitisho wa kurudi kwenu baada ya muda wa matembezi kwisha.mtu amemaliza chuo kikuu mwaka mmoja uliopita.vitu hivyo anatoa wapi?wakifoji wanafungiwa kupata visa.sio rahisi maana mimi nimesafiri nikiwa na umri mdogo sana.najua balaa la visa kuanzia ya south africa kipindi hiko mpaka ya marekani.na pesa nilikua nazo nyingi tu za mirathi ya mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna uwalakini ni siasa za kiafrika za ubinafsi bila kuwa na itikadi kama za hapa Tanzania. Si ccm au chadema au ACT Vina itikadi zaidi ni matumbo ya akina Tundu Lissu tuLazima kuna uwalakin ktk sera za nchi za Afrika. Wahamiaji kibindoni kila mtu ana kiasi cha dola za Marekani 10,000 na simu janja yenye GPS pia kusaidia kuwasiliana na ndugu na jamaa kila hatua ya safari hii ndefu, ngumu na ya hatari.
Jamani Ghana tena?Msitu wa Darien baina ya Panama na Colombia kikwazo kisicho na mfano ktk safari hii ya wahamiaji
Wahamiaji wenye watoto wadogo ktk mkeleko wakiendelea kupita msitu mzito kupita wote wa Darien uliopo kati ya nchi za Colombia na Panama wakiwa na lengo la kufika Marekani ya Kaskazini yaani USA na Canada.
Safari hii inatokana na nchi za Brazil na Ecuador kutokuwa na sheria kali za viza na uhamiaji hivyo Wahamiaji kutoka mabara ya Asia, Afrika kuelekea Marekani ya Kaskazini.
Katika video hii tufuatane nao hawa wahamiaji mguu kwa mguu ktk msitu huu kuona ugumu na changamoto zisizo na mfano kuhamia katika nchi zingine. Wakitokea Congo, Haiti, Cameroon, Pakistan, Sri Lanka, Ghana .....
Source: PBS NewsHour
Mkuu, nje na maudhui ya komenti yako..Msitu wa Darien baina ya Panama na Colombia kikwazo kisicho na mfano ktk safari hii ya wahamiaji
Wahamiaji wenye watoto wadogo ktk mkeleko wakiendelea kupita msitu mzito kupita wote wa Darien uliopo kati ya nchi za Colombia na Panama wakiwa na lengo la kufika Marekani ya Kaskazini yaani USA na Canada.
Safari hii inatokana na nchi za Brazil na Ecuador kutokuwa na sheria kali za viza na uhamiaji hivyo Wahamiaji kutoka mabara ya Asia, Afrika kuelekea Marekani ya Kaskazini.
Katika video hii tufuatane nao hawa wahamiaji mguu kwa mguu ktk msitu huu kuona ugumu na changamoto zisizo na mfano kuhamia katika nchi zingine. Wakitokea Congo, Haiti, Cameroon, Pakistan, Sri Lanka, Ghana .....
Source: PBS NewsHour
tayari ni mwakani sasa kwa mjibu wa komenti yako.
Mimi nina nia.kama Vipi unga tela mbele kwa mbele.Bora tukafie nchi ya ahadi.Bongo nyosotayari ni mwakani sasa kwa mjibu wa komenti yako.
ikiwa bado ujaenda, naomba niungane na wewe ikiwa uto jari
nikipatapa mtu mwenye nia ya kwenda uko naunga tela.
hata kama nitafia njiani poa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida ni unafikaje?maana ndio njia hiyo.watu hawataki kutoa michongo zaidi ya kutishana tuMoja kati ya nchi bora america ya kusini, Argentina [emoji7][emoji7] haina ufirauni mkubwa kama brazil, Colombia n.k.
Siku ukienda nishitue blaza.
Argentina forever [emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji173]
Shida ni unafikaje?maana ndio njia hiyo.watu hawataki kutoa michongo zaidi ya kutishana tu
Sent from my LG-M250 using JamiiForums mobile app
Shida ni unafikaje?maana ndio njia hiyo.watu hawataki kutoa michongo zaidi ya kutishana tu
Sent from my LG-M250 using JamiiForums mobile app
Kwa sasa Brazil hapaingiliki kutokana na wazee wa unga kuharibu kila kitu.Wanasema kupitia Brazil ndiyo njia sahihi pa kuanzia wao Brazil hawana vikwazo vya kutoa viza. Kutokea hapo Brazil ukiwa umeingia kwa usafiri wa anga utakwenda mbele kwa mwendo wa miguu, punda, daladala, mitumbwi, mabasi , taxi mpaka nchi ya ahadi wanasema watu "wagumu" wasiokata tamaa toka nchi za DR Congo, Ghana, Bangladesh, Somalia , Haiti n.k ktk safari hii . Kibindoni ukianza safari uwe na dolari za kutosha wanasema "wagumu" hao.
c.c mbalaka