Wahamiaji: Safari toka Congo kupitia Brazil mpaka Canada kwa miguu

Wahamiaji: Safari toka Congo kupitia Brazil mpaka Canada kwa miguu

2 janeiro 2022
Rio de Janeiro, Brazil

Watatu washikiliwa Rio de Janeiro kwa mauaji ya Mhamiaji toka Congo



The Capital Homicide Police Department investigates the death of Congolese Moise Mugenyi Kabagambe, 24 years old. He was beaten by a group of men with sticks on Barra da Tijuca beach, west of Rio, last Monday (24) ..... source : Polícia prende três homens pela morte de Moïse no Rio



Paolla Serra e Luã Marinatto
01/02/2022 - 15:58 / Atualizado em 02/02/2022 - 07:39
Os agressores usaram até pedaços de paus para bater no congolês Foto: Reprodução
Os agressores usaram até pedaços de paus para bater no congolês Foto: Reprodução

Source : Vídeo mostra congolês sendo espancado até a morte em quiosque na Barra da Tijuca
 
03 November 2022
Jomo Kenyatta International Airport
Nairobi, Kenya

Mkenya aliyetumia ujanja kujaribu kuenda Canada atozwa faini ya Sh1 milioni


Mkenya Aliyetumia Ujanja Kujaribu Kuenda Canada Atozwa Faini Ya Sh1 Milioni​

NA RICHARD MUNGUTI

MKENYA aliyejaribu kusafiri hadi Canada akitumia hati feki ametozwa faini ya Sh1milioni ama atumike kifungo cha miezi 21 gerezani.


Diannah Moraa Nyaigoti alikiri alighushi barua kutoka Ubalozi wa Canada nchini ikidai alipoteza kadi ya uraia wa Canada.

Kwenye barua hiyo Moraa alidai kadi yake uraia wa Canada nambari 6139-0420 ilipotea.

Alighushi barua hiyo Oktoba 22, 2022 na kumkabidhi afisa wa idara ya uhamiaji Bi Rebecca Toto akijaribu kuabiri ndege ya kwenda Canada ikipitia Adis Ababa, Ethiopia.

Alimkabidhi Toto barua hiyo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) mnamo Oktoba 31, 2022.

Moraa alikiri mashtaka manne ya kughushi barua hiyo na pia kutoa habari za uwongo kwa afisa wa uhamiaji kwamba kadi yake ya uraia wa Canada imepotea.

Moraa aliomba msamaha akisema “alipotoshwa na mtu mwingine kwamba angalisafiri bila matatizo yoyote kutafuta kazi Canada.”

Akimhukumu mshtakiwa , hakimu mwandamizi Bernard Ochoi wa mahakama ya Milimani jijini Nairobi alisema watu wengi wamekuwa wakitumia udanganyifu kuenda ng’ambo na wakikumbana na matatizo wanaanza kulia hoi huku wakiomba serikali iwarudishe nchini.

Kwa kughushi barua hiyo ya ubalozi wa Canada na kuitumia kusafiri alitozwa faini ya Sh900,000 ama atumikie kifungo cha miezi 18 na kwa kosa la kutoa habari za uwongo kwa Toto alitozwa faini ya Sh100,000 ama kifungo cha miezi mitatu gerezani.

Vifungo vyote vitatumika kwa wakati mmoja
Source : Mkenya aliyetumia ujanja kujaribu kuenda Canada atozwa faini ya Sh1 milioni – Taifa Leo
 
07 November 2022
New York City USA

Anderson Cooper reports on the busloads of men, women and children from Central and South America arriving in New York City.



Source : 60 Minutes
 
11 April 2023
Panama City
Panama

Marekani, Panama na Colombia kupambana na wimbi la Wahamiaji

Nchi hizo wakubaliana kupanga mkakati kuzuia safari hatari za kukatiza msitu wa Darien kukabiliana na wahamiaji wanaotumia njia inayopita katika msitu mnene uliopo baina ya Colombia na Panama ambao unawezesha wahamiaji kuifikia nchi za Bara la Marekani ya Kaskazini za USA na Canada kwa safari ya mguu kupitia nchi za Latin Amerika na Marekani ya Kati


US, Panama, Colombia Agree Plan to Curb Migration in Darien Gap​


By Reuters
April 11, 2023
1681807607241.png


Panama's Foreign Minister Janaina Isabel Tewaney shakes hands with U.S. Homeland Security Secretary Alejandro Mayorkas after delivering a joint statement about migration, in Panama City, Panama April 11, 2023.


PANAMA CITY (Reuters) - The United States, Panama and Colombia will launch a two-month campaign to tackle undocumented immigration through the jungle region separating Colombia and Panama known as the Darien Gap, their governments said on Tuesday following high-level talks.
The campaign aims to end the illicit movement of people and goods through the region and open other pathways for people to migrate, the three governments said in a joint statement.


Panamanian Foreign Minister Janaina Tewaney and her Colombian counterpart Alvaro Leyva Duran met with U.S. Homeland Security Secretary Alejandro Mayorkas in Panama City to discuss the challenge posed by increased illegal crossings through the Darien.
There were almost 88,000 illegal crossings through the Darien Gap in the first three months of 2023, more than six times the number logged in the same period last year, according to official Panama migration data.
Officials from the three countries also pledged to roll out a plan to reduce poverty and promote economic and sustainable opportunities in border communities
 
UNICEF WAJA NA RIPOTI KUHUSU VISA VYA UKATILI KATIKA MSITU WA DARIEN HUKO LATINO AMERIKA

WAHAMIAJI KUTOKA HAITI WAKIKATISHA MSITU WA DARIEN UNAOTENGENISHA KATI YA COLOMBIA NA PANAMA.
WAHAMIAJI KUTOKA HAITI WAKIKATISHA MSITU WA DARIEN UNAOTENGENISHA KATI YA COLOMBIA NA PANAMA.
ULIMWENGU

UNICEF:karibia watoto 19elfu wahamiaji wamekatisha msitu wa Darién​

Kwa mujibu wa Shirika la Kimataifa UNICEF, limebainisha kuwa idadi ya watoto wahamiaja waliokatisha msitu mzito wa Darién”,unatengenisha kati ya Colombia na Panama ni moja ya maeneo ya hatari sana huku wakitafuta kufika Amerika Kaskazini.

Hii ni kwa sababu,katikati ya msitu huo,kuna utekaji nyara,ubakaji,biashara mbaya ya binadamua zaidi ya hatari za wanyama mwitu,wadudu na ukosefu wa maji.

Na Sr. Angela Rwezaula – Vatican.
Ni karibu watoto 19,000 wahamiaji ambao wamesafiri kukatisha ‘Darién’, msitu mkubwa unaotengenisha nchi ya Colombia na Panama, ambapo hadi sasa, mwaka huu idadi imeongezeka karibu mara tatu zaidi ya iliyorekodiwa kwa pamoja katika miaka mitano iliyopita.
Immigrant families walk near the Colombian-Panama border in the Darien Gap, Colombia.

Immigrant families walk near the Colombian-Panama border in the Darien Gap, Colombia
Katika Msitu huo mzito sana wa kitropiki, familia za wahamiaji wakiwa na watoto kwa namna ya pekee, wako hatari ya kupata vurugu zikiwemo nyanyaso kijinsia, biashara ya binadamu na kwa kutishiwa kwa kutishiwa na magenge ya kihalifu. Watoto wanaokatisha msitu huo wa Darién pia wana hatari ya kukumbana kuhara tumbo na kuharisha, magonjwa ya pumu, ukosefu wa maji safi ya kunywa na usumbufu mwingine unaohitaji umakini wa haraka.
Kila mtoto ambaye anapitia kwenye msitu wa Darién kwa miguu ni mnusurika! Hii ni kwa sababu, katikati ya msitu huo mzito, kuna utekaji nyara, ubakaji, biashara mbaya ya binadamu mambo ambayo ni hatari na zaidi kuna wanyama mwitu, wadudu na ukosefu wa maji safi ya kunywa.

Juma baada ya Juma watoto wengine wanakufa, wengine wanapoteza wazazi wao au wanatenganishwa na wazazi wao wakati wa safari hii ya hatari. Ni jambo la kutisha sana ambapo makundi ya kihalifu wanatumia fursa hii dhidi ya watoto ambao tayari ni waathiriwa zaidi”, amethibitisha hayo Jean Gough, Mkurugenzi wa Kanda wa UNICEF kwa ajili ya Amerika ya Kusini na Karribien.
Njia za hatari kwa wahamiaji kukatisha msitu wa Darien

Njia za hatari kwa wahamiaji kukatisha msitu wa Darien
Mwaka huu 2021, karibia watato watano walikutwa wamekufa katika msitu huo. Mwanzo mwa mwaka watoto zaidi ya 150 walifika Panama peke yao wakiwa hana wa kuwasindikiza, baadhi yao walikuwa ni wachanga sana na hadi sasa karibia ongezeko hilo ni mara 20 kulingana na mwaka jana.

Katika msitu wa Darien, vurugu za nyanyaso zinazidi kuongezea na zinazokusudiwa genge ka kihalifu kama njia ya kuogopesha. Kati ya mwezi Januari na Septemba 2021, UNICEF imerekodi kesi 29 za nyanyaso dhidi ya wasichana wadogo wakati wakiwa kwenye safari yao. Na wanawake wengi wameripoti juu ya kupata nyanyaso za kingono. “Timu zetu katika nyanja hii, hadi sasa tulikuwa hatujawahi kuona watoto wengi wadogo namna hii wakikatisha msitu wa Darién na ambao mara nyingi hawajasindikizwa na mtu yoyote.

Wingi wa watoto namna hii umeongezeka kwa haraka wakielekea Kaskazini kutoka Kusini ambapo lazima ichukuliwe hatua kama mgogoro wa hatari wa kibinadamu katika kanda yote zaidi na Panama”, amesitiza Gough Mwakilishi wa UNICEF.
Njia za hatari kwa wahamiaji kukatisha msitu wa Darien

Njia za hatari kwa wahamiaji kukatisha msitu wa Darien
Wahamiaji zaidi ya mataifa 50, wengine kutoka hata Afrika na Asia Kusini, wako wanatumia njia hiyo ili kuweza kuifika Marekani.

Nusu ya wahamiaji wanatoka huko Haiti walio wengi wana watoto waliozaliwa Chile au Brazil. UNICEF kwa sasa inaendelea kusaidia nchini Colombia kwa kutoa maji, huduma za afya na usafi, kwa namna ya pekee katika sehemu za Necocli mahali ambapo watu zaidi ya 1000, wakiwemo watoto, wanasubiri mbadala wa usafiri kuelekea Panama.

UNICEF pia inafanya kazi na mamlaka mahalia kwa ajili ya kuwatambua watoto ambao hawajasindikiza na kutengwa na vitengo vinavyowahusu. Wakati huko Panama, na washirika wanaendelea kutoa msaada wa kisaikolojia na huduma ya afya kwa watoto wahamiaji, hasa wale waliotengenisha na wazazi wao. Timu zao pia zinawasaidia na kuwalekeza watoto ambao wamepata vurugu katika vituo vya huduma ya ulinzi mahalia.

Hata hivyo UNICEF inawaalika serikali kuhakikisha kuwa ulinzi wa watoto wahamiaji wakati wa mchakato wao na kutaribu uzinduzi wa kupata jibu la kibinadamu ambalo lina nguvu zaidi katika nchi zote husika.

Ufungamanishwaji wa familia ya wahamiaji katika kutambua ukaribu lazima uhamasishwe na lazima kukabiliana na sababu za mzizi ambao umepelekea uhamiaji huo, wanabainisha Unicef.
 
14 July 2023
Toronto, Canada

TATIZO LA MAKAZI KWA WAKIMBIZI WALIOWASILI TORONTO


Olivia Chow, mayor wa Jiji la Toronto Canada azungumzia tatizo la makazi kwa wahamiaji waliowasili. Wahamiaji wakimbizi wafunguka .
 
Waafrika tu wajinga sana. Mimali yote iliyopo Congo tunaiwacha tunaenda kuwa watumwa Canada?
 
Wahamiaji waliowasili kama wakimbizi wafunguka adha ya kulala mtaani na ukosefu wa makazi


Wahamiaji wawashukuru wasamaria wema pamoja ya kulala nje lakini watu hawa wema huwaletea vyakula na hili silo tatizo ila sehemu ya malazi ndiyo changamoto wahamiaji toka Nigeria, Uganda .... n.k


Wakimbizi wazungumza hali haikuwa mbaya miezi miwili iliyopita hadi mwezi June 2023 lakini kuanzia hii Julai 2023 hali ya hewa ya summer wengi ya joto wamewasili kutokana na kutokuwepo baridi ..

Wahamiaji waliokimbia nchi zao kuokoa roho zao toka kwa majahili na sababu zingine zinazotishia uhai wao

Meya wa jiji la Toronto bi. Olivia Chow asema wameelemewa na wimbi kubwa la wakimbizi hivyo wanatarajia serikali ya shirikisho federal govt ya Canada kuingilia kati kutatua tatizo la wahamiaji waliowasili Toronto.
 
18 July 2023

Watetezi wa haki za wakimbizi na wahamiaji wajitokeza



kuchagiza serikali ya Canada ichukue hatua za haraka kutatua wageni hawa kulala mabarabarani. Wachagizaji hao ni pamoja na watu weusi maarufu wa kikanda kama Jean Augustine waziri wa zamani katika serikali ya shirikisho la Canada na watu wengine maarufu raia weusi wa Canada watoa raia kwa serikali

Naye mwanaharakati mfanyabiashara tajiri wa Paramount Foods mhamiaji mwenye asili ya Lebanon bw. Mohammed Fakih amesema juhudi zaidi zinatikiwa kufanywa na wasamaria wema kuwatafutia nafuu ya maisha wahamiaji hao wapya wasio na makazi wakati jiji na serikali ya shirikisho wakiendelea na taratibu za kupata ufumbuzi ambazo kiserikali zitachukua siku kadhaa kabla ya kuidhinishwa.
1689836288810.png

Hivyo Mohammed Fakih amewasii wasamaria wema ambao juhudi zao ni za papo kwa hapo wajitokeze kwani hali hairidhishi ya wahamiaji kuishi mabarabarani.

Wachangiza haki za wahamiaji walisema kina mama wanaathirika pakubwa jinsi ya kulala kwa staha na usalama usiku huku wengine wana watoto wadogo pia kinamama wengine ni wajawazito.
 
19 July 2023
Ottawa, Canada

Serikali ya shirikisho yatoa dola 212 milioni kuokoa mamia wahamiaji waliokuwa wanalala vibarazani Canada


Hatimaye serikali ya shirikisho ya ingilia kati kuokoa mamia wakimbizi waliosamba na kulala barabarani

Ottawa announces $212M in funding for asylum seekers amid full shelters

Waziri Mkuu wa Canada Mh. Justin Trudeau na serikali yake wapo mbioni kupanga mikakati endelevu ya misaada ya kibinadamu kunusuru hali hiyo mbaya ya wahamiaji.

Mbinyo kwa serikali kutakiwa uwajibikaji wa haraka ukipitia breaking news za vyombo vya habari vikionesha hali halisi inayowakabili wahamiaji hao waliogeuza maisha yao kuwa ya makazi mabarabarani baada ya kusafiri kwa maelfu ya kilometa kukimbia ukandamizaji, vita, matishio ya maisha na sababu mbalimbali



Mbali na kutatua suala la makaazi serikali inapanga fungu la kugharamia masomo ya lugha ya kiingereza ili wahamiaji waweze kujiamini zaidi ktk masuala ya kutafuta kazi au masomo ya muda mfupi pia fungu la kugharamia bando la intaneti / WiFi ili waweze kuongea na marafiki wachache wawaelekeze kuhusu mfumo wa maisha mapya Canada, maelezo ya huduma za afya ambayo mengi pia hupatikana maelezo yake mtandaoni n.k
 
Meya wa jiji la Toronto bi. Olivia Chow asema wameelemewa na wimbi kubwa la wakimbizi hivyo wanatarajia serikali ya shirikisho federal govt ya Canada kuingilia kati kutatua tatizo la wahamiaji waliowasili Toronto.

19 July 2023
Toronto, Canada

Hatimaye wahamiaji waliokuwa barabarani, wapata makazi ya muda Kanisani kupitia juhudi za wasamaria wema


Advocates have stepped in to transport the mostly African asylum seekers to a pair of churches in North York. The group was loaded on to several buses on Monday night and brought to Revivaltime Tabernacle on Dufferin Street, south of Finch.

A growing group was camped out at the corner of Peter and Richmond streets outside the city’s shelter intake office, and it included some who were sleeping on the pavement for several weeks. The group was finally able to be moved to a shelter thanks to community organizers and volunteers, including the founder of Paramount Fine Foods Mohamad Fakih, who pledged money to assist in housing the refugees.
1689833942961.png
 
10 Agosti 2023
Sao Paulo, Brazil

Wazamiaji stowaway wajipigilia kwenye rudder ya Meli "the Ken Wave' waibukia Brazil.

Wazamiaji waliosafiri juu ya mkono wa usukani wa meli (mkombo) wakipewa maji na polisi wa majini Brazil


Muda kidogo baada ya saa sita usiku tarehe 27 Juni, Bw. Roman Ebimene Friday alikusanya chakula alichokuwa akikusanya kwa miezi michache na kuanza gizani kuelekea bandari kubwa ya kibiashara katika jiji la Lagos, Nigeria.

Mapema siku hiyo, Ijumaa alikuwa ameiona meli kubwa yenye urefu wa futi 620 (m 190) ikiwa imetia nanga kwenye bandari hiyo na kuamua kuwa ndiyo ingekuwa meli ya kumpeleka Ulaya.

Bw. Friday alikuwa amelenga sehemu ya nje ya usukani wa meli ya mafuta inayoogoza mwelekeo wa meli yoyote kwa kuwa ktk meli kubwa kiasi hicho kulikuwa na nafasi ya kizimba cha futi 6 kwa sita.

Akamuomba mvuvi mmoja kumfikisha melini kwa kificho kutokea baharini. "Alikuwa mtu mtakatifu mtu wa Mungu , mvuvi yule," Friday alikumbuka. "Hakuomba pesa. Aliona kwamba nilitaka kuondoka kutafuta kutoka kimaisha ulaya hakuwa na noma yoyote ."

Mvuvi huyo aliiegemeza ngalawa kwenye usukani wa meli ya the Ken Wave na kisha Bw. Friday , 35, alijiinua kuingia eneo la chuma hicho huku akibeba mfuko wake wa chakula nyuma yake kwenye kamba. Alipojiweka sawa aliona, kwa mshangao, nyuso tatu gizani. Alikuwa wa mwisho kati ya wanaume wanne waliokuwa na wazo moja. "Niliogopa, mwanzoni," Bw. Friday alisema. “Lakini walikuwa mabraza Waafrika weusi, ndugu zangu.

Kwa kuogopa kukamatwa, wanaume hao wanne walikaa kimya kwenye usukani kwa saa 15 zilizofuata. Saa kumi na moja jioni, walihisi injini kubwa za meli zikitetemema. Wote kwa dini zao walipiga kelele kwa maneno machache ya sala . Wote walikuwa wanalenga kufika Ulaya. Walitarajia kuwa wasafiri kwa muda wa wiki moja.
1691843345702.png

Meli hiyo, iitwayo Ken Wave, ilijisukuma kutoka bandarini Lagos na kuelekea baharini bahari kuu - mwanzo wa safari ya hatari ya wiki mbili ya bahari ambayo ingewaleta karibu kifo.

Huku wakiona mataa ya majengo marefu ya jiji la Lagos taa zake zikizidi kufifia kutokana na jinsi safari ya meli iliendelea kuingia bahari kuu , wanaume hao walijaribu na kushindwa kupata nafasi nzuri kwenye sehemu hiyo ya usukani, ambao ulisogea kila mara ilipokuwa ikiongoza meli. Kulikuwa na nafasi ndogo sana ya kusimama, na mahali pekee pa kulala palikuwa katika mojawapo ya vitanda vilivyotengenezwa kwa kamba za plastiki viwili vidogo vilivyofungwa kwa hatari juu ya maji, na wazamiaji walio tangulia, Bw. Friday anaamini wakati akiviangalia.

Inaweza kuwa vigumu kuelewa sababu ni nini kinachomsukuma mtu kuhatarisha maisha yake kwa kujipigilia katika usukani wa meli au mashua yenye misukosuko katika Bahari ya Mediterania. Lakini uamuzi unakuja rahisi wakati tayari umepoteza matumaini, Bw. Friday alisema.
1691844461428.png

"Nchini Nigeria hakuna kazi, hakuna pesa na hakuna njia ya mimi kuwalisha wadogo zangu na mama yangu," alisema. "Mimi ni mtoto wa kwanza wa kiume na baba yangu alifariki miaka 20 iliyopita, hivyo napaswa kutunza familia yangu, lakini siwezi."

Walikuwa wamejipigilia kwenye meli ilipokuwa imefungwa kamba katika gati ya bandari umbali wa maili 3,500 - huko kwao Lagos, jiji lenye watu wengi zaidi katika taifa la Afrika Magharibi la Nigeria.

Wakisimulia safari yao ya kutisha kwenye gazeti la The New York Times la Marekani , walisema walitumia siku 14 kuvuka Bahari ya Atlantiki, wakiwa wameegemea chuma baridi cha usukani, wakiwa na hofu ya kuanguka kwenye maji yanayotembea kwa kasi chini ya miguu yao. Wakati mwingine, waliona papa. "Tuliogopa sana, tuliendelea tu kusali," alisema mmoja wa wanaume hao, Bw. Roman Ebimene Friday


Kwa njia fulani, njia za meli ni salama zaidi kuliko zile zinazovuka sehemu za Sahara kwa miguu au Mediterania kwa boti za mbao zenye misukosuko. Lakini siku ya tano ilipopita, Bw Friday na Bw. Yeye walianza kuhesabu hatari mahususi za hali yao.

Tayari walikuwa dhaifu kutokana na kugawana chakula chao na uchovu wa kukosa usingizi. Walifunga kamba viunoni mwao walipohitaji kukojoa kando ya usukani. Wakati maji yalikuwa magumu, mawimbi yaliwapiga. "Sote tuliogopa mawimbi makubwa," alisema Bw.Yeye. ""

Nyavu za vitanda vya kamba ya plastiki zililegea na ikabidi zifungwe tena kwa njia isiyo ya ustadi. Walilala tena ndani ya nyavu lakini Bw. Friday alikumbwa na ndoto kila mara aliota tu kuamshwa na hisia ya ghafla ya kuanguka na kupigwa na baridi chini. "Neti ikipasuka, unaingia moja kwa moja kwenye maji na umekwenda," alisema. Na kweli ulikuwa umeenda. Hakuna nafasi ya kuokoa baharini wakati hakuna anayejua kuwa umepotea



"Sijawahi kuona bahari hapo awali lakini nilikuwa nikitazama filamu kuhusu dhoruba na niliona meli kubwa zikitikiswa kutoka upande hadi upande kwa mawimbi." Usingizi ulikuwa hauwezekani kabisa. "Unajaribu hata kufumba macho yako," Friday alisema. "Usukani hugeuka saa 24 kwa siku, siku saba kwa wiki, unapaswa kuwa macho kila wakati."

Wakiwa na wenzao wawili, William na Zeze, walipita siku chache za kwanza kwenye meli katika mchanganyiko wa kuchoka, usumbufu, na woga, wakizungumza kidogo tu, wakiomba mara kwa mara na kujaribu kukesha, huku meli the Ken Wave - Wimbi la Ken lijisukuma ndani ya eneo kubwa. eneo la Atlantiki ya kusini kwa safari ya maili 3,500 kwenda Brazili.

Siku ya tisa, walisema waliishiwa chakula na maji. "Tulilamba colgate dawa ya meno na kunywa maji ya bahari ili tu kuwa na nguvu," Bw. Friday alisema katika mahojiano ya simu kutoka kwa makao yao mapya huko mji wa São Paulo, Brazili, alipokuwa akiishi.

Baada ya siku 14 wakiwa baharini waliona boti ya polisi marine ikiwafuta.

"Tulipowajulisha kuwa sisi ni polisi wa shirikisho la Brazili, walikumbwa bumbuazi na kuuliza 'Je, tuko Brazili?'" Rogerio Lages, mkuu wa kitengo cha wanamaji cha polisi wa shirikisho katika jimbo la Espírito Santo, ambako meli hiyo ya mizigo imetiwa nanga.


Kikosi chake cha polisi maji kiliitwa kwenye bandari ya Vitória, kama maili 350 kaskazini mwa Rio de Janeiro, mnamo Julai 10 baada ya mashua iliyokuwa inawasafirisha wafanyakazi wapya hadi kwenye meli iliyobatizwa jina the Ken Wave 'Wimbi la Ken' kuwaona wahamiaji kwenye usukani, wakiomba msaada.

Wawili kati ya wanaume hao waliomba kurejeshwa Nigeria, mamlaka ya Brazil ilisema, lakini Bw. Friday na stowaway wa nne, Bw. Thankgod Opemipo Matthew Yeye, waliamua kusalia na wametuma maombi ya kuwa mkimbizi.

1691839905649.png

Picha: wakiwa wameketi kwenye benchi ya bustani nje ya kanisa la Jeshi la Wokovu . Bw. Thankgod Opemipo Matthew Yeye, kushoto, na Bw. Roman Ebimene Ijumaa mjini São Paulo Brazil mwezi uliopita. Wameamua kusalia Brazili na wametuma maombi ya kuwa mkimbizi

Bw. Friday, 35, ambaye anatoka Bayelsa, jimbo katika Delta ya Niger, eneo lililochafuliwa la petroli, alisema alikuwa akitafuta kazi huko Lagos kwa karibu miaka miwili, akitumai kusaidia mama yake mjane na wadogo zake watatu.

Alikuwa na pesa kidogo sana, alisema aliishi na usiku kulala chini ya madaraja ya mji mkubwa wa Lagos Nigeria huku
"Ninafikiria sana jinsi ya kuwa mtu bora zaidi kimaisha ," Bw. Friday alisema, akielezea kwa nini aliondoka Nigeria, "kwa hivyo nilichagua njia hii kufanya maisha bora ya baadaye na kuweka msingi kwa ndugu zangu wadogo."

Aliyesimama karibu na Bw. Friday kwenye usukani wa meli ya alikuwa Bw. Thanksgod Opemipo Matthew Yeye, mchungaji wa madhehebu ya kanisa la Pentekoste, mfanyabiashara na baba wa watoto wawili ambao shamba la karanga na michikichi lilisombwa na mafuriko yaliyoikumba Nigeria mwaka jana. Hakukuwa na kurudi nyuma au bima ya kufidia hasara.

"Biashara yangu iliharibiwa na familia yangu ikakosa makazi. Na huo ndio ulikuwa mwanzo wa uamuzi wangu wa kuondoka," alisema.

Uamuzi wa mchungaji wa kanisa Bw. Yeye ulikuwa wa mwisho baada ya uchaguzi wa rais wa hivi majuzi, ambao ulikumbwa na hitilafu na madai ya wizi wa kura. "Uchaguzi umekuwa tumaini letu," alisema. "Lakini tunaifahamu vyema Nigeria, tunajua mfumo huo ni mbovu." Kwa hiyo, bila kuwaambia familia yake, aliondoka nyumbani kwa dada yake usiku na kuelekea bandarini, ambako alijua kwamba meli kubwa ya the Ken Wave- Wimbi la Ken lilikuwa likingoja kuondoka.

Nigeria imeshuhudia kuhama kwa watu kama Bw. Yeye na Bw. Friday katika miaka ya hivi karibuni, kupitia njia za kawaida na zisizo za kawaida, zinazoendeshwa na kushuka kwa uchumi na kurekodi viwango vya ukosefu wa ajira. Wengi husafiri kuvuka Sahara na Mediterania, ambapo takriban Wanigeria 1,200 wamekufa tayari mwaka huu 2023, kulingana na UN.

Maisha ya kila siku yamekuwa magumu kwa Wanigeria wengi katika miaka ya hivi karibuni huku taifa hilo likipambana na migogoro karibu kila eneo: uasi wa Kiislamu, mfululizo wa utekaji nyara na mapigano mabaya kati ya wakulima na wafugaji kuhusu ardhi katika taifa ambalo idadi ya watu inaongezeka.

Kuna watu wachache Nigeria wenye utajiri katika maeneo kama Lagos, yenye benki zake za uwekezaji, majumba ya starehe ya sanaa na harusi za kifahari za wasomi ambazo huvutia mamia ya wageni. Lakini kwa Wanigeria wengi, ukosefu wa ajira umekithiri, na kusaidia kuchochea msafara mkubwa kukimbilia mabara ya Ulaya, Marekani .

Idadi ya wahamiaji kutoka Nigeria, ambayo ina wakazi wapatao milioni 224, iliongezeka mara tatu kati ya 2009 na 2019, kulingana na Kituo cha Maendeleo ya Ulimwenguni.

Kufikia mwisho wa 2020, Nigeria iliorodheshwa katika nchi 10 zinazo ongoza duniani zenye idadi kubwa ya watu wanaoishi nje ya nchi, kulingana na Takwimu za Umoja wa Mataifa UN .

Wengine huchagua kujificha melini . Mwaka jana, wanaume watatu walipanda usukani kwa mtindo sawa na Bw. Friday na Bw. Yeye, na safari yao iliwachukua maili 2,500 hadi visiwa vya Canary, bahari ya Atlantic mahali pa kuingilia Uhispania. Bw. Friday na Bw. Yeye waliamini wanafuata njia hiyo hiyo ya Uhispania ulaya.


Hivi karibuni Bw. Friday na mchungaji Bw. Yeye walipata vibali vya kazi nchini Brazil na wameanza kuomba kazi.

“Natarajia sana kupata usaili wa kazi,’’ Bw. Yeye alisema. "Nadhani hicho ndicho kitu kinachofuata kwangu sasa. Kwa kweli nahitaji kazi sasa ili kutunza fedha kwa ajili yangu na familia yangu.” Alisema anatumai kupata pesa za kutosha kuleta familia yake Brazil.

Wazamiaji wote wawili wamechukuliwa katika Casa do Migrante, makazi ya wahamiaji huko São Paulo ambapo wanapata ahueni kutoka kwa safari yao. Wamepata usaidizi wa kuwakilisha makaratasi ya uhamiaji, kujiandikisha kwa masomo ya Kireno na kujifunza kuhusu mila na utamaduni wa Brazili.

"Sikuwa hata nikitarajia kwamba ningekuja Brazili, lakini nimejikuta nipo Brazili, na ni mahali pazuri zaidi," Bw. Friday alisema. "Nina furaha sana."

Wala hawakujua mengi kuhusu nchi hiyo mbali na timu yake maarufu ya soka, walisema. Sasa, wanapanga kuifanya ni nchi yao.

“Hadi sasa,’’ Bw. Yeye alisema, “Nimeona kwamba Wabrazili ni watu wenye urafiki na wenye upendo sana.’’
 
11 November 2023
Medellin, Colombia

UNGANA NASI SISI MAJASIRI TUNAENDELEA KUKATIZA MSITU MZITO WA DARIÉN GAP PANAMA, KUELEKEA MAREKANI YA KASKAZINI

Toka mji wa Medellin yalipo maakazi ya Pablo Escobar nchi ya Colombia lazima ukatize msitu wa 'kifo' wa Darién unapoingia nchi ya Panama, ungana nasi ktk safari hii kupitia video hii ya leo tarehe 11 November 2023

View: https://m.youtube.com/watch?v=aswvkdCpZYc

The Darien Gap known as the world's most dangerous jungle. I had heard of the Darien many years ago through National Geographic and it had both fascinated and intimidated me. I knew one day I would have to visit...When the word Darien started appearing in the news in recent years by way of the migrant crises I decided that now was the time to explore it for myself. And so myself and my good friend @TimmyKarter headed north from Medellin in search of a way across the infamous jungle, avoiding cartel and bandits, injury and tropical diseases, on an adventure with migrants from all over the world where national laws don't apply. Only the laws of the jungle.
1699741885427.png
 
Hao watu kwa nini wasizamie mataifa kama Russia, China, Iran, Saudi Arabia au North Korea, why only USA..???
 
22 December 2023
Ndege Yazuiwa Kwa Kuhisiwa Imebeba Abiria wa Biashara haramu ya Usafirishaji wa binadamu toka Dubai Mpaka Nicaragua
1703430052625.png

Ndege hiyo lilitua kwa dharura katika kiwanja nchi France kutokana na matatizo ya kiufundi, ilitokea Dubai kuelekea moja kwa moja Nicaragua ndipo ikabidi kutua Ufaransa kwa dharura.

Ufaransa yaizuia ndege iliyobeba abiria wa India kwa tuhuma za kusafirisha isivyo halali (ulanguzi ) wa binadamu.
Ndege hiyo inayoendeshwa na kampuni ndogo ya kukodi ya Legend Airlines yenye makao yake Romania, ilikuwa imebeba abiria 303 wa India kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu Dubai kuelekea Nicaragua.

Mamlaka za Ufaransa yameizuia safari ya ndege hiyo kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu UAE hadi Nicaragua ikiwa na abiria 303 wa India baada ya kupokea taarifa za siri kwamba inaweza kuwa imebeba wahanga wa biashara haramu ya binadamu, waendesha mashtaka walisema nchini Ufaransa siku ya Ijumaa.

Wapelelezi maalum wanawahoji wote waliokuwemo ndani ya ndege na kuwa watu wawili waliokuwa wameshikilia rundo la pasipoti za abiria pia fedha taslimu nyingi, wako kizuizini wakisubiri uchunguzi zaidi, ofisi ya mwendesha mashtaka wa Paris France ilisema katika taarifa.

Wachunguzi kutoka kitengo maalumu cha kupambana na uhalifu wa Ufaransa, polisi wa mpakani na askari wa anga wanafanyia kazi kesi hiyo.

Wabobezi wa sheria za kimataifa International law wasema hii inaweza kuwa mbinu mpya ya makundi ya ki mafia ya kufanya biashara haramu ya kusafirisha binadamu, na ndiyo mara ya kwanza kugundua mamia ya watu wakisafirishwa kwa njia haramu kupitia usafiri wa ndege kubwa. Magenge ya biashara hii haramu kupitia bara la Marekani ya Kusini
hutengeneza mabilioni ya Euro kupitia biashara hizi haramu za binadamu
.

Ubalozi wa India nchini Ufaransa ulichapisha kwenye mtandao wa X kwamba wafanyakazi wa ubalozi wameweze kutoa ushirikiano unaohitajika wa kibalozi kwa abiria. "Tunachunguza hali hiyo na kuhakikisha ustawi wa abiria.''

Kampuni ya ndege ya Legend Airlines haikujibu maombi ya kutoa maoni. Bi. Liliana Bakayoko, aliyetambuliwa kama mwanasheria wa Legend Airlines, alisema kwenye televisheni ya BFM ya Ufaransa kwamba kampuni hiyo inakanusha kuhusika katika biashara haramu ya binadamu.

Alisema mteja, ambaye hawajataka kumtaja kwa sasa, alikodisha ndege na alikuwa na jukumu la kuthibitisha hati za utambulisho za kila abiria. Mteja aliwasilisha taarifa za abiria kwa shirika la ndege saa 48 kabla ya safari ya ndege, alisema.

Human trafficking
22 December 2023

France grounds flight carrying Indian passengers on suspicion of human trafficking​

The flight, operated by small Romania-based charter company Legend Airlines, was carrying 303 Indian passengers from the United Arab Emirates to Nicaragua​


View: https://m.youtube.com/watch?v=CKvoDCeoej4
French authorities grounded a flight from the United Arab Emirates to Nicaragua carrying 303 Indian passengers after receiving a tip that it could be carrying victims of human trafficking, prosecutors said Friday.

Special investigators are questioning all those aboard and two people are in custody pending further examination, the Paris prosecutor’s office said in a statement.

The prosecutor’s office said an anonymous tip signaled that the flight, operated by small Romania-based charter company Legend Airlines, was carrying people who could be victims of human trafficking. It was grounded Thursday after it stopped for refueling at the Vatry Airport east of Paris, a small airfield in the middle of Champagne country used primarily for charter and cargo flights

The passengers and crew are sequestered in the small Vatry airport, where they will spend a second night Friday on camp cots while the investigation continues, according to an official with the Marne regional administration. They initially remained in the A340 plane, surrounded by police on the tarmac, but were then transferred into the main hall of the airport to sleep Thursday night, the official said.

Investigators from a specialized French organized crime unit, border police and aviation gendarmes are working on the case.

The Indian Embassy in France posted on X that embassy staff had obtained consular access to the passengers. “We are investigating the situation and ensuring the well-being of passengers.’’

Legend Airlines did not respond to requests for comment. Liliana Bakayoko, identified as a Legend Airlines lawyer, said on France’s BFM television that the company denies any role in eventual human trafficking.

She said a customer, whom she wouldn’t identify, chartered the plane and was responsible for verifying the identity documents of each passenger. The customer communicated the passenger information to the airline 48 hours before the flight, she said.
Un avión con 303 pasajeros de nacionalidad india que iba a Nicaragua está bloqueado desde el jueves en un aeropuerto a 150 kilómetros de París por sospechas de "tráfico de personas".
Source : El país.com
 
28 December 2023
Mexico City, Mexico

WIMBI KUBWA LA MSAFARA WA MIGUU KUELEKEA MAREKANI

Watu wahamiaji waendelea kufurika mjini Mexico City kutoka safari ya mbali Venezuela, Haiti, Cuba, Nicaragua, Honduras, El Salvador etc na nchi za bara Afrika pia Asia kuelekea Marekani na Canada kwa miguu


View: https://m.youtube.com/watch?v=kVTcz1-R1Vc
Wakaazi wa jiji la Mexico walalamika kuhusu mafuriko ya wakimbizi wa kiuchumi waliozagaa katika mitaa kwa siku kadhaa, ingawa wahamiaji ndoto yao ni kuendelea kwenda US na Canada wakitumai kuondokana na umasikini wakipata kazi US na Canada pia kuwasaidia ndugu waliobaki ktk nchi zao za asili walipotokea.

WAKIENDELEA KUELEKEA KASKAZINI HADI MPAKA NA NCHI YA MAREKANI
Chiapas, Mexico

View: https://m.youtube.com/watch?v=srOqwVZ7TXA
Mh. Anthony Blinken Waziri wa mambo ya nje wa Marekani awasili nchi Mexico ili kuweza kupata ufumbuzi wa wimbi kubwa zaidi la wakimbizi wa kiuchumi wanaoisumbua Mexico wakielekea Marekani
 
29 December 2023

Wakimbizi toka Venezuala kwa rais Nicholas Maduro

Familia za wahamiaji zikiwa na njaa pamoja na ndoto za maisha mapya, ktk msafara mrefu kwa miguu zinatamani kufika Marekani


View: https://m.youtube.com/watch?v=cteKumta5OQ

Zaidi ya wanawake 2,000 na watoto 3,000 wanaunda msafara wa wahamiaji ambao umekuwa ukitembea katika eneo la pwani la Chiapas Mexico kwa siku tano mfululizo.

Kutokana na hali hiyo ngumu, takriban watu 300 walirudi nyuma na ilichukua zaidi ya saa 10 kupatana na kundi lililo mbele katika eneo la Mapastepec.

Wanahakikisha kwamba baadaye katika saa za kwanza za Desemba 31 wataanza tena msafara wao ili kutoroka jimbo hilo kuzidi kuelekea kaskazini ndoto ni kuifikia nchi ya Marekani na pia Canada
 
Back
Top Bottom