Wahamiaji: Safari toka Congo kupitia Brazil mpaka Canada kwa miguu

Nionavyo kwa hakininavyokuwa hawa wzungu watakuja kuwapa sumu wasumbufu sisi
 
Waafrika tu wajinga sana. Mimali yote iliyopo Congo tunaiwacha tunaenda kuwa watumwa Canada?

Afrika raia kuwa na leseni ya madini ngumu sana. Ilitakiwa zitungwe sheria raia kuweza kuingia mkataba mzuri wa 50 / 50 wa vitofali vya dhahabu, carats za almasi, tanzanite n.k badala ya kama huyu waziri kuwanyanganya raia umiliki ardhi yenye madini

23 March 2024
Dodoma, Tanzania

Mavunde aagiza leseni 2640 zifutwe '"kuna watu wameshikilia hekari 16 milioni"​




Waziri wa Madini Athony Mavunde amemuelekeza katibu mtendaji wa Tume ya Madini kufuta maombi na leseni za uchimbaji wa madini 2640 ili kupisha waombaji wengine kutokana na maeneo hayo kuhodhiwa kinyume na utaratibu.

Waziri Anthony Mavunde ameyasema hayo leo Ijumaa, Machi 23, 2024 jijini Dodoma ambapo amesema kumekuwa na baadhi ya wamiliki wa akaunti za uombaji wa leseni ambao wamekuwa wakiomba maeneo mengi na kutoyalipia kwa lengo la kuyahodhi.

Waziri Mavunde ametoa mfano wa watu 6 ambao wamehodhi kinyume na utaratibu eneo la uchimbaji lenye uubwa wa hekari zaidi ya 13 milioni ambalo ni sawa na mikoa mitatu ya Kilimanjaro.Akitoa Mfano Mwingine Waziri mavunde amesema kuna mtu mwingine ambaye ameomba leseni ya zaidi ya mia tisa ambazo ukubwa wa eneo linaloombwa ni sawa na mikoa miwili ya Kilimanjaro.
 
09 April 2024
Mexico City

NUEVA WAKANDA MEXICO CITY
Wahamiaji kutoka Haiti wakiwa jijini Mexico City nchini Mexico kuelekea mataifa ya Marekani ya Kaskazini yaani nchi za Marekani na Canada


View: https://m.youtube.com/watch?v=Bx8p-tp3IqsWahamiaji hao waliokatiza msitu mnene hatari wa Darien Gap uliopo mpakani mwa nchi za Colombia na Panama na kuwasili Mexico njiani kuelekea kaskazini. Makazi yao ya muda yamepachikwa jina Wakanda Mpya - Nueva Wakanda.

Mbali ya wahamiaji hao walioongezeka kutoka Haiti kutokana na hali ya kukosekana usalama pia umasikini. Kuna wahamiaji kutoka Venezuela, Colombia, Honduras n.k wote wakiwa njiani nchini Mexico kuelekea Marekani ya Kaskazini
Source : Luisito Comunica
 
Julai 2024
Waziri wa Usalama wa Ndani na Uhamiaji wa taifa la Marekani akijibu maswali ya maseneta wa bunge kuhusu masuala ya wahamiaji wanaoingia Marekani, kwa kupitia mpaka wa kusini baina ya Mexico na US wakati akihojiwa na kamati ya baraza la Seneti la Marekani


View: https://m.youtube.com/watch?v=9H8QwrxscGsWakimbizi na wahamiaji kutoka Nicaragua, Venezuelan, Cuba, Congo, Haiti, China, Iran, Afghanistan, Congo, Nchi za Mashariki ya Kati n.k kwa maelfu wakielekea border ya ... biashara haramu ya usafirishaji binadamu
 
Hao wazamiaji kwa nini wasizamie uarabuni, Iran au Russia.?
 
🤣🤣🤣🤣 Hiyo kunyonyesha barabarani huwa Inanikera Sana
 
Duh!!! Hao watoto wadogo wanatia huruma aisee.
Mungu awasaidie sana
 


Hawa wajuba walitisha sana.
 
Vita na ugumu wa maisha vinatufanya binadamu kuhangaika namna hiyo.

Wangebaki huko dunia ya tatu guarantee ya kuteseka na ugumu wa maisha na kufa masikini ni zaidi ya asilimia 90
Hawa ni wasanii wa kawaida wa kingole msiwaamini. Mtakaowafuata mtapotea bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…