Pre GE2025 Wahandisi na Wakandarasi wamnunulia Rais Samia helkopta kwaajili ya Kampeni za Urais 2025 pamoja na mafuta ya Tsh. 100,000,000/-

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hizo pesa ni za Abdul kaamia ki,ilitishia kwa manguruwe hayo
 
Itakua msaada kutoka nje kwa wenye maslahi na utawala wasamia ila wanapitisha kwa hao mainjinia. Na hisia ni waarabu wenye programu kutwaa kila kitu chetu kupitia hii serikai ya mama samia.
 
Watanzania na hasa watanganyika tuunganike ama sivyo tunaenda kuuzwa nje ya gunia tukiona hivihivi.
 
Mambo ya Chopa siyo ya kuyaingia kichwa kichwa kwani tuna mifano mingi kuanzia 2015

Hiyo Fedha ya Wakandarasi ikabidhiwe serikalini ambao Wana weredi na manunuzi ya Taasisi ya Rais

Nawatakia Dominica Njema πŸ˜„
 
Hiyo Helicopter wamemnunulia Samia Suluhu Hassan Kama mgombea wa urais
 
Maigizo tu hamna KITU kama hicho . Na kama TISS wamekubali kupokea chopa bas kama taifa tuna safari ndefu sana
 
Wanajua kuwa mwanamke ni multiplier..wamempa chopa atawapa anga na hewa YOTE . Ardhi na mawe YOTE ya ujenzi..michanga na changarawe na deal zote za ujenzi
 
Helicopter moja ya at least watu wawili ni US$ 2 millions.Wakandarasi wanatoka shukrani zao kwa ununuzi wa helicopter kweli?
 
Taasisi kama TUCASA kwa kutoa mchango kwa chama kinachopora uchaguzi kama alivyobainisha waziri wa habari Nape Nnauye inabidi wahojiwe wote TUCASA na Nape Nnauye kwa maswali mazito bila ukomo kama alivyohojiwa jaji mtia nia Karla Campbell na baraza la senate kuhusu maamuzi ya michango na utetezi:

Jamiiforums ni jukwaa makini lazima kuulizwa bila kikomo maswali magumu :


View: https://m.youtube.com/watch?v=MC_Nl_2vXTs
 
Rushwa iliyotukuka,na takukuru hawawezi peleka pua
 
Mungu ikikupendeza hilo lichopa nipotee na huyo saa 100 kma ile ndege ya Malaysia.ewe uliye juu utusikie..πŸ™πŸΏ
 
Hata Sabodo alishawahi wapa CHADEMA mamilioni ambayo yaliishiwa kuliwa na Mbowe na genge lake. Hao jamaa wamefanya vyema ila namshauri Mama Samia asipande hiyo helikopta. Anaweza hata kumpa mgombea wa CHADEMA aitumie.
🎯🎯🎯πŸ’₯
 
β€œThe best argument against democracy is a five-minute conversation with the average voter.” ~ Winston Churchill.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…